Rais Samia: Tanzania tutakuja kwa nguvu yote Kenya kuwekeza

GDP inakuwa calculated vipi? Kuna reflection kati ya GDP na economic welfare of general population au reflection yake inakuwa based na data ambazo zinatumika ku calculate hiyo GDP?
Inakuwa calculated na calculator.
 
Rais Samia: Zipo kampuni 30 za Tanzania ambazo zimewekeza mtaji ndani ya Kenya wenye thamani wa shilingi za Kenya, Bilioni 19 na kutoa ajira kwa watu 2,640 lakini nikaweka ahadi kwamba, Tanzania sasa tutakuja kwa nguvu yote kuwekeza Kenya ili kukuza ujazo wa biashara

Awali Rais Samia alisema Kenya inashika nafasi ya tano kwa uwekezaji ndani ya Tanzania ambapo imewekeza miradi 513 yenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 1.7 ambayo imetoa ajira zipatazo 51 elfu za watanzania.


Tuulizane kwa makini sana! Rais wetu amezoea kushangiliwa au anaona makofi na kelele ktk majukwa huwa ni za kweli? Kenya ni nchi inayohitaji ubabe ktk kushirikiana nayo. Utawekeza nini kama hawataki majirani zao kuwekeza kwao? Rais wetu ajiulize ni kwa nini ilikuwa vigumu kwa CRDB bank kuwekeza Kenya kuliko KCB kuwekeza TZ. Hawa jamaa ukabila uko kila sekta! Tusidanganyane na kuambiwa ni majirani. Na, Rais asituponze kwa furaha ya majukwaani.
 
Rais Samia: Zipo kampuni 30 za Tanzania ambazo zimewekeza mtaji ndani ya Kenya wenye thamani wa shilingi za Kenya, Bilioni 19 na kutoa ajira kwa watu 2,640 lakini nikaweka ahadi kwamba, Tanzania sasa tutakuja kwa nguvu yote kuwekeza Kenya ili kukuza ujazo wa biashara

Awali Rais Samia alisema Kenya inashika nafasi ya tano kwa uwekezaji ndani ya Tanzania ambapo imewekeza miradi 513 yenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 1.7 ambayo imetoa ajira zipatazo 51 elfu kwa watanzania.


Kenya hakuna fulsa yoyote kwa mtanzania fulsa zipo hapa hapa tz ila soko liko popote duniani.
 
Back
Top Bottom