Rais wa Kenya akifariki akiwa madarakani Katiba inasemaje? Utulivu Utakuwepo?

Ingekuwa hivyo, Musando angekuwa hai mpaka leo. Wenye Kenya ndiyo huamua rais wenyu atoke wapi.
bruh....Bongolalas, your shit has been stinking up East Africa for a long time. Just because we don't talk about it doesn't mean we don't know about the political violence and killings in Tanzania

E30yCpgXoAA_EzK.jpeg

EwtcvXnXEAAK-d8.jpg
 
Kila siku nimekuwa nikijaribu kutafakari hali iliyotokea Tanzania au Malawi au Zambia au DRC au Rwanda au Burundi au Msumbiji ya viongozi wakuu wa nchi kufa wakiwa madarakani. Kwa nchi hizo nilizo zitaja, muitikio su matokeo yalikuwa tofauti tofauti.

Nchi nyingine ulikuwa mwanzo wa vurugu na kumwagika damu, lakini kwa nchi zingine utulivu uliendelea kama kawaida na viongozi wengine waliofuata waliendelea kuchaguliwa kama kawaida. Maswali yangu kuhusu Kenya ni kama ifuatavyo:

1. Je, katiba inasemaje kama rais akifa akiwa madarakani?
2. Je, utulivu utaendelea katika kipindi cha mpito?

Tafadhali karibuni kwenye mjadala tukiwa na mawazo huru na chanya.

Povu (lkn si matusi) ruksa maana nalo ni sehemu ya mjadala.
Kama Tanzania tu. Makamu wake atachukua nchi. William Ruto atachukua. Lakini kwa makelele sana.
 
bruh....Bongolalas, your shit has been stinking up East Africa for a long time. Just because we don't talk about it doesn't mean we don't know about the political violence and killings in Tanzania

View attachment 1819851

View attachment 1819854

It's indisputable fact that you are topping the list of extra judicial killings in the continent. So just shut up your big mouth.

Only enforcing Covid19 conditions, have carnages a good number of the poor people. & no one giving the answers on that.
 
I should shut up? you thought Tanzania was a political wonderland?

if you don't like what you see in the mirror then the mirror is not the problem

everyone knows Kenyas political issues we admit we got issues and we openly talk about them. However Tanzanians believe it when the CCM propaganda machine tells them that Tanzania ni inchi ya amani na utulivu. you gullible idiots actually believe that!!!

even the newspapers know that Tanzanians are idiots
2740269_2504222_IMG_20200901_023949_876.jpg
 
View attachment 1820572
Talking about your nonsense. How is it helped to stop such kind of killings.

or maybe you can tell us how is that amani na utulivu working out in Zanzibar

Screenshot_20210616-105057~2.png
 
Kila siku nimekuwa nikijaribu kutafakari hali iliyotokea Tanzania au Malawi au Zambia au DRC au Rwanda au Burundi au Msumbiji ya viongozi wakuu wa nchi kufa wakiwa madarakani. Kwa nchi hizo nilizo zitaja, muitikio su matokeo yalikuwa tofauti tofauti.

Nchi nyingine ulikuwa mwanzo wa vurugu na kumwagika damu, lakini kwa nchi zingine utulivu uliendelea kama kawaida na viongozi wengine waliofuata waliendelea kuchaguliwa kama kawaida. Maswali yangu kuhusu Kenya ni kama ifuatavyo:

1. Je, katiba inasemaje kama rais akifa akiwa madarakani?
2. Je, utulivu utaendelea katika kipindi cha mpito?

Tafadhali karibuni kwenye mjadala tukiwa na mawazo huru na chanya.

Povu (lkn si matusi) ruksa maana nalo ni sehemu ya mjadala.
Uhuru hafi akiwa madarakani, na kwa hiyo hakuna litakalotokea! Hivyo, uzi naufunga na uishie hapahapa😡! Mfyuuuuuu 😡!
Bado tuna machozi ya mtoto mwema wa Africa, Shujaa wetu mpendwa Mh Dr JPM (may your precious soul rest in eternal peace and power, amen😭🙏)!
Bado hata machozi kukatika, unaanza kuleta uchuro mwingine 😡! Asalaleeh🤔!
Narudia tena, Uhuru Kenyatta hafi akiwa madarakani, na huu mjadara naufunga mba kwa kufuli🔏 la BOT kanda ya Mwanza lenye gharama ya 5Bil Tzs 🔏😡😠, Eeh sasa hata bomu haliufungui huu uzi😠!
 
mi swali langu ni nje ya mada kidogo msinielewe vibaya...
eti ni kweli baadhi ya wendazake ukiwa unawaaga pale kwenye jeneza unaona mwili paspoti size lakini huku chini anakuwa hajaavalishwa suruali??!!!nauliza tuu maana sisi wengine uwezo wa kununua fulu suti hatuna
 
I understand youre trying to make a joke, but wtf is fulu suti?!
 
mi swali langu ni nje ya mada kidogo msinielewe vibaya...
eti ni kweli baadhi ya wendazake ukiwa unawaaga pale kwenye jeneza unaona mwili paspoti size lakini huku chini anakuwa hajaavalishwa suruali??!!!nauliza tuu maana sisi wengine uwezo wa kununua fulu suti hatuna
Hiyo uliyotumia itakuwa Gongo OG! 🤣 🤣 🤣
 
Watz bana, bunge lenu linavunda kweli kweli. Alafu eti mpo humu mkijaribu kujibizana na wakenya kuhusu demokrasia na katiba. 😏
 
Don't compare that scenario 1978 to now! we even know GEMA wanted to stop Moi from ascending to power and if were not Njonjo standing firm on defending ur constitution u could even have had bloodshed by then. The question is what will happen if today Uhuru dies and he doesn't see eye to eye with his deputy? And u r having the Judiciary that is not impartial?
Umesoma na umeelewa ,nn kimekushinda kuandika kwalugha yakiswahili
 
Back
Top Bottom