ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 19,728
- 28,283
Nasikia Luo Community na BBI ndio inamuweka raisi wa Kenya madarakani.....Kenya ndio taifa la kwanza EAC kumpoteza rais akiwa madarakani, na uongozi ulipokezwa kwa makamu wake na nchi ikaaendelea.
Katiba iko wazi kwamba akifa rais, naibu wake atachukua uongozi na kukamilisha hatamu ya awamu, ikishindikana kwa naibu, kama ikitokea naye labda aidha kafa au ana matatizo, basi spika anaukwaa ila kwa siku sitini kabla kuingia kwenye uchaguzi wa kitaifa.... 146. Vacancy in the office of President - Kenya Law Reform Commission (KLRC)
Tunaomba rais wetu Uhuru awe makini asije naye akatusababishia msiba wa kitaifa wa kujitakia kwa ukaidi, aendelee kuvaa barakoa na kuchukua tahadhari zote.