Rais wa Kenya akifariki akiwa madarakani Katiba inasemaje? Utulivu Utakuwepo?

by all means please explain to us why mpango was chosen?

how many president come from nothern tanzania besides the OG?! or how many president come from the southern regions of tz vs the president from the great regions?

listen, in kenya we have tribal issues but we are open about our tribal issues and we do what we need to do to save this little country of ours. we dont hide from it we embrace it like a live grenade.

however in tanzania there exists tribal issues but are constantly swept under the carpet in the name of "amani na utulivu" threfore its pretty ironical when a tanzanians feels entitled enough to start a tongue in cheek thread. a president has handed over power to a vice president twice in kenya and the world dint end but the poster conveniently ignores that.

we can dive in to the tribal shenanigans of tanzanian politics but dont think for one second that your shit does not stink up this region. just because we dont talk about it doesnt mean we dont know about it. useless bongolalas
Am pretty sure you started hearing about tribal issues in Tz starting 2016 and still we haven't reached your level. What wanted to flourish currently lacks favourable environment, six months after newly led government of Samia we will have back thes same Tz.

If you can highlight any issues you can cite as tribal before Magufuli era please share them.
 
Haikua lazima ujibiwe unavyotaka, swali ni je akifa rais Kenya, itakuaje? Ukaweka mifano ya mataifa kadhaa, ikabidi nikutajie na Kenya pia tulimpoteza rais akiwa madarakani na uongozi ulipokezwa kwa makamu wake na tukaendelea vizuri, hivyo uzoefu huo tunao sio jambo geni kwetu, na pia katiba imeeleza na kuweka bayana nini kifanyike na ndivyo tulifanya kipindi hicho tulimpoteza rais.

Pia nikaongeza kwa kusema kwenye kipindi hiki cha corona, rais wetu asijiachie kizembe na kutusababishia msiba wa kujitakia wa kijinga kwa ukaidi, aendelee kuchukua tahadhari na kuzingatia njia za kitaalam na kisayansi, corona ni hatari haimjui rais wala nini, inapita na wote, hivyo ras akijifanya juha na kuibuka na kauli za hovyo, itapita naye halafu tuje kudanganywa oohh kafa sijui kwa mavitu gani hayo ila kumbe ni uzembe wake na ukaidi tu.

Umejaribu kuandika mambo meengi. Lkn hujajibu swali la msingi. Ikitokea leo hii Uhuru afe, Ruto anaweza kuachiwa kuongoza nchi?
 
Umeshaelezwa ya Kenyatta akifa enzi zile ambazo Africa ilikua hatujazoea democrasia...

Alafu mwaka wa 2014, Rais Uhuru Kenyatta, kabla kuenda kwa kesi ya ICC kule Hague, alijiondoa madarakani kwa wiki moja na ndani ya hio wiki moja, Naibu wake Ruto alikua ndo rais wa nchi.... Kwahivyo haya mambo so mageni kwetu... Kunawezekana kukawa na tension flani lakini mwisho wa siku katiba itafatwa
-----------




Uhuru left Harambee House with only three vehicles. Security chiefs and top Government officials were holed up in the Office of the President briefing acting President Ruto on national matters. Uhuru leaves for The Hague today.

At around 6.10pm, Ruto left Harambee House in the presidential motorcade complete with police outriders, privileges he has hitherto never enjoyed.


The President told legislators he had decided to invoke Article 147 of the Constitution to name Ruto as acting Head of State so as to separate the person of Uhuru Kenyatta as an individual and Uhuru Kenyatta the President.

Article 147(3) of the Constitution of Kenya spells out that when the President is absent or temporarily incapacitated, and during any other period that the President decides, the Deputy President shall act as the President.

"Let it not be said that I'm attending the status conference as the President of Kenya. Nothing warrants my being in court. I will go to The Hague on Wednesday, not as President of Kenya. I invoke Article 147 by appointing Deputy President William Ruto acting President of Kenya," he said.

The President further explained to MPs that the decision to hand power to his deputy was meant to ensure that the sovereignty and democratic will of Kenyans would not be subjected to a foreign jurisdiction.

"I have chosen not to put the sovereignty of this nation on trial. I received notice to attend a status conference at the ICC. This is not a time for us to be tense, it is time for us to be proud of the democracy we have built," he said.

He assured Kenyans that his presence in court would not in any way "injure the person of a President", adding that his decision to attend the status conference in The Hague should not raise confusion and anxiety but instead make Kenyans proud of the democracy they have built, and the law-abiding country Kenya has become.

