myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 147,872
- 657,138
Wewe umuonye Rais.......!!!!!!Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa?
Kwa miaka 3 hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu 2 nchi nzima, January Makamba ameacha mgao wa kutisha wa umeme kila kona, huku akisaini mikataba ya mabilioni ya pesa na wawekezaji hewa kutoka nje.
Legacy ya Makamba ni ipi hapo TANESCO?
Mbona ana washauri wengi tu wenye kujua mengi...