Kwa kweli wanakera. Hivi sheria ya kusubiri siku 90 na kuomba kielectronik ilipitishwa na bunge enzi za Ndugai au ni wao wenyewe waliamua tu. Prof. Mkenda na. Rais Samia wanajua kinachoendelea na wanajua wanaosubiri kurudishiwa pesa hizi ni wanufaika wangapi na ni kiasi gani. Na wameshalipa kiasi gani kwa watu wangapi? Hakuna Mbunge wa kutuulizia swahi hili. Kweli nimewamiss wabunge makini wa Chadema.Nikimkuta pepon. Afsa wa bodi ya mikopo bas nageuza