"So, to all those who are concerned that my personal attendance of the status conference compromises the sovereignty of our people, or sets a precedent for the attendance of presidents before the court, be reassured, this is not the case."

By transferring power to his deputy, the President sought to free himself to honour his obligations to the ICC, appease his African Union counterparts who are opposed to a sitting President being paraded in the dock and give momentum to his defence team's legal fight with chief prosecutor Fatou Bensouda.

Bado haujajibu swali. Leo hii akifa Uhuru, Ruto ataruhusiwa kuongoza nchi?
 
Alipokufa kenyatta moi hakuongozaee, nyie watu wanafiki sana..
Au unafikiria ilikua hatujui mataga mlikua mnapanga njama za kutompa mama uenyekiti wa CCM

Unaongelea story za kabla hujazaliwa. Tunataka public opinion, Uhuru akifa, Ruto ataachwa ataongoza nchi?
 
Umejaribu kuandika mambo meengi. Lkn hujajibu swali la msingi. Ikitokea leo hii Uhuru afe, Ruto anaweza kuachiwa kuongoza nchi?

Mpaka hapo utakua umejifunza kitu, ukiuliza swali sio lazima ujibiwe unavyotaka, tofauti yetu na nyie ni kwamba sisi tuna uhuru wa kutumia ubongo, hivyo tutakujibu ipasavyo.
Nafurahi kuona rais wetu hana ujuha wa kugomea mbinu za kisayansi asitusababishie msiba wa kujitakia kwa ujinga.
 
Mpaka hapo utakua umejifunza kitu, ukiuliza swali sio lazima ujibiwe unavyotaka, tofauti yetu na nyie ni kwamba sisi tuna uhuru wa kutumia ubongo, hivyo tutakujibu ipasavyo.
Nafurahi kuona rais wetu hana ujuha wa kugomea mbinu za kisayansi asitusababishie msiba wa kujitakia kwa ujinga.

Bado unaongea mambo yasiyo na uhusiano.
Swali langu, Uhuru akifa sasa akiwa madarakani Ruto anaweza kuwa rais wa Kenya?
That is my question. It's a straight forward one.
 
Bado unaongea mambo yasiyo na uhusiano.
Swali langu, Uhuru akifa sasa akiwa madarakani Ruto anaweza kuwa rais wa Kenya?
That is my question. It's a straight forward one.
Aisee sina uhakika! Kwa serikali hii ya Uhuru inayopanga namba at supreme court!

Na Kenya hii ya kila open obstacles kwa Ruto! pale Ruto alipo yupo kwa geresha tu!

199729183_4692056974156136_1883373645721983785_n.jpg



 
Bado unaongea mambo yasiyo na uhusiano.
Swali langu, Uhuru akifa sasa akiwa madarakani Ruto anaweza kuwa rais wa Kenya?
That is my question. It's a straight forward one.

Swali lilikua rais wa Kenya akifariki akiwa madarakani, katiba inasemaje.....nikakupa majibu ipasavyo ila sio lazima yawe utakavyo...
Katiba inasema uongozi utapokezwa kwa naibu wake, na imewahi kutokea kwetu hapa....

Hivyo rais Uhuru akifanya uzembe wa kijinga na kukaidi miongozo ya kisayansi kuhusu corona, itamlaba naye pia halaafu tuanze ujuha wa kuita mataifa majirani waje kuomboleza na sisi kwenye msiba wa kujitakia na kuanza kufungua nyuzi kama hizi za kujidai namna tunaweza kupokeza uongozi kwa utulivu....
Heheheh!!! Hilo jiwe la gizani linapata wahusika hadi nachekelea hapa.....
 
Aisee sina uhakika! Kwa serikali hii ya Uhuru inayopanga namba at supreme court!

Na Kenya hii ya kila open obstacles kwa Ruto! pale Ruto alipo yupo kwa geresha tu!

199729183_4692056974156136_1883373645721983785_n.jpg





Hayo yote uliosema ndiyo yapo kwenye mioyo ya wakenya. Hata sasa Uhuru akiondoka, hafikirii kumuachia Ruto kama yalivyokuwa makubaliano ndani ya jubilee. Ona sasa Uhuru na Raila wanamzunguka Ruto. Hawataki akisogelee kiti cha ufalme.
🤣🤣🤣
Naona ameamua aanzie kwa majaji.
 
Back
Top Bottom