Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

Rais John Pombe Magufuli alighairi safari ya zambia ili aende Kagera kwenye maafa ya tetemeko. Lakini sijaona akiongea na taifa wala sijamwona live katika tukio hilo. Je mikakati ya kuwasaidia waathirika inafanywa kimya kimya, kama katuma wawakilishi kulikua na haja gani kuahirisha safari ya Zambia?

Lile tukio kubwa sana halikuwa la kiongozi mkuu kukaa kimya. Zaidi sana aliacha shughuli zingine ili ashughulikie maafa haya, yuko wap? Ikulu sio sehemu ya maafa yampasa afike eneo la tukio. Vingenevyo tutaamini alisitisha safari ya Zambia kwa kazi zingine na sio kuhudumia wahanga. Timu ya kupanga utendaji wa maafa ipo, sijui yeye mikakati ganu inamfanya ajifungie.

Please rais wetu nenda kawahudumie wahanga.

Rais wangu uko wapi Zambia, Magogoni au kagera?
Dah, urais ni mzigo, sielewi kwa nini ENL alikuwa anaukimbilia kwa nguvu zote, sasa hapa kila afanyalo JPM lazima akosolewe na kuulizwa maswali.
Kabla Sijachangia,Naomba Kuuliza:Where is Our President?
Rais wa mioyo yenu yuko kenya, hivi toka wiki sasa hajafika bukoba,??
 
Sasa na wewe hapa ndio unaongea nini? Yani watanzania tunauliza rais yuko wapi katika kipindi hili kigumu wenzetu wamepoteza maisha, wengine hawana chakula wala sehemu za kulala wewe unaita ni majungu. Mkuu hata Kama una mahaba yaliyopitiliza ni upumbavu kutetea jambo ambao lipo wazi kama hili.funua huo ubongo wako.
Serikali hujaiona mm nilijua unauliza serikali iko wapi kumbe Raisi yuyko wapi? Wewe ubungo wako uko empt kabisa.

Mwenyekiti CCM JF
 
Hata kwenye hafla ya kuchangia wahanga hayupo!
Tena hiyo ilikuwa fursa nzuri kabisa ya kuwaeleza na mikakati ya kuifanya bandari ya darisalamu kuwa rafiki wa wafanyabiashara.
 
Labda yupo kwenye maombi wakuu
Sahv si watanzania hamumuombei tena....akija atakuwa mpya kwa namna yake.....ubarkiwe Mtukufu
 
Magufuli utakapozungumza kuhusu TETEMEKO BUKOBA naomba uwaelimishe wote wanaokudhihaki mitandaoni. Ni vema watu watambue serikali ya JMT ni moja tu. Aende WAZIRI mkuu, Maksmo wa Rais au Rais mwenyewe kwenye janga lolote bado serikali itakuwa imeenda na Tamko ni moja tu.

WAZIRI mkuu Amekuwa mstari wa mbele kwenye tukio hili kama ambayo angefanya rais. Hakuna jipya ambalo angefanya rais zaidi ya anachokifanya PM.

Ni vema watu mkajua kuwa viongozi hawa wanashauriana nini tufanye na kinafanyika na wanapeana tarifa ya walipofikia kiutekelezaji.

TUACHE KUDHARAU VIONGOZI WETU. KWA KUPEWA KARANGA ZA KUONJESHWA BASI MNATEMA BIG G.
Kama waziri mkuu ndiye analisimamia hili la tetemeko kwanini yeye hakwenda Zambia??
 
Hata mie nimejiuliza sana, mbona yupo kimya hivi wakati nichi inapita kwenye wakati mgumu hivi! anyway kuna wanasema yupo anateua ndo muhimu sana hili kwake
 
Rais John Pombe Magufuli alighairi safari ya zambia ili aende Kagera kwenye maafa ya tetemeko. Lakini sijaona akiongea na taifa wala sijamwona live katika tukio hilo. Je mikakati ya kuwasaidia waathirika inafanywa kimya kimya, kama katuma wawakilishi kulikua na haja gani kuahirisha safari ya Zambia?

