Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

Afadhali angeenda tu Zambia!
Yaani watz wengi wamekufa BK na wengi wapo mitaani hawana chakula wala maji lkn serikali eti inakuja na mipango ya hovyo hovyo ya kupitisha bakuli

Bukoba wanategemea husani ya wafadhili ili wapate chakula na maji,ili wapate matibabu na malazi ya muda!Aibu hii nitaiweka wapi mm mtz?

Serikali wangetumia resources zao kwanza kuwapa huduma za jamii wana BK then ndipo wangekuja kwa wahisani

PM anaenda Bukoba kupiga porojo tu na kurudi zake Dodoma!Aibu sana

Hata pesa za zinazotengwa na Bunge za majanga hazijaenda BK!Aibu sana
 
Itakuwa anafanya uteuzi, we unadhani uteuzi ni kazi ndogo sana!
 
Gambosh [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hata mimi nimeshangaa sana.
1/Kule Zambia kwenye kuapisha rais hajaenda(Alihairisha).

2/Kule Kagera kwenye Tetemeko lilipotokea pia Rais bado hajaonekana.

3/Kwenye Hafla ya Idd hakutokea (Labda sio muumini wa dini hiyo)

4/Kule Ikulu kwenye kuapisha wakurugenzi wapya hakuwepo.

5/Huko Dar kwenye kuchangisha Pesa za kusaidia wahanga wa Tetemeko pia hakuwepo.

Something is wrong somewhere....
Anajuta kuwa raisi! Mwanzo alimponda sana jk, akidhani hii gemu ni nyepesi sana kumbe haiihitaji hasira wala ukali
 
Ukiwa mwana ukawa lazima kutakua na kasoro flani kwenye akili yako.
Jibu swali,yuko wapi?Ikulu nako aliwakimbia wafanyabiashara akamsokomezea zigo waziri mkuu!Yaani mpaka Kenyatta anazungumzia maafa kagera ila mkulu kimyaa!Au anashindwa aseme nini hasa baada ya kusema hakuna chakula cha bure?Aendelee kukaa hivyo hivyo kimya,tutachangiana na kuvuka tu!
 
1_Kweni ni watu wangapi walimpa kura huko Bukoba?
2_Je nshomile wote wametayarishwa kuongea kiswahili
3_Je ratiba ya watakaotumbuliwa ii tayari?
4 _ je nyumbani Chato wameshajitayarisha kumpokea akitokea Bukoba?
 
Kila siku Rais Magufuli Rais Magufuli.Safari ya Rais ina maandalizi yake siyo ya ghafla kama tetemeko lenyewe.Anyway, leo au kesho atakuwa BK.Mtulie.
Kasitisha safari ya Zambia ili ashughulikie tatizo.... Maandalazi gani kwa tukio kama la kagera kama sio vitendo vionekane?
 
Waathirika wa mvua ya mawe pale kagongwa kahama hiv walijengewa nyumba au ?
 
Mbona mnamsonga songa sana rais wetu jamani?,ndo huyohuyo mmoja tulianae mwacheni afanye kazi,mwisho mtamletea mawazo meeeenggiii
 
Back
Top Bottom