Tetesi: Rais wa Marekani Donald Trump amefariki?

Tetesi: Rais wa Marekani Donald Trump amefariki?

Wakuu

Hivi mmepita huko X hivi karibuni

View attachment 3458605

Duru zinasema kuwa Donald Trump amefariki japo hakuna confirmation kutoka kwenye sources ambazo ni rasmi.

Kwanza hajaonekana kwa siku takriban mbili na pia hii weekend yote hana any official meeting au schedule, kitu ambacho sio cha kawaida

View attachment 3458607

Lakini pia makamu wa Rais JD Vance akiongea hivi karibuni amesema kuwa "Japo hataki itokee lakini yuko tayari kuchukua kijiti iwapo Baba Ivana litamkuta lolote"


Sasa naomba kuuliza wakuu, na nyie mmesikia hizi taarifa au feed yangu ya X inanidanganya?


View attachment 3458606
Possible watu hawataki vita ya Ukraine iishe kwakua wanauza silaha kwa wingi na kingine wanataka malighafi ya dunia Russia ikiwepo so anapambana na watu wake wa ndani pia tena ndio wanaowafanya viongozi wa EU kua vigeugeu
 
Yeah si unajua Putin alishapitia vitengo hatari, na ana uzoefu wa kutosha kwenye maswala hayo. Hivyo alipoona kubwa jinga limejaa kwenye 18 ya mfumo wake akafanya kweli.
Hata hivyo kwenye medani hizo Trampa aka kidampa ni mwepesi sana kwa the former KGB officer, Vladmia Putin.

Niliona ile clip wakt wanasalimiana et Tramp anajidai kumvuta kwa nguvu nyingi sana Putin tena mbele ya vyombo vya habari

Nikasema inawezekana huyu hamjui vizuri huyo mwamba ni nani
 
Shoo ilimalizwa muda sana..

IMG_20250830_160035_295.jpg



IMG_20250830_160034_763.jpg
 
Kwa ku
Huyo Kenge acha afe tu. Maana hana faida katika dunia.

Ameshafanya dhambi nyingi kuliko mema.
Waswahili wanasema "Mshahara wa DHAMBI ni MAUTI.

Alikuwa na lengo la kummaliza Putin kule Alaska, sasa mwisho wa siku kajikuta kamalizwa yeye.

Rest in Hell Kenge wewe..
Kwa kujitungia tu vistori uchwara hamjambo ww ndo unae fahama kua Putin alitaka kuuliwa na trump kuliko fsb/kgb??
Tukisema akili zenu wavaa vipedo ni kama kisoda mna mind..
 
Back
Top Bottom