Umeshaosha vyombo hapo kwa shemeji yako na kuogesha wapwa zako?Hii nchi haita tawalika
Na wewe huna akili kama huyoUtaletewa option nyingi ww chagua
SSH❤️
Aya mtaona kama mtaitawalaUmeshaosha vyombo hapo kwa shemeji yako na kuogesha wapwa zako?
Kichwa chako akili huna wenye akili hawafanyi km weweUtaletewa option nyingi ww chagua
SSH❤️
Wanafanyaje nami nifanye swilat?Kichwa chako akili huna wenye akili hawafanyi km wewe
Waangalizi wame differ, unafiki ni currency ya hii nchiRais Samia amesema kuwa utaratibu wa kuongeza vituo vingi vya kupigia kura ulisaidia sana kupunguza msongamano katika vitu hivyo, hivyo upigaji kura kurahishwa sana na haukuchukua muda mwingi wa wananchi kama ilivyozoeleka, jambo lililowafanya baadhi ya waangalizi wa uchaguzi kudhani wananchi hawakujitokeza kupiga kura.
Pia soma > GE2025 - Hiki ndio kilifanywa na wasimamizi wa uchaguzi ili kupata 98% ya kura za Samia
Ndio ulirahisishwa ki hivyo yaan akawa anajitikia tu 😀😀😀😀mamaaaeeeePumbafu kabisa wasimamizi wa vituo walikuwa wanatiki karatasi za kupigia kura,Gen z,huyo haramu ni tapeli
Ukweli mtupu
Wewe mlaniwe na damu za Watanganyika tukutane tarehe 09.12.2025Ukweli mtupu
Kama kukera tu, huyu mama hana mpinzani.