Ila atakuwa amechelewa sanaSawa Mkuu amesikia ataenda
Mkuu kwani wewe kijijini kwenu yamepita matukio mangapi hujaenda wala hata rambirambi hujatoa?
Hata mimi nimeshangaa sana.
1/Kule Zambia kwenye kuapisha rais hajaenda(Alihairisha).
2/Kule Kagera kwenye Tetemeko lilipotokea pia Rais bado hajaonekana.
3/Kwenye Hafla ya Idd hakutokea (Labda sio muumini wa dini hiyo)
4/Kule Ikulu kwenye kuapisha wakurugenzi wapya hakuwepo.
5/Huko Dar kwenye kuchangisha Pesa za kusaidia wahanga wa Tetemeko pia hakuwepo.
Something is wrong somewhere....
Nukta ya sahihisho: Rais John Pombe Magufuli alighairi(aliahirisha)safari ya zambia ili aende (ashughulikie)Kagera kwenye maafa ya tetemeko.Si vizuri kumtia mtu maneno kinywani.Rais John Pombe Magufuli alighairi safari ya zambia ili aende Kagera kwenye maafa ya tetemeko
Kenyatta atamsaidia kufanya kazi kwa niaba yake
Sihitaji kukufahamu.Ila tambua MKATAA KWAO NI MTUMWA.Acha maswali yako ya kipum.bavu na kurukia watu usiowafahamu. Nani alikwambia mimi natoka kijijini? You don't know anything about me, stop pretending.
Akiiongea mnamsema ya kuwa anaongea SANA na apunguze, akikaa KIMYA napo mnamsema pia mbona haongei...!
Afanye nini mridhike?!
Watanzania bhana!
Kwa issue ya Tetemeko nafikiri amemwagiza W/mkuu achukue hatua.
Sio lazima atoke kwenye media. Nafikiri ataenda Kagera soon..!
Sihitaji kukufahamu.Ila tambua MKATAA KWAO NI MTUMWA.
AKSANTE SANA.Mpu.mbavu kweli wewe! Huhitaji kunifahamu halafu unaandika humu kama vile unajua chochote kuhusu mimi! Akili zako za kitaahira peleka mtaa wa lumumba na siyo hapa. Acha kudandia watu usiowajua, wenzako wanadandia dala dala. Mpuuzi mkubwa wewe.
AKSANTE SANA.
KINYWA CHA MTU HUMTAMBULISHA MTU.
I can't argue with youUngeyajua hayo usingemrukia mtu usiyemfahamu hata chembe na kuanza kuandika kule atokako na yote uliyoyaandika HAYANA UKWELI WOWOTE. Siku nyingine uliza kwanza kabla ya kukurupuka na kuandika uzushi wako.