Tetesi: Rais wa Marekani Donald Trump amefariki?

Tetesi: Rais wa Marekani Donald Trump amefariki?

Donald Trump has been pictured playing golf at his Virginia club, which has put an end to the strange death rumors that have been going around the social media. Wearing a white polo shirt, his trademark red MAGA hat, and black pants, the 47th President appeared at ease and unconcerned by the rumors circulating about him as he departed the White House this morning with his grandchildren.
 
Wakuu

Hivi mmepita huko X hivi karibuni

View attachment 3458605

Duru zinasema kuwa Donald Trump amefariki japo hakuna confirmation kutoka kwenye sources ambazo ni rasmi.

Kwanza hajaonekana kwa siku takriban mbili na pia hii weekend yote hana any official meeting au schedule, kitu ambacho sio cha kawaida

View attachment 3458607

Lakini pia makamu wa Rais JD Vance akiongea hivi karibuni amesema kuwa "Japo hataki itokee lakini yuko tayari kuchukua kijiti iwapo Baba Ivana litamkuta lolote"

Sasa naomba kuuliza wakuu, na nyie mmesikia hizi taarifa au feed yangu ya X inanidanganya?

View attachment 3458606
Trump sio Jiwe bhana
 
Wanamuombea afe lakini hatakufa kabla ya wakati wake. Mungu amemuweka kwenye nafasi hiyo kwa makusudi maalum.
 
Wakuu

Hivi mmepita huko X hivi karibuni

View attachment 3458605

Duru zinasema kuwa Donald Trump amefariki japo hakuna confirmation kutoka kwenye sources ambazo ni rasmi.

Kwanza hajaonekana kwa siku takriban mbili na pia hii weekend yote hana any official meeting au schedule, kitu ambacho sio cha kawaida

View attachment 3458607

Lakini pia makamu wa Rais JD Vance akiongea hivi karibuni amesema kuwa "Japo hataki itokee lakini yuko tayari kuchukua kijiti iwapo Baba Ivana litamkuta lolote"

Sasa naomba kuuliza wakuu, na nyie mmesikia hizi taarifa au feed yangu ya X inanidanganya?

View attachment 3458606

Screenshot_20250831_221333_Chrome.jpg
 
Deep state wakiongozwa na Obama ndio kazi zao hizi ,Obama kama Kikwete
Naam yule Mzee ndio michezo yake

Unakumbuka ule mchezo aliowamfanyia wa kumuua yule Raia mtu mweusi ili kumpaka matope trump na baada ya hapo robo ya Dunia nzima watu Waka andamana
 
Huyo Kenge acha afe tu. Maana hana faida katika dunia.

Ameshafanya dhambi nyingi kuliko mema.
Waswahili wanasema "Mshahara wa DHAMBI ni MAUTI.

Alikuwa na lengo la kummaliza Putin kule Alaska, sasa mwisho wa siku kajikuta kamalizwa yeye.

Rest in Hell Kenge wewe..
Wapo wa kuwamaliza ila sio Putin, hayo mengine ni mtazamo wako.
 
siku mbili tu mtu kutokuonekana awe amefariki?

wonders will never end
in this world

yaani kutokuonekana siku mbili, ndio iwe mauti? Let us be serious bro
Imagine how the world population will be if only kutokuonekana siku mbili unahesabiwa tayari roho imeacha mwili!
 
Wanaukumbi.
Donald Trump hajajitokeza hadharani tangu Agosti 26. Picha chache tu za zamani za gofu zenye ukungu, hakuna zaidi.

Yupo hoi anaumwa wanafivha Hakuna mahojiano. Hakuna mikutano. Hakuna utawala.

Ikulu ya White House iko kimya. Ikiwa hii inahisi kama kuficha, ni kwa sababu ndivyo inavyoonekana. 🧵
================
Donald Trump hasn’t made a real public appearance since Aug 26. Just a couple of blurry old golf photos, nothing more. No interviews. No meetings. No governing.

The White House is stone silent. If this feels like a cover-up, it’s because that’s exactly what it looks like. 🧵

View: https://x.com/mteuzi/status/1962418060025102534?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
The White House has gone dark.
Blank schedules.
No updates.

Meanwhile, his VP hints at being “ready to assume the presidency.” This all looks like smoke from a fire they’re working overtime to contain.
 
🥲

When the presidency goes silent, it's not like power stops moving. Decisions are still being made—but by who?

If Trump is incapacitated and they’re hiding it, this is deception at the scale of a constitutional crisis.
 
Back
Top Bottom