Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

Tatizo bukoba mbali sana. Na huko videge ni hivi vta fan moja... tatizo ndege
 
Pengine kura kule hazikumtosha... kama Manyara
 
JPM ni kiongozi wa action. Huwezi enda sema poleni huku watu wamelala njaa na wengine wamelala nje ya nyumba zao kwa hofu ya kuangukiwa. Ngosha akiingia hapo mahema yote tupa kule, JKT wanapewa saa saba tu nyumba za gharama nafuu ziote ka uyoga. Mark ma words. Shule si zimefungwa mpaka 26 Sept?? Wadhani muda huomkandarasi wa kurepea atalala usingizi?? Kazi ka mchwa tu.
Hatutaki ngonjera, twataka Hapa Kazi Tu. Ngonjera 2020
 
amewakilishwa as usual kwenye ishue nyeti..
kwenye sherehe ndio hawakilishwagi..
 
Baba wa nyumba unauliza yuko wapiu,Waziri Mkuu aliyeenda hujajua kuwa serikali imekwenda.Swali hili nalifananisha na mtoto anayeuliza mama baba alisema atatununulia nyama na hajakwenda buchani? Mama anamjibu hii nyama unayokula nimeipika mimi,umekwenda kununua wewe fedha katoa baba yako,mtoto anaendelea kuhoji kwa nini hakwenda mwenyewe kununua.

Ungemweka kundi gani mwanao mwenye maswali ya aina hii?
Kwa kuwa ni mtoto atabaki kwenye kundi lake la watoto, lakini hata kama ni mtu mzima pia nitamweka kwenye kundi la watoto. Wakati mwingine umri ni namba tu, unaweza kuwa na miaka hata 50 lakini kama unawaza kama mtoto, wewe ni mtoto tu kimawazo!
 
Kwani akienda Bukoba ndo atafufua waliokufa?
Mkuu hakuna anayeenda kufufua mtu pale. Hata waziri mkuu ameenda sio kwa ajili ya kumfufua mtu, waathirika wanasikia faraja kubwa kuona viongozi wa nchi wako pamoja nao kwenye janga kama lile. Na wangesikia faraja zaidi kama wangemwona mkuu wa nchi ambaye ameahirisha safari ya kwenda nje akijumuika nao. Ni suala la ubinadamu tu wala hapo hakuna habari ya kufufuana.
 
Anamsubiri mama harudi kutoka Lusaka hamwachie kiti ndo aje huku home kutujulia hali.
Karibu mkuu wetu tunakusubiri sana.
 
Anaratibu mkutano wa harambee pale Ikulu. Amewaita mabalozi na wafanyabiasha walioficha pesa majumbani ili awachangishe kisha awapelekee akina Nshomile, wakati mwenzie Uhuru amechota fungu la serikali ya Kenya na kwenda kuwafariji wahanga faster. Hii sera ya kubana matumizi itatuua wallahi!
 
Mkuu hakuna anayeenda kufufua mtu pale. Hata waziri mkuu ameenda sio kwa ajili ya kumfufua mtu, waathirika wanasikia faraja kubwa kuona viongozi wa nchi wako pamoja nao kwenye janga kama lile. Na wangesikia faraja zaidi kama wangemwona mkuu wa nchi ambaye ameahirisha safari ya kwenda nje akijumuika nao. Ni suala la ubinadamu tu wala hapo hakuna habari ya kufufuana.

Is it fair ukatumia milion 50 kwa safari ya kwenda kumsalimia mtu mwenye njaa na ukaishia kumpa mkono na kurudi kwako?
 
Is it fair ukatumia milion 50 kwa safari ya kwenda kumsalimia mtu mwenye njaa na ukaishia kumpa mkono na kurudi kwako?
Kwanini atume muwakilishi? au muwakilishi ye hatumii gharana, kondoo kweli wewe! hivi wewe unapoalikwa sehemu usihudhurie then umpe mkeo gari adrive kukuwakilisha utakuwa umeokoa gharama gani! acha upunda huo
 
Bora aendelee kuratibu maafa akiwa Ikulu kwa vile kule kuna wakuu wa mikoa na wilaya wanaweza kufanya vema

.. kwa utetezi huu finyu, basi angeweza vilevile kuratibu akiwa Lusaka
 
Kwanini atume muwakilishi? au muwakilishi ye hatumii gharana, kondoo kweli wewe! hivi wewe unapoalikwa sehemu usihudhurie then umpe mkeo gari adrive kukuwakilisha utakuwa umeokoa gharama gani! acha upunda huo

Ulinzi, protocol na usalama wa Raisi ni tofauti na watu wengine jaribu ku think big.
 
Lizaboni vipi mkuu teuzi zote hizi hujapata kajinafasi? Du mkuu taabu sana
 
KWANI AKIENDA MAGUFULI NDO NYUMBA ZITAJIJENGA? KWANI AKIENDA MAGUFULI,WALIOKUFA WATAFUFUKA? WAZIRI MKUU ANATOSHA KWENDA.
RAIS WANGU MAGUFULI PIGA KAZI MZEE HAYA MANENO TUMEYAZOE.
MAGUFULI JUU JUU JUU ZAIDI
 
Back
Top Bottom