Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

Tatizo liko wapi?
Mambo kama haya huonekana no mama kaamua pekee kumbe Kuna cabinet kubwa nyuma take, akifanya poa inaomekana mama kafanya POA ila akizingua somewhere itaonekana jau Zaid,zingatia ishu ya mikopo ilivokuwa...napendekeza tutumie serikali ime na sio mama ame
 
Sawa ila maana ni ileile mkuu wangu
 
awesome
 
Tatizo lako wengi wanakurekebisha ila unashupaza singo ukijua mama anacheka na kufurahi akisoma hizi maandishi yako kumbe oo1.
Wewe unatakaje mkuu, Unataka nikae kimya kama wewe?

Siku wewe CHADEMA ukinishauri nikafanya unavyotaka jua sitaandika tena chochote hapa JF,
 
maajabu
 
Wewe unatakaje mkuu, Unataka nikae kimya kama wewe?

Siku wewe CHADEMA ukinishauri nikafanya unavyotaka jua sitaandika tena chochote hapa JF,
Ugonjwa unaowasumbua ni pale mtu anapopinga uongo wako na wengine kuonekana ni mpinzani, NO!.

Siyo kila anayekupigia makofi yupo na wewe, anakupa moyo uendelee kuongea aone udhaifu wako. (handle that!)
 
Wewe kwani ulishahama CHADEMA?
 
Ugonjwa unaowasumbua ni pale mtu anapopinga uongo wako na wengine kuonekana ni mpinzani, NO!.

Siyo kila anayekupigia makofi yupo na wewe, anakupa moyo uendelee kuongea aone udhaifu wako. (handle that!)
Kweli huu unaweza kuwa ni Ujinga?
 
Nzuri pia
 
Huyu CM 1774858 ni mzalendo sana, Fanya utafiti wako
Uzalendo huwa unagusia nyanja zote za nchi, ukiona hicho unachosema uzalendo unaegemea upande mmoja huo siyo bali ni kitu kingine kabisa hata sijui kinaitwaje!.

Unataka kusema nikiwa namzunguzia babu yangu tuu kwa mambo yote kuwa pasipo yeye was nothing, then unasahau kuwa pasipo baba yake na huyo babu unayemsifia also nothing was existed.

Huyo mzalendo anazungumzia raia wanaouliwa na polisi au polisi wanaouliwa na raia?.

πŸ‘‰πŸΎ Tufuatilie kwa pamoja.
 
kwanza watujibu ile mifuniko ndo imeshindikana kupachikwa mahala pake!!?,au hiyo mihela ndo yakuagiza huo mu winch wa kupachikia hiyo mifuniko!!?,

Tuwakumbushe tu,wasivimbiwe wajipimie!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…