Nakubaliana na weweHata mimi nimeshangaa sana.
1/Kule Zambia kwenye kuapisha rais hajaenda(Alihairisha).
2/Kule Kagera kwenye Tetemeko lilipotokea pia Rais bado hajaonekana.
3/Kwenye Hafla ya Idd hakutokea (Labda sio muumini wa dini hiyo)
4/Kule Ikulu kwenye kuapisha wakurugenzi wapya hakuwepo.
5/Huko Dar kwenye kuchangisha Pesa za kusaidia wahanga wa Tetemeko pia hakuwepo.
Something is wrong somewhere....
CHADEMA siku zote wanaenda na matukio. Tetemeko la Ardhi limefuta mijadala yote ya UKUTA
KiswmugabeHivi wazimbabwe wanawasiliana kwa lugha gani vile?
NonsenseHafanyi kazi kama mlivyozoea...Sio mtu wa selfie kama wale wengine!!!
Kwani maandiko yanasema..."na pale mpatwapo na yale yaletayo maafa na njaa ni wakati wa kutulia na kusaidiana" andiko halijasema mfanye selfie na kuutangazia uma.
Ila wewe ni mnafiki uliepitilizaMagufuli anawanyima raha sana. Kitengo cha Maafa kipo chini ya Waziri Mkuu. Waziri Mkuu ameshafika eneo la tukio na kila kitu kinaenda sawa. Nini kinawawasha?
Cha LumumbaHilo ni andiko la kitabu gani mkuu
Kumbe anafanya kazi ya "kuratibu maafa akiwa ikulu"! Lizaboni bana we ni shida kweli. Bahsti yako jamaa anakufahamu kiaina vinginevyo ungeitwa mchochezi!Akienda huko Bukoba na Mwanza mtaanza kumhesabia safari za kwenda kwake. Hamna maana ninyi. Bora aendelee kuratibu maafa akiwa Ikulu kwa vile kule kuna wakuu wa mikoa na wilaya wanaweza kufanya vema
Unamaanisha wakazi wa mkoa wa kagera wote ni wahaya ama bhange zinakuvuruga? hata wale wanafunzi waliolala nje siku tatu pale ihungo na nyakato ni wahaya pekee? una akiri kama yule mdudu mweupe mwenye mapingili anayeishi kwenye kinyesi cha ng'ombe, hata kupe anakuzidi uwezo wa kufikiriWahaya bhana! Sasa mlitaka sura ya Magufuli na promo ya magazeti au mnataka msaada?
HahahahaKumbe anafanya kazi ya "kuratibu maafa akiwa ikulu"! Lizaboni bana we ni shida kweli. Bahsti yako jamaa anakufahamu kiaina vinginevyo ungeitwa mchochezi!
Mkuu uko sahihi, mpaka watanzania waache kulalama ndo maisha yao yatabadilika maana kila uchao, ni serekali, serekali wamesahau wajibu wao kama raiaWabongo mmezoea kulalama tu kila siku,JPM chapa kazi achana nao.
Kwahiyo yeye hatakiwi kuhudhuria?Rais taasisi kubwa sn chini yake kuna viongoz wengi ambao anashirikiana nao kuratibu na kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi
Akapige Selfie na wahanga kama alivyofanya Mbowe?
Nimeshasema tangu asubuhi, katika hili tunaiona tofauti ya wazi ya JK na JPM kiuongozi! JK anahuruma sana yule baba, na anauwezo mkubwa wa kumobilize resource kwa haraka! hakuwa mtu wa kujifungia ndani
anakazia teuzi zake pale IKULU kwa kutoa VIAPO na leo mkuu dk.Ramadhani Dau kaapishwa balozi wa Malaysia.
HONGERA KWA KUHARISHA SAFARI YA ZAMBIA NA KUTOKWENDA KUWAONA WAHANGA HAO ILA UDSM UJENZI WA HOSTEL ULIKWENDA NA UKAVAA MPAKA KOFIA YA KAZI NA KUINGIA MPAKA KWENYE JENGO AMBALO HALIKUKAMILIKA NA LINGEWEZA KUHATARISHA MAISHA YAKO BABA JESCA,HII INAONESHA KUWA BABA JESCA UNAJALI ZAIDI MAJENGO KULIKO WATU WAKO KISA TU ULIWAHI KUWA WAZIRI WA UJENZI.
Hongera kwa walioapishwa leo na baba jesca.