Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

Akiiongea mnamsema ya kuwa anaongea SANA na apunguze, akikaa KIMYA napo mnamsema pia mbona haongei...!

Afanye nini mridhike?!

Watanzania bhana!

Kwa issue ya Tetemeko nafikiri amemwagiza W/mkuu achukue hatua.

Sio lazima atoke kwenye media. Nafikiri ataenda Kagera soon..!
 
Kila siku Rais Magufuli Rais Magufuli.Safari ya Rais ina maandalizi yake siyo ya ghafla kama tetemeko lenyewe.Anyway, leo au kesho atakuwa BK.Mtulie.
 
rais john pombe magufuli alighairi safari ya zambia ili aende kagera kwenye maafa ya tetemeko. Lakn sijaona akiongea na taifa wala sijamwona live katika tukio hilo. Je mikakati ya kuwasaidia waathirika inafanywa kimya kimya, kama katuma wawakilishi kulikua na haja gani kuahirisha safari ya zambia?

Lile tukio kubwa sana halikua la kiongoz mkuu kukaa kimya. Zaid sana aliacha shughuli zingine ili ashughulikie maafa haya, yuko wap?? Ikulu sio sehem ya maafa yampasa afike eneo la tukio. Vingenevyo tutaamini alisitisha safari ya zambia kwa kaz zingine na sio kuhudumia wahanga. Tim ya kupanga utendaji wa maafa ipo, sijui yeye mikakati gan inamfanya ajifungie.pls rais wetu nenda kawahudumie wahanga.

Rais wangu uko wap zambia, magogoni au kagera??
Mmeanza maneno yupo magogoni anapiga kazi unasemaje?
 
1473825132003.jpg
 
..duh watanzania hamjitambui!mnataka nini ati?..rais akionekana sana mnasema anapenda kuonekana kwa vyombo vya habari..hasipooneka mnamind tena!!kwani rais lazima afike eneo la tukio? hata yote aliyoyafanya waziri mkuu hamyaoni?..aliyewaloga kafa.
 
Hata mimi nimeshangaa sana.
1/Kule Zambia kwenye kuapisha rais hajaenda(Alihairisha).

2/Kule Kagera kwenye Tetemeko lilipotokea pia Rais bado hajaonekana.

3/Kwenye Hafla ya Idd hakutokea (Labda sio muumini wa dini hiyo)

4/Kule Ikulu kwenye kuapisha wakurugenzi wapya hakuwepo.

5/Huko Dar kwenye kuchangisha Pesa za kusaidia wahanga wa Tetemeko pia hakuwepo.

Something is wrong somewhere....
 
Back
Top Bottom