HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,671
Anaweweseka tu huyo.... Siunajua unakula kutokana na postUmeulizwa yupo wapi?
Anaweweseka tu huyo.... Siunajua unakula kutokana na postUmeulizwa yupo wapi?
Ndugu yangu acha kuanzisha thread za majungu unataka kufitinisha tu yani hiyo ndo kazi yenu.rais john pombe magufuli alighairi safari ya zambia ili aende kagera kwenye maafa ya tetemeko. Lakn sijaona akiongea na taifa wala sijamwona live katika tukio hilo. Je mikakati ya kuwasaidia waathirika inafanywa kimya kimya, kama katuma wawakilishi kulikua na haja gani kuahirisha safari ya zambia?
Lile tukio kubwa sana halikua la kiongoz mkuu kukaa kimya. Zaid sana aliacha shughuli zingine ili ashughulikie maafa haya, yuko wap?? Ikulu sio sehem ya maafa yampasa afike eneo la tukio. Vingenevyo tutaamini alisitisha safari ya zambia kwa kaz zingine na sio kuhudumia wahanga. Tim ya kupanga utendaji wa maafa ipo, sijui yeye mikakati gan inamfanya ajifungie.pls rais wetu nenda kawahudumie wahanga.
Rais wangu uko wap zambia, magogoni au kagera??
Yaani hata hujui idara ya maafa IPO chino ya ofisi ya nani. Jiongeze kabla ya kukoment mkuu.Jibu swali,yuko wapi?Ikulu nako aliwakimbia wafanyabiashara akamsokomezea zigo waziri mkuu!Yaani mpaka Kenyatta anazungumzia maafa kagera ila mkulu kimyaa!Au anashindwa aseme nini hasa baada ya kusema hakuna chakula cha bure?Aendelee kukaa hivyo hivyo kimya,tutachangiana na kuvuka tu!
Hawa watu sijui wanamatatizo gani wamekalia umbeya tu kutaka kumfitinisha mheshimiwa raisi na wananchi.Mbona mnamsonga songa sana rais wetu jamani?,ndo huyohuyo mmoja tulianae mwacheni afanye kazi,mwisho mtamletea mawazo meeeenggiii
Sasa kama maafa hayamuhusu kulikoni sababu aliyotoa kutokwenda Zambia ni sababu ya hayohayo maafa?Yaani hata hujui idara ya maafa IPO chino ya ofisi ya nani. Jiongeze kabla ya kukoment mkuu.
Njaa kitu kibaya sana....!!Ndugu yangu acha kuanzisha thread za majungu unataka kufitinisha tu yani hiyo ndo kazi yenu.
Mwenyekiti CCM JF
eti...?Labda kagonjeka
Tatizo siyo kuongea, tatizo kaongea nini? Panapotakiwa haongee yupo kimya pasipoitajika kuongea ndo anaongea kuleta mtafaruku, na kama alisitisha Safari ya Zambia kwa sababu ya tetemeko, mbona hajaenda kuwajulia hali?Akiiongea mnamsema ya kuwa anaongea SANA na apunguze, akikaa KIMYA napo mnamsema pia mbona haongei...!
Afanye nini mridhike?!
Watanzania bhana!
Kwa issue ya Tetemeko nafikiri amemwagiza W/mkuu achukue hatua.
Sio lazima atoke kwenye media. Nafikiri ataenda Kagera soon..!
Kapigwa ban asiongee maana kila akiongea anaharibuit is quite strange,yuko kimya sana
Kwenye dharula kama ile hawez chelewa et kisa maandalizi. Maandaliz gan hayo. Angekua ameenda zambia tujue moja hayupo. Sio yupo than yupo kimyaKila siku Rais Magufuli Rais Magufuli.Safari ya Rais ina maandalizi yake siyo ya ghafla kama tetemeko lenyewe.Anyway, leo au kesho atakuwa BK.Mtulie.
habarin wakuu,
Wakat watanzania tukiwa tumekumbwa na tetemeko ambalo limeleta athar..mbalimbali kama vifo,majeraha kwa watu na uharibifu mkubwa wa mali mbalimbali hususani makazi ya watu..kama ilivyoada na uzito wa janga lenyew tulitegemea walau mkuu wa nchi azuru..eneo husika kuwapa pole waathirika na kuangalia ukubwa wa tatizo lenyewe..basi hata kama ameshindwa kutembelea huko basi hata angalau atete chochote kuhusu janga hilo ambalo limewakumba watz wenzetu..lakini kwa mshangao mkubwa rais hajafanya hivyo..kitu ambacho si cha kawaida kwa mkuu wa nchi..
je nn kimemsibu rais magufuli mpaka kuwa kimya kana kwamba hili janga halimuhusu?..au mh rais ni mgonjwa ndio maana akashindwa kufany hayo niliyoyaelez hapo juu?
inatia shaka mkuu..kuna kitu hapa kimemkumba rais..ila hawataki kusema?Ila kweli ukimya wake katika hilo unatia wasiwasi.