Wakuu
Hivi mmepita huko X hivi karibuni
View attachment 3458605
Duru zinasema kuwa Donald Trump amefariki japo hakuna confirmation kutoka kwenye sources ambazo ni rasmi.
Kwanza hajaonekana kwa siku takriban mbili na pia hii weekend yote hana any official meeting au schedule, kitu ambacho sio cha kawaida
View attachment 3458607
Lakini pia makamu wa Rais JD Vance akiongea hivi karibuni amesema kuwa "Japo hataki itokee lakini yuko tayari kuchukua kijiti iwapo Baba Ivana litamkuta lolote"
Sasa naomba kuuliza wakuu, na nyie mmesikia hizi taarifa au feed yangu ya X inanidanganya?
View attachment 3458606