Heri anyamazeAu mgonjwa vipi...watuambia
Heri anyamazeAu mgonjwa vipi...watuambia
lini alisema anaacha kuongea,maana kuna dawa zingine masharti yake usiongee na watu kwa muda wa siku saba kutoka kwa dokta baada ya kutoa sadaka.Akiiongea mnamsema ya kuwa anaongea SANA na apunguze, akikaa KIMYA napo mnamsema pia mbona haongei...!
Afanye nini mridhike?!
Watanzania bhana!
Kwa issue ya Tetemeko nafikiri amemwagiza W/mkuu achukue hatua.
Sio lazima atoke kwenye media. Nafikiri ataenda Kagera soon..!
Tafuta 2m tano ntatoaNa 6Kg za pumba humu kichwani naogopa kuzimwaga hapa sina 7Mil sina wadhamini!!
Wakati Ikulu inatoa taarifa ya Rais kuahirisha kwenda Zambia Ikulu tayari waziri mkuu alikuwa ameishafika Bukoba. Swali linaloulizwa ni kwamba kama taifa lilitangaziwa kuwa Rais ameahirisha kwenda Zambia kutokana na tetemeko hilo ilitarajiwa na wengi wamwone akishiriki ama kuwapa pole na kuona athari za tetemeko hilo! Kwa hiyo swali la Rais yuko wapi haliwezi kujibiwa na maandishi ya "duh watanzania hamjitambui! mnataka nini ati?-watanzania wanataka wamwone Rais wao aliyeahirisha kwenda Zambia kwa sababu ya tetemeko akishiriki maafa ya tetemeko hilo!..duh watanzania hamjitambui!mnataka nini ati?..rais akionekana sana mnasema anapenda kuonekana kwa vyombo vya habari..hasipooneka mnamind tena!!kwani rais lazima afike eneo la tukio? hata yote aliyoyafanya waziri mkuu hamyaoni?..aliyewaloga kafa.
Kama Wewe Unavyopenda Kuona Lowasa,Mbowe na Maalim Wakifarakana?Mkuu, yaani unapoteza muda wako kuhangaika na Ufipa? Hawana jema hata kidogo. Wao raha yao ni kuona viongozi wa serikali wanafarakana
Hiyo 5m ipeleke Kagera baba!Tafuta 2m tano ntatoa
zamani kuna mahala nilimuona yeye,lukuvi,wasira ila sikumbuki wapiAu mgonjwa vipi...watuambia