Lile tukio kubwa sana halikuwa la kiongozi mkuu kukaa kimya. Zaidi sana aliacha shughuli zingine ili ashughulikie maafa haya, yuko wap? Ikulu sio sehemu ya maafa yampasa afike eneo la tukio. Vingenevyo tutaamini alisitisha safari ya Zambia kwa kazi zingine na sio kuhudumia wahanga. Timu ya kupanga utendaji wa maafa ipo, sijui yeye mikakati ganu inamfanya ajifungie.

Please rais wetu nenda kawahudumie wahanga.

Rais wangu uko wapi Zambia, Magogoni au kagera?
Kwa mawazo km uelewa wngu mdg ameahirisha Zambia ili hzo gharama ya safari yke yatumike kwa wahanga Bkb,na Cyo lazima sense the,Waz Mkuu atosha ili kupunguza gharama zitokanazo na safari zake
 
Dah, urais ni mzigo, sielewi kwa nini ENL alikuwa anaukimbilia kwa nguvu zote, sasa hapa kila afanyalo JPM lazima akosolewe na kuulizwa maswali.

Rais wa mioyo yenu yuko kenya, hivi toka wiki sasa hajafika bukoba,??
WATAKUWA WAMEMFICHA WANAMPAKA LIPSTICK MDOMO ILI AACHE UKALI KWENYE MAJONZI
 
Hata mimi nimeshangaa sana. Aliahirisha safari nikafikiri ataenda Bukoba lakini hajaenda. Kwenye kuchangia maafa walipoitwa wenye nazo napo hakuwepo alikuwapo waziri mkuu. Sasa hatujui yeye yuko wapi na anafanya nini maana maafani hayuko, Zambia hayuko, kwenye fund raising hakuwepo yaani hatuelewi. Wakati fulani mabalozi walipomtembelea ikulu hakuonekana badala waziri wa mambo ya nje ndio akawa host tukaambiwa rais alikuwa nje ya DSM mpaka leo hatuambiwa alikuwa nje ya wapi na hata sasa hata kauli yake haijasikika. Je yuko nje ya Dsm?! Anafanya nini huko?! Yaani kwa jinsi ilivyo ni bora angeenda zake Zambia tu kuliko kuahirisha halafu haonekani kokote, si mbani, si kwenye kuchangisha na hata kauli ya kitaifa hakuna. Where is our president??!!
 
Rais John Pombe Magufuli alighairi safari ya zambia ili aende Kagera kwenye maafa ya tetemeko. Lakini sijaona akiongea na taifa wala sijamwona live katika tukio hilo. Je mikakati ya kuwasaidia waathirika inafanywa kimya kimya, kama katuma wawakilishi kulikua na haja gani kuahirisha safari ya Zambia?

Lile tukio kubwa sana halikuwa la kiongozi mkuu kukaa kimya. Zaidi sana aliacha shughuli zingine ili ashughulikie maafa haya, yuko wap? Ikulu sio sehemu ya maafa yampasa afike eneo la tukio. Vingenevyo tutaamini alisitisha safari ya Zambia kwa kazi zingine na sio kuhudumia wahanga. Timu ya kupanga utendaji wa maafa ipo, sijui yeye mikakati ganu inamfanya ajifungie.

Please rais wetu nenda kawahudumie wahanga.

Rais wangu uko wapi Zambia, Magogoni au kagera?
Yupo Ikulu anafanya kazi za ziada
 
Yuko kwa ule mrupo alioupa ile nyumba ya serikali!!
 
Hata mimi nimeshangaa sana.
1/Kule Zambia kwenye kuapisha rais hajaenda(Alihairisha).

2/Kule Kagera kwenye Tetemeko lilipotokea pia Rais bado hajaonekana.

3/Kwenye Hafla ya Idd hakutokea (Labda sio muumini wa dini hiyo)

4/Kule Ikulu kwenye kuapisha wakurugenzi wapya hakuwepo.

5/Huko Dar kwenye kuchangisha Pesa za kusaidia wahanga wa Tetemeko pia hakuwepo.

Something is wrong somewhere....
Vere truuu!
 
Back
Top Bottom