PostGE2025 Rais Samia: Upigaji kura ulirahisishwa sana! Iliwafanya Waangalizi wa Uchaguzi kudhani wananchi hawakujitokeza kupiga kura

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Rais Samia amesema kuwa utaratibu wa kuongeza vituo vingi vya kupigia kura ulisaidia sana kupunguza msongamano katika vitu hivyo, hivyo upigaji kura kurahishwa sana na haukuchukua muda mwingi wa wananchi kama ilivyozoeleka, jambo lililowafanya baadhi ya waangalizi wa uchaguzi kudhani wananchi hawakujitokeza kupiga kura.

Pia soma > GE2025 - Hiki ndio kilifanywa na wasimamizi wa uchaguzi ili kupata 98% ya kura za Samia

VIDEO: Urahisishaji upigaji kura wenyewe sasa ulivyofanyika
sasa si anajidanganya mwenyewe sisi hatukupiga kura
 
Waangalizi wa uchaguzi wasivijue vituo vilivyoongezwa. Maajabu haya
 
Huyu kuongelea uchaguzi ni kuendelea kuleta contradiction
 
ccmtanzania_b1dc317b0cba419eafc6de318ec4da6d.jpg
 
Watu waliopiga kura nchi nzima hawafiki milioni tano, bora angekaa kimya kuliko kusema uongo wa wazi
 
Rais Samia amesema kuwa utaratibu wa kuongeza vituo vingi vya kupigia kura ulisaidia sana kupunguza msongamano katika vitu hivyo, hivyo upigaji kura kurahishwa sana na haukuchukua muda mwingi wa wananchi kama ilivyozoeleka, jambo lililowafanya baadhi ya waangalizi wa uchaguzi kudhani wananchi hawakujitokeza kupiga kura.

Pia soma > GE2025 - Hiki ndio kilifanywa na wasimamizi wa uchaguzi ili kupata 98% ya kura za Samia

VIDEO: Urahisishaji upigaji kura wenyewe sasa ulivyofanyika
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Rais Samia amesema kuwa utaratibu wa kuongeza vituo vingi vya kupigia kura ulisaidia sana kupunguza msongamano katika vitu hivyo, hivyo upigaji kura kurahishwa sana na haukuchukua muda mwingi wa wananchi kama ilivyozoeleka, jambo lililowafanya baadhi ya waangalizi wa uchaguzi kudhani wananchi hawakujitokeza kupiga kura.

Pia soma > GE2025 - Hiki ndio kilifanywa na wasimamizi wa uchaguzi ili kupata 98% ya kura za Samia

VIDEO: Urahisishaji upigaji kura wenyewe sasa ulivyofanyika
Ila huyu bibi mashavu ni muongo aisee,Shetani akasome
 
Kukaa kimya kungempa heshima kuliko huu uongo anaolazimisha.
 
Kuna Satellite images zitaonyesha foleni kwenye vituo vyote vya kupigia kura.CCM wamesahau kuna teknolojia.

Watasema waliongeza Vituo.
Lkn hawajui kua watu wanafanya hesabu ukichukua idadi ya wapiga kura gawanya kwa vituo vilivyopo.

Inalazimisha kua na Foleni kibwa non stoo kuanzia saa moja mpaka saa 12 jioni. Kitu ambacho hakipo kwenye picha hata moja
 
Back
Top Bottom