Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli

Japo mama Kuna kipindi alikuwa kama anataka kuyumba naona wamemshika sikio kuwa hawezi kujitenga na JPM hata siku moja watu wanaona na kura za kanda ya ziwa zinaitajika sana mwaka 2025
Timu magufuli bwana wajinga sana mmechotwa kisaikolojiaa na mmechoteka.
Magu kaacha legacy mbaya kuliko wenzake wote waliomtangulia.
Kibaya alicho fanya ambacho hadi sasa kunaliangamiza taifa ni kuwaaminisha wafuasi wake kuwa hakuna rais mwingine apaswaye kuabudiwa isipo kuwa MAGUFULI, hii ni legacy mbaya sana kwa taifa na ndiyo inayo litesa taifa kwa sasa kwani watu waliwekeza kwa mtu na sio taifa.
 
Timu magufuli bwana wajinga sana mmechotwa kisaikolojiaa na mmechoteka.

Kibaya alicho fanya ambacho hadi sasa kunaliangamiza taifa ni kuwaaminisha wafuasi wake kuwa hakuna rais mwingine apaswaye kuabudiwa isipo kuwa MAGUFULI, hii ni legacy mbaya sana kwa taifa na ndiyo inayo litesa taifa kwa sasa kwani watu waliwekeza kwa mtu na sio taifa.
Sasa Mama yenu ameshachagua upande sasa rudini kwa mzee wa Ubeligiji tukutane oct 2025
 
Huu ndio ukweli JPM legacy yake haiwezi kutolewa na mtu au kundi la watu hata siku moja, itachukua muda sana kufanya hvyo Samia mwenyewe anajua hilo. Nashangaa machawa na viherehere kuanza kuleta mgongano ambao hauna afya kwa Taifa Samia amejua kuwa wahuni wa mitandaoni watampoteza na si wapiga kura , wapinga kura wametulia wana mzoom tu.
Ujukbe muhimu japo siyo legacy bali ni umbumbumbu wa wabungebja bunge.
 
Sasa Mama yenu ameshachagua upande sasa rudini kwa mzee wa Ubeligiji tukutane oct 2025
Kwa hiyo na Rais Samia Suluhu Hassan naye ataisigina Katiba kama alivyokuwa akifanya mwendazake?

Kwa hiyo na kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan nayo itakuwa sheria hata kama inapingana na Katiba?

Je katika sera za CCM kuna kifungu chcochote kinachoruhusu kuvunjwa kwa Katiba na Rais akitoka CCM?

Je hamuoni kwamba hii Kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan inaitaka bunge kutekeleza majukumu yake kama bunge?

Je mipasho tunayoishuhudia kila mara ndani ya bunge ni katika kutekeleza sera za CCM au kanuni na sheria?

Je Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza taifa kwa kufuata sera za CCM au kwa kufuata Katiba, sheria na kanuni?

Je katika kiapo alichokula Rais Samia Suluhu Hassan kuna sehemu ameapa kuiongoza nchi kwa utashi wa sera za CCM?
 
Wanaogopa uchaguzi huru Mama . Vilevile Ndugai ka panic sijui ana nini kabaki kucheka cheka kinafiki tu. Anataka Bagamoyo iwe China town
 
Huu ujumbe ni mahsusi kwa Spika Ndungai kwani ni yeye anayelea hii mijadala ya kihuni. Anawapa muda wa nyongeza wale darasa la saba wake aliowaanda kuporomosha matusi huku wengine wakiruka ruka kushangilia huku wanakata viuno kama wacheza kigodoro vile. Aibu kubwa sana hii. Asante Mh. Rais kwa kukemea huu ujinga unaoendelea huko Bungeni.
 
Jidaganye hivo hivo mkuu. Ccm haitegemei kura
Technically miaka inavyokwenda CCM nguvu yao ya ushawishi dhidi ya vyombo vya dola inaenda kuisha kwani watu ambao wanaweza kuwambia viongozi wa hvyo vyombo hawapo mfano mdogo tu leo Bashiru na Polepole wanaweza mtisha nani?? Je kipindi JPM yupo au Mkapa nguvu ya CCM kimamlaka itakuwa sawa na Sasa