Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

habarin wakuu,

Wakat watanzania tukiwa tumekumbwa na tetemeko ambalo limeleta athar..mbalimbali kama vifo,majeraha kwa watu na uharibifu mkubwa wa mali mbalimbali hususani makazi ya watu..kama ilivyoada na uzito wa janga lenyew tulitegemea walau mkuu wa nchi azuru..eneo husika kuwapa pole waathirika na kuangalia ukubwa wa tatizo lenyewe..basi hata kama ameshindwa kutembelea huko basi hata angalau atete chochote kuhusu janga hilo ambalo limewakumba watz wenzetu..lakini kwa mshangao mkubwa rais hajafanya hivyo..kitu ambacho si cha kawaida kwa mkuu wa nchi..

je nn kimemsibu rais magufuli mpaka kuwa kimya kana kwamba hili janga halimuhusu?..au mh rais ni mgonjwa ndio maana akashindwa kufany hayo niliyoyaelez hapo juu?
Mgonjwa akawa anajiandaa kwenda ZAMBIA?
Ifike wakati uruhusu akili yako kufikiri tofauti na unavyofikiri.... (think outside the box)

Yaani Nenda mbali zaidi ya vile uwazavyo, na kwa kuongeza waza kuwa lile usilolikubali ndio sahihi na lile unalolikubali si sahihi.

Fikiri tofauti ya ufikirivyo.... upe ubongo nafasi ya kuruhusu fikra tofauti na fikra mpya...

Sasa fikiri
 
Atapona tu madaktari wote hao, na akitaka kwenda nje anakwenda bila tatizo, kwa nini asipone
 
Ndugu usilete thread za kushtua watu, kwanini unakua muongo na mzushi hvi? Mod tunaomba mfute huu uzi.

Mwenyekiti CCM JF
jamaa kauliza kuwa mtu kufu wapi? ni haki yake kuuliza kama Mtanzania


swissme
 
Akiiongea mnamsema ya kuwa anaongea SANA na apunguze, akikaa KIMYA napo mnamsema pia mbona haongei...!

Afanye nini mridhike?!

Watanzania bhana!

Kwa issue ya Tetemeko nafikiri amemwagiza W/mkuu achukue hatua.

Sio lazima atoke kwenye media. Nafikiri ataenda Kagera soon..!
Na wewe kumbe unafikiri huna uakika
 
RAIS YUPO.

Ofisi ya rais ipo,
Makamu wa rais yupo,
Ofisi ya makamu wa rais ipo,
Waziri mkuu yupo,
Ofisi ya waziri mkuu ipo,
Mawaziri wapo,
Mfuko wa maafa upo,
Wakuu wa mkoa wapo,
Wakuu wa wilaya wapo,
Makatibu wakuu wapo,
Wakurugenzi wapo,

SPIKA WA BUNGE YUPO
Naibu spika yupo,
Katibu wa bunge yupo,
Wabunge wapo

JAJI MKUU YUPO
Mwanasheria mkuu yupo,
Mawakili wa serikali wapo,
Jaji kiongozi yupo,
Majaji wa mahakama ya rufani wapo
Majaji wa mahakama kuu wapo,

Mkuu wa Majeshi yupo,
IGP yupo,
Kamishna wa Magereza yupo,
Kamishna wa zimamoto yupo

Mh rais, orodha ndefu ya watu wanao pokea mishahara na posho nono toka serikalini, yanapotokea majanga makubwa kama haya, wawe wa kwanza kuchangia tena kwa lazima, ikibidi watungiwe kabisa sheria.

Hao kila mmoja kutoa mil 5 sio kazi,l. kitaani hali ngumu, wafanya biashara hali ngumu, nao kuwachangisha nadhani ni kuwaonea tu, ingawa si ndwele kama wakiguswa kuchangia.

Mh rais popote ulipo sidhani naongopa, nina miezi mitatu na siku tano siijui chai japo ya mluzi. Nimeumia na nimeguswa ya ndugu zangu wa Bukoba, lakini sina uwezo wa kuchagia zaidi ya pole.

Ila sijakosa kabisa kuchangia, wazo langu hilo, hao nilio wataja watuwakilishe katika kuchangia, na asiyeweza ni kiashiria tosha si mwenzetu.

Hawa ndio wanufaika wakubwa wa moja kwa moja wa kodi zetu. Kila mmoja na atoe pesa hiyo toka katika mshahara na posho zake.

Nyie watu, kuweni na huruma, mungu anawaona.

Njano5
0622845394
 
jamaa kauliza kuwa mtu kufu wapi? ni haki yake kuuliza kama Mtanzania


swissme
Ugonjwa unaingiaje kama hilo ndo swali? Huo ni uzushi kwanin asiulize kama yuko Likizo? Nyie ndo walewale kazi kumuombea Raisi mabaya sijawahi ona wananchi wasiompenda Raisi wao kama kizazi hiki cha BAVICHA.

Mwenyekiti CCM JF
 
Ataenda tu anakusanya rambirambi, huwezi kwenda kwenye msiba mikono mitupu. Pale kuna nyumba zimebomoka, kuna majeruhi, kuna vifo. Poleni wakazi wa Kagera na Mwanza
Tehe tehe tehe "
Umenena sawaswa
 
Weng mnamtetea na kusema kamtuma pm. Mnasahau pm alienda kitambo. Pili nina was was hata kughair kwake labda kulitokana na shinikizo na haikua hiali yake. Kelele za mtandao zikamfanya aghairi. Lakn sio kughairi na kukaa ndan. Aende eneo la tukio.. yeye anajitangaza rais wa maskin msaada wa maskin umetoka kwa matajiri. Nan anawajali kati yake na matajiri waliojichanga?? Daaa tanzania yangu.
 
Mmemchoka kiasi hicho? Si mmeshaambiwa baada ya tetemeko lile kubwa yatafata mengine madogomadogo kwa ufupi ile sehem bado sio salama kwa sasa.
 
Wewe badala ya kumuombea ili apone haraka kama ni kweli unaanza kutoa amri kwa mods, kwani hiki ni kitengo cha uvccm, inunueni JF muone kama tutabaki
Nimuombee nini umeambiwa anaumwa au mnaleta uzushi wenu, mod futeni uzi huu wa uzushi.

Mwenyekiti CCM JF
 
Back
Top Bottom