Rais wa chit-chat

kwa kweli Mwanyasi umenipa kazi ya uhakika,
niaamini hadi kufika mwisho wa kufunga mahesabu kule kwetu rombo
nitakuwa na utajiri wa kutosha kama wa ndugu yangu kamanda mkuu kule mwanza (R.I.P)andaa daftari kazi ianze.
 
Last edited by a moderator:
snowhite my baby angalia nisikose kazi kwa kuwa nimeshaoda magari kutoka japan.

kwa kweli mpaka dakika hii hakuna aliyejitokeza rasmi kutangaza nia binafsi aau hata japo kuoteshwa tu!ahahahahah kwa mujibu wa sheria mama za jamhuri hii natangaza mgombea wa urais atakuwa The Boss wagombea wenza wake ni snowhite na Kaunga alivojipanga tayari na baraza la mawaziri analo
upande wa sheria atakuwa Ruttashobolwa
waziri mkuu Kaizer
waziri wa elimu phillip mlug......ah sorry ulimu umeteleza waziri wa elimu ni Filipo
waziri wa fedha atakuwa Jiwe Linaloishi
waziri wa wizara zisizo na kazi maalum Mtambuzi
waziri wa wanawake na watoto ni gfsonwin charming lady na cacico
waziri wa wanaume (manake macho yalishawatoka hapa sipati picha vikao vya wizara vitakuwa vinafanyikaje)yes waziri wao atakuwa Dark City
waziri wa jinsia anuai Boflo
waziri wa habari na uandishi ni Madame B
waziri wa burudani ni kingkong II
waziri wa siasa na fitna zomba na Ritz
waziri wa afya ni Mzizi mkavu
waziri wa habari ni Mbuzi Mzee
waziri wa utalii ni masopakyindi
waziri wa mambo ya nje ni pacha wangu SnowBall pamoja na Nyani Ngabu
waziri wa shukrani na appreciations ni Arushaone
waziri wa ukaguzi wa bidhaa ni Asprin
waziri wa nishati na madini ni manoah
MKUU WA ITIFAKI NI lara 1 akisaidiana na Erickb52

KUNA MWENYE TATIZO?
 
usihofu mamangu weye nitaongea na mheshimiwa akupe kale katume ka maadili ukisaidina na nani hebu mchague mwenyewe
halafu kwnye wizara ya jinsia anuai napendekza jina lingine na huyu si mwingine bali ni Kongosho oooooooooooooooooooo
 
Last edited by a moderator:
snowhite mi unipe tu ile ya kupitisha majina nataka nipate pa kutokea mwaka huu.

usihofu mamangu weye nitaongea na mheshimiwa akupe kale katume ka maadili ukisaidina na nani hebu mchague mwenyewe
halafu kwnye wizara ya jinsia anuai napendekza jina lingine na huyu si mwingine bali ni Kongosho oooooooooooooooooooo
 
Last edited by a moderator:
Ali mradi mie ni firstlady, sina tatizo na mgombea

Vinginevyo nagombea uraisi mwenyewe na ninapita bila kupingwa

kwa kweli mpaka dakika hii hakuna aliyejitokeza rasmi kutangaza nia binafsi aau hata japo kuoteshwa tu!ahahahahah kwa mujibu wa sheria mama za jamhuri hii natangaza mgombea wa urais atakuwa The Boss wagombea wenza wake ni snowhite na Kaunga alivojipanga tayari na baraza la mawaziri analo
upande wa sheria atakuwa Ruttashobolwa
waziri mkuu Kaizer
waziri wa elimu phillip mlug......ah sorry ulimu umeteleza waziri wa elimu ni Filipo
waziri wa fedha atakuwa Jiwe Linaloishi
waziri wa wizara zisizo na kazi maalum Mtambuzi
waziri wa wanawake na watoto ni gfsonwin charming lady na cacico
waziri wa wanaume (manake macho yalishawatoka hapa sipati picha vikao vya wizara vitakuwa vinafanyikaje)yes waziri wao atakuwa Dark City
waziri wa jinsia anuai Boflo
waziri wa habari na uandishi ni Madame B
waziri wa burudani ni kingkong II
waziri wa siasa na fitna zomba na Ritz
waziri wa afya ni Mzizi mkavu
waziri wa habari ni Mbuzi Mzee
waziri wa utalii ni masopakyindi
waziri wa mambo ya nje ni pacha wangu SnowBall pamoja na Nyani Ngabu
waziri wa shukrani na appreciations ni Arushaone
waziri wa ukaguzi wa bidhaa ni Asprin
waziri wa nishati na madini ni manoah
MKUU WA ITIFAKI NI lara 1 akisaidiana na Erickb52

KUNA MWENYE TATIZO?
 
kwa kweli mpaka dakika hii hakuna aliyejitokeza rasmi kutangaza nia binafsi aau hata japo kuoteshwa tu!ahahahahah kwa mujibu wa sheria mama za jamhuri hii natangaza mgombea wa urais atakuwa The Boss wagombea wenza wake ni snowhite na Kaunga alivojipanga tayari na baraza la mawaziri analo
upande wa sheria atakuwa Ruttashobolwa
waziri mkuu Kaizer
waziri wa elimu phillip mlug......ah sorry ulimu umeteleza waziri wa elimu ni Filipo
waziri wa fedha atakuwa Jiwe Linaloishi
waziri wa wizara zisizo na kazi maalum Mtambuzi
waziri wa wanawake na watoto ni gfsonwin charming lady na cacico
waziri wa wanaume (manake macho yalishawatoka hapa sipati picha vikao vya wizara vitakuwa vinafanyikaje)yes waziri wao atakuwa Dark City
waziri wa jinsia anuai Boflo
waziri wa habari na uandishi ni Madame B
waziri wa burudani ni kingkong II
waziri wa siasa na fitna zomba na Ritz
waziri wa afya ni Mzizi mkavu
waziri wa habari ni Mbuzi Mzee
waziri wa utalii ni masopakyindi
waziri wa mambo ya nje ni pacha wangu SnowBall pamoja na Nyani Ngabu
waziri wa shukrani na appreciations ni Arushaone
waziri wa ukaguzi wa bidhaa ni Asprin
waziri wa nishati na madini ni manoah
MKUU WA ITIFAKI NI lara 1 akisaidiana na Erickb52

KUNA MWENYE TATIZO?

hilo baraza ukubwa wake ni mzigo kwa wana wanchi
 
Last edited by a moderator:
Oooho! Swt heart! Usiuze kura yako kwa fisadi my dear! Si unaona anavyohonga hadi Ndyofu ili apate madaraka!? Hakika hatufai huyu!

Sasa mume wangu, situmeambiwa akili kichwani? Mie acha nipokee mipango, halafu siku ya kupiga kura ntakachokifanya kule ndani ni siri yangu na Mungu... Sweetie si unajua tunahitaji kumalizia kale kapango ketu?
 
good wife! Asije tu akachukua shahada yako maana atawaleta Alshaabab kupigia kura! Si uliona wasomali walivyojaa mtaa wa wajaluo kule daraja II? Thanx God walitimuliwa na "wenyeji!"
 
Back
Top Bottom