Eagle Trader
JF-Expert Member
- Jun 26, 2025
- 637
- 707
AiseeeKutosoma sana sio shida Kitila mkumbo ana Elimu kubwa ila angalia ufanisi wake una tofauti gani asiyesoma sana? Mama Samia shida yake sio Elimu ni maarifa ndio hana

Kura zilipigwa kwa kutumia mifumo🐼Bado natafakari kujua walirahisisha vipi upigaji kura...watu walipigia majumbani kwa njia ya simu?