Rais wa chit-chat

Rais wa chit-chat

Nitakuwa mpiga debe na mtu akinizingua namporomoshea vitu vya lusinde. Kudadadadek!!!

Ha ha haaa umenikumbusha vitu vya huyo jamaa nimechekaje. Filipo hebu tupia viwili vitatu basi tujue umejipangaje kupiga hilo debe
 
Last edited by a moderator:
Rushwa yako haitoshi Erickb52 ongeza kidogo
halafu toka kwenye hilo lichama ulipo uje kwenye chama makini hapo nitakupigia kampeni
Heheheee haya pokea hilo dude kijana na ole wako Arushaone akuhonge pipi ukubali
Erickb52 Car.jpg
 
Last edited by a moderator:
naomba kuwa naprovide vitu vyenye ncha kali, haswa kwa watakaopinga matokeo! ni kawaida ya ngozi nyeusi kuwa na ubishi! muongozo tafadhali!

haiwezekani mume wetu asiwemo kwenye orodha, maraisi ni wawili tu Asprin na Bishanga, wengine wote makatibu........

Kuna mazingira ya rushwa hapa
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mimi sijapendekezwa, ila aliyependekezwa ni Arusha one na siyo mimi. My ID is Arushaone. Mind space between our names! Nimemaliza, ahsanteni.

Mkuu tunaelewa hilo, ila manyasi alikumaanisha wewe, we sema tu alioverlook wakati ana mention.
Au tuambie........kati ya Arushaone na Arusha one nani alifumaniwa na mke wa Boflo? jibu ni wewe so aliyemaanishwa ni wewe hahaaaaaa!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Vigezo na masharti kuzingatiwa...Ni vigezo gani vimezingatiwa hapa?
Tunaomba kujua hilo plz!!!
Tutagoma kupiga kura kwanza hadi tupate jibu.
 
haiwezekani mume wetu asiwemo kwenye orodha, maraisi ni wawili tu Asprin na Bishanga, wengine wote makatibu........

Kuna mazingira ya rushwa hapa
Na neno linalotoka kwako mama watoto wangu, ni amri kwa jukwaa hili.

Nimekumisi upeo. Ukiwaona Yummy na cacico waambie nawasalimia sana.

Nimeshatahiriwa nasubiria nipone tuendelee na libeneke kama kawa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom