Tetesi: Rais wa Marekani Donald Trump amefariki?

20250830_145837.jpg
 
siku mbili tu mtu kutokuonekana awe amefariki?

wonders will never end
Wakuu

Hivi mmepita huko X hivi karibuni

View attachment 3458605

Duru zinasema kuwa Donald Trump amefariki japo hakuna confirmation kutoka kwenye sources ambazo ni rasmi.

Kwanza hajaonekana kwa siku takriban mbili na pia hii weekend yote hana any official meeting au schedule, kitu ambacho sio cha kawaida

View attachment 3458607

Lakini pia makamu wa Rais JD Vance akiongea hivi karibuni amesema kuwa "Japo hataki itokee lakini yuko tayari kuchukua kijiti iwapo Baba Ivana litamkuta lolote"

Sasa naomba kuuliza wakuu, na nyie mmesikia hizi taarifa au feed yangu ya X inanidanganya?

View attachment 3458606
in this world

yaani kutokuonekana siku mbili, ndio iwe mauti? Let us be serious bro
 
Huyo Kenge acha afe tu. Maana hana faida katika dunia.

Ameshafanya dhambi nyingi kuliko mema.
Waswahili wanasema "Mshahara wa DHAMBI ni MAUTI.

Alikuwa na lengo la kummaliza Putin kule Alaska, sasa mwisho wa siku kajikuta kamalizwa yeye.

Rest in Hell Kenge wewe..
Uwe na subira na utulivu.Dunia haitaki uwe na huruma wala kutaka kuonewa huruma.Yule ndiye mwamba sasa.
 
🇮🇷🇺🇸 "This man [Trump] will also turn to dust, and his body will become food for snakes and ants, and the Islamic Republic will continue to stand."

— Ayatollah Khamenei, 2020

🟡 @NEWWORLDORDYR
 
Attachments

  • IMG_20250830_131958_983.jpg
    IMG_20250830_131958_983.jpg
    225.8 KB · Views: 26
🇮🇷🇺🇸 "This man [Trump] will also turn to dust, and his body will become food for snakes and ants, and the Islamic Republic will continue to stand."

— Ayatollah Khamenei, 2020

🟡 @NEWWORLDORDYR
🤝
 
Huyo Kenge acha afe tu. Maana hana faida katika dunia.

Ameshafanya dhambi nyingi kuliko mema.
Waswahili wanasema "Mshahara wa DHAMBI ni MAUTI.

Alikuwa na lengo la kummaliza Putin kule Alaska, sasa mwisho wa siku kajikuta kamalizwa yeye.

Rest in Hell Kenge wewe..
Hakuna mtu aliyekufa ndugu, unafurahi na kutukana bure tu.
 
Back
Top Bottom