Rais wa chit-chat

Kwani mgombea ni The Boss??

kwa kweli mpaka dakika hii hakuna aliyejitokeza rasmi kutangaza nia binafsi aau hata japo kuoteshwa tu!ahahahahah kwa mujibu wa sheria mama za jamhuri hii natangaza mgombea wa urais atakuwa The Boss wagombea wenza wake ni snowhite na Kaunga alivojipanga tayari na baraza la mawaziri analo
upande wa sheria atakuwa Ruttashobolwa
waziri mkuu Kaizer
waziri wa elimu phillip mlug......ah sorry ulimu umeteleza waziri wa elimu ni Filipo
waziri wa fedha atakuwa Jiwe Linaloishi
waziri wa wizara zisizo na kazi maalum Mtambuzi
waziri wa wanawake na watoto ni gfsonwin charming lady na cacico
waziri wa wanaume (manake macho yalishawatoka hapa sipati picha vikao vya wizara vitakuwa vinafanyikaje)yes waziri wao atakuwa Dark City
waziri wa jinsia anuai Boflo
waziri wa habari na uandishi ni Madame B
waziri wa burudani ni kingkong II
waziri wa siasa na fitna zomba na Ritz
waziri wa afya ni Mzizi mkavu
waziri wa habari ni Mbuzi Mzee
waziri wa utalii ni masopakyindi
waziri wa mambo ya nje ni pacha wangu SnowBall pamoja na Nyani Ngabu
waziri wa shukrani na appreciations ni Arushaone
waziri wa ukaguzi wa bidhaa ni Asprin
waziri wa nishati na madini ni manoah
MKUU WA ITIFAKI NI lara 1 akisaidiana na Erickb52

KUNA MWENYE TATIZO?
 
Last edited by a moderator:
Mi nna tatizo mwalimu. Nimepungukiwa na bidhaa za kukagua. Ikiwa imetokea hivyo, hainipasi kuwakagua wasaidizi wa rais?

Kam zis way my daling ticha!! Jasti foo ukaguzi:majani7:
ah sasa si tutamuuzi kya bossi we unafikir mpaka kuteuliwa kuwa mgombea mwenza mchezo!hala hala usije ukalipukiwa na kitu chenye ncha kali oh!
 
Mume wangu kioenzi, kwa mamlaka niliyonayo natangaza uchaguzi huu ni batili, rushwa zimetawala.....

Wake zako tunasubiria upone tuendeleze faivusamu si unajua tulivyokumiss? Mpaka maji hayapiti

Na neno linalotoka kwako mama watoto wangu, ni amri kwa jukwaa hili.

Nimekumisi upeo. Ukiwaona Yummy na cacico waambie nawasalimia sana.

Nimeshatahiriwa nasubiria nipone tuendelee na libeneke kama kawa.
 
Last edited by a moderator:
kwa kweli mpaka dakika hii hakuna aliyejitokeza rasmi kutangaza nia binafsi aau hata japo kuoteshwa tu!ahahahahah kwa mujibu wa sheria mama za jamhuri hii natangaza mgombea wa urais atakuwa The Boss wagombea wenza wake ni snowhite na Kaunga alivojipanga tayari na baraza la mawaziri analo
upande wa sheria atakuwa Ruttashobolwa
waziri mkuu Kaizer
waziri wa elimu phillip mlug......ah sorry ulimu umeteleza waziri wa elimu ni Filipo
waziri wa fedha atakuwa Jiwe Linaloishi
waziri wa wizara zisizo na kazi maalum Mtambuzi
waziri wa wanawake na watoto ni gfsonwin charming lady na cacico
waziri wa wanaume (manake macho yalishawatoka hapa sipati picha vikao vya wizara vitakuwa vinafanyikaje)yes waziri wao atakuwa Dark City
waziri wa jinsia anuai Boflo
waziri wa habari na uandishi ni Madame B
waziri wa burudani ni kingkong II
waziri wa siasa na fitna zomba na Ritz
waziri wa afya ni Mzizi mkavu
waziri wa habari ni Mbuzi Mzee
waziri wa utalii ni masopakyindi
waziri wa mambo ya nje ni pacha wangu SnowBall pamoja na Nyani Ngabu
waziri wa shukrani na appreciations ni Arushaone
waziri wa ukaguzi wa bidhaa ni Asprin
waziri wa nishati na madini ni manoah
MKUU WA ITIFAKI NI lara 1 akisaidiana na Erickb52

KUNA MWENYE TATIZO?

