Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 8,938
- 25,281
Mfano tukiambiwa uzazi wa mpango ni lazima kila mwanaume wa miaka 40 kwenda juu afanyiwe "vasectomy" ili asiwe na mbegu zinazoweza kutunga mimba ili watu wasizaliane hovyo itakuwa sawa ?
Masuala ya afya siku zote ni hiari ! Ukileta mlango wa kulazimishana ndio unatengeneza udikteta Acha Gwajima na wafuasi wake tuparuane nao humu humu kwa hoja🤣
Masuala ya afya siku zote ni hiari ! Ukileta mlango wa kulazimishana ndio unatengeneza udikteta Acha Gwajima na wafuasi wake tuparuane nao humu humu kwa hoja🤣