Rais wa chit-chat | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wa chit-chat

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mwanyasi, Oct 29, 2012.

 1. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,765
  Likes Received: 1,897
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa wana Chit chat.
  Ibala ya 6, Kifungu cha 1, Jamuhuri hii lazima iwe na Rais, lakini hakuwepo kwa muda sasa.
  Ni muhimu sasa tufanye uchaguzi. Wagombea ni Arushaone, Erickb52, @TANMO na Boflo.
  Wasimamizi ni @Judgement, Kongosho, Mamndenyi na Preta. Naandaa daftari la wapigakula.
  Tuwajadili wagombea kwanza.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mie ni mgombea, na ninataka nipite bila kupigwa.

  Nitawaroga hao wengine hadi waote miti kwenye makoromeo
  Na nina hela ya kutoa rushwa, nitanunua wasimamizi, wapiga kura, wahesabuji, waangalizi wa kimataifa na waangalizi wa ndani, wapinzani, akchwali nitanunua kila mmoja hadi mie mwenyewe nitajinunua
   
 3. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Mie ni mgombea, na ninataka nipite bila kupigwa.

  Nitawaroga hao wengine hadi waote miti kwenye makoromeo
  Na nina hela ya kutoa rushwa, nitanunua wasimamizi, wapiga kura, wahesabuji, waangalizi wa kimataifa na waangalizi wa ndani, wapinzani, akchwali nitanunua kila mmoja hadi mie mwenyewe nitajinunua
  tehteh we umeambiwa utakua msimamizi sasa tena umegeuka mgombea:target:
   
 4. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Vimetumika vigezo gani kuwaselect wagombea?
   
 5. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  vigezo gan
   
 6. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mi naomba kuwa mgombea mwenza!
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mwanyasi kahongwa, hili suala liko mahakani
  Takukuru wanalichunguza

   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Kwani mgombea ni The Boss??

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. W

  Wajad JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,130
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  hata mi pia nashangaa, mchakato haukufanyika, aidha majukumu ya huyo rais yatakuwa yapi kulingana na hiyo katiba?
   
 10. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Nitakuwa mpiga debe na mtu akinizingua namporomoshea vitu vya lusinde. Kudadadadek!!!
   
 11. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  naomba kuwa naprovide vitu vyenye ncha kali, haswa kwa watakaopinga matokeo! ni kawaida ya ngozi nyeusi kuwa na ubishi! muongozo tafadhali!
   
 12. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,292
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  hakukufanyika demokrasia kuchagua wagombea,
  tangazo lingewekwa wenye uwezo wa kugombea wajitokeze na kila mtu apewe fursa, mgombea aweke "sivii" yake na aseme ahadi zake atafanyia nini jukwaa la chichat na wanachitchat,
  halafu chichat wangependekeza majina mawili katika hao ambao wangejitokeza.

  uchaguzi ni batili.
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,839
  Trophy Points: 280
  Hii katiba ni ya mwaka gani?


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Hawa wagombea wote mbona wanatoka kanda ya kaskazini ya nchi ya chitchat? halafu wote ukoo wao ni ndyofu hahaaaaaaaaaaaaa!

  BTW, andaa daftari mkuu mi ngoja nianze kujipitisha pitisha nione nani anaweza kunigawia fungu nitembeze takrima kwa kwenda mbele........... Arushaone ukinipa fungu la maana unakuwa rais, manake najua wapiga kura wako wapo laini kama ndyofu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Vigezo ni unatumbukiza ndyofu ngapi kwenye ubongo
   
 16. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mimi huyo mtu anayeitwa Erickb52 mwenye kutembea na wake za watu kupendekezwa kuwa rais ni kama kumpa fisi bucha
  HAlafu Arushaone ni mtoa rushwa na ana kesi takukuru huyo TANMO alifumaniwa mwezi uliopita na mke wa chit chat member mmoja Boflo mhhh ana kesi ya kukamatwa akimchungulia Kaizer wakati akiwa na my wife wake
  hao wasimamizi wote wana kesi za kujibu kwenye huu mchakato
  #justsaying...........nawe jaribu pia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mimi huyo mtu anayeitwa Erickb52 mwenye kutembea na wake za watu kupendekezwa kuwa rais ni kama kumpa fisi bucha
  HAlafu Arushaone ni mtoa rushwa na ana kesi takukuru huyo TANMO alifumaniwa mwezi uliopita na mke wa chit chat member mmoja Boflo mhhh ana kesi ya kukamatwa akimchungulia Kaizer wakati akiwa na my wife wake
  hao wasimamizi wote wana kesi za kujibu kwenye huu mchakato
  #justsaying...........nawe jaribu pia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. muuza ubuyu

  muuza ubuyu JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 2,637
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Baada ya uchaguzi MI nitanunua ndege ya raisi wa jamhuri ya watu wa chit chat, IKIBIDI WANACHIT CHAT HATA WALE NYASI! Baada ya hapo lazima tununue na RADA!

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 20. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Arushaone aise hebu toa rushwa alias takrima nikupigie kampeni umshinde Erickb52 na Boflo na TANMO na itegemee hiyo takrima yako itakuwa kubwa kiasi gani maana nishapokea za Erickb52 hapa ila ni chache hazitoshi castle lite za kutosha
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...