Duuuuuuuuuuuuuuu,

Umenikumbusha mbali sana...enzi za Shekh Mtopea (RIP) na kampeni za ubunge wa Temeke 1990s...

Ngoja nijiandae kupiga debe kwanza!!

Babu DC!!
 
kwa kweli mpaka dakika hii hakuna aliyejitokeza rasmi kutangaza nia binafsi aau hata japo kuoteshwa tu!ahahahahah kwa mujibu wa sheria mama za jamhuri hii natangaza mgombea wa urais atakuwa The Boss wagombea wenza wake ni snowhite na Kaunga alivojipanga tayari na baraza la mawaziri analo
upande wa sheria atakuwa Ruttashobolwa
waziri mkuu Kaizer
waziri wa elimu phillip mlug......ah sorry ulimu umeteleza waziri wa elimu ni Filipo
waziri wa fedha atakuwa Jiwe Linaloishi
waziri wa wizara zisizo na kazi maalum Mtambuzi
waziri wa wanawake na watoto ni gfsonwin charming lady na cacico
waziri wa wanaume (manake macho yalishawatoka hapa sipati picha vikao vya wizara vitakuwa vinafanyikaje)yes waziri wao atakuwa Dark City
waziri wa jinsia anuai Boflo
waziri wa habari na uandishi ni Madame B
waziri wa burudani ni kingkong II
waziri wa siasa na fitna zomba na Ritz
waziri wa afya ni Mzizi mkavu
waziri wa habari ni Mbuzi Mzee
waziri wa utalii ni masopakyindi
waziri wa mambo ya nje ni pacha wangu SnowBall pamoja na Nyani Ngabu
waziri wa shukrani na appreciations ni Arushaone
waziri wa ukaguzi wa bidhaa ni Asprin
waziri wa nishati na madini ni manoah
MKUU WA ITIFAKI NI lara 1 akisaidiana na Erickb52

KUNA MWENYE TATIZO?

Mi naomba niwe King Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Mi nna tatizo mwalimu. Nimepungukiwa na bidhaa za kukagua. Ikiwa imetokea hivyo, hainipasi kuwakagua wasaidizi wa rais?

Kam zis way my daling ticha!! Jasti foo ukaguzi:majani7:
Babu cielo hajakaguliwa bado.
 
Last edited by a moderator:
kwa kweli mpaka dakika hii hakuna aliyejitokeza rasmi kutangaza nia binafsi aau hata japo kuoteshwa tu!ahahahahah kwa mujibu wa sheria mama za jamhuri hii natangaza mgombea wa urais atakuwa The Boss wagombea wenza wake ni snowhite na Kaunga alivojipanga tayari na baraza la mawaziri analo
upande wa sheria atakuwa Ruttashobolwa
waziri mkuu Kaizer
waziri wa elimu phillip mlug......ah sorry ulimu umeteleza waziri wa elimu ni Filipo
waziri wa fedha atakuwa Jiwe Linaloishi
waziri wa wizara zisizo na kazi maalum Mtambuzi
waziri wa wanawake na watoto ni gfsonwin charming lady na cacico
waziri wa wanaume (manake macho yalishawatoka hapa sipati picha vikao vya wizara vitakuwa vinafanyikaje)yes waziri wao atakuwa Dark City
waziri wa jinsia anuai Boflo
waziri wa habari na uandishi ni Madame B
waziri wa burudani ni kingkong II
waziri wa siasa na fitna zomba na Ritz
waziri wa afya ni Mzizi mkavu
waziri wa habari ni Mbuzi Mzee
waziri wa utalii ni masopakyindi
waziri wa mambo ya nje ni pacha wangu SnowBall pamoja na Nyani Ngabu
waziri wa shukrani na appreciations ni Arushaone
waziri wa ukaguzi wa bidhaa ni Asprin
waziri wa nishati na madini ni manoah
MKUU WA ITIFAKI NI lara 1 akisaidiana na Erickb52

KUNA MWENYE TATIZO?
Snowhite mzima? Usiku mwema!
 
Mimi CHEO NILICHO NACHO CHA BAN is just more than enough. Kwa hiyo naomba kwa nia na zati kabaisa nisiwepo kwenye uongozi sijui prezida au minister. NJI HII naomba nibaki kuwa bakibencha tu ili nipate chansi ya BAN tu mkikosea. Thanx MODS... ADIOS..
 
Back
Top Bottom