Rais wa chit-chat

Na neno linalotoka kwako mama watoto wangu, ni amri kwa jukwaa hili.

Nimekumisi upeo. Ukiwaona Yummy na cacico waambie nawasalimia sana.

Nimeshatahiriwa nasubiria nipone tuendelee na libeneke kama kawa.[/QUOTE Yummy alikuwa anagonjeka hubby! ila anaendelea vema kidogo sasa, taarifa zako nitazifikisha!
 
Last edited by a moderator:
Heheheee haya pokea hilo dude kijana na ole wako Arushaone akuhonge pipi ukubali
View attachment 69733
Erickb52 bado bado hujaniimprest
Hebu fubguka na kama ya Mungi hapo hapo naweza kukufikiria
Watu wanatoa rushwa za mpaka majengo yao na magari kama hayo hapo ya Mungi kupata uongozi
Funguka basi nikupigie kampeni au nitawaambia wana chit chat taarifa zako za kufumaniwa mwanza na ulivyopigwa na mwiko na Amyner
 
Halafu ya kwangu ina kitanda kabisa mkuu. unaweza kulala na mkeo
 
Mie ni mgombea, na ninataka nipite bila kupigwa.

Nitawaroga hao wengine hadi waote miti kwenye makoromeo
Na nina hela ya kutoa rushwa, nitanunua wasimamizi, wapiga kura, wahesabuji, waangalizi wa kimataifa na waangalizi wa ndani, wapinzani, akchwali nitanunua kila mmoja hadi mie mwenyewe nitajinunua

tehteh we umeambiwa utakua msimamizi sasa tena umegeuka mgombea:target:
Sasa nimekufahamu wewe!
 
Si mnajua wizara ya fweza ina vitengo vingi..naomba Preta na badili tabia wawe mainabu wangu... hazina Remmy, mipango na uwezeshaji Figganigga, sweetlady ubinafshishaji na uwekezaji baddo naendelea kupanga timu ya ushindi.... #ntarudi
 
Mie ni mgombea, na ninataka nipite bila kupigwa.

Nitawaroga hao wengine hadi waote miti kwenye makoromeo
Na nina hela ya kutoa rushwa, nitanunua wasimamizi, wapiga kura, wahesabuji, waangalizi wa kimataifa na waangalizi wa ndani, wapinzani, akchwali nitanunua kila mmoja hadi mie mwenyewe nitajinunua

Vimetumika vigezo gani kuwaselect wagombea?

vigezo gan
Vigezo baadae, jiandae
 
Si mnajua wizara ya fweza ina vitengo vingi..naomba Preta na badili tabia wawe mainabu wangu... hazina Remmy, mipango na uwezeshaji Figganigga baddo naendelea kupanga timu ya ushindi.... #ntarudi

mi kazi yangu ni kupendekeza mabosi wa wizara tu kwa The Boss ukishafika wizzarani utapanga mwenyewe timu yako kwa mamlaka utakayokuwa umekasimiwa!
 
Last edited by a moderator:
kwa kweli mpaka dakika hii hakuna aliyejitokeza rasmi kutangaza nia binafsi aau hata japo kuoteshwa tu!ahahahahah kwa mujibu wa sheria mama za jamhuri hii natangaza mgombea wa urais atakuwa The Boss wagombea wenza wake ni snowhite na Kaunga alivojipanga tayari na baraza la mawaziri analo
upande wa sheria atakuwa Ruttashobolwa
waziri mkuu Kaizer
waziri wa elimu phillip mlug......ah sorry ulimu umeteleza waziri wa elimu ni Filipo
waziri wa fedha atakuwa Jiwe Linaloishi
waziri wa wizara zisizo na kazi maalum Mtambuzi
waziri wa wanawake na watoto ni gfsonwin charming lady na cacico
waziri wa wanaume (manake macho yalishawatoka hapa sipati picha vikao vya wizara vitakuwa vinafanyikaje)yes waziri wao atakuwa Dark City
waziri wa jinsia anuai Boflo
waziri wa habari na uandishi ni Madame B
waziri wa burudani ni kingkong II
waziri wa siasa na fitna zomba na Ritz
waziri wa afya ni Mzizi mkavu
waziri wa habari ni Mbuzi Mzee
waziri wa utalii ni masopakyindi
waziri wa mambo ya nje ni pacha wangu SnowBall pamoja na Nyani Ngabu
waziri wa shukrani na appreciations ni Arushaone
waziri wa ukaguzi wa bidhaa ni Asprin
waziri wa nishati na madini ni manoah
MKUU WA ITIFAKI NI lara 1 akisaidiana na Erickb52

KUNA MWENYE TATIZO?

mie nitakuwa waziri wa mambo yako ya NDANI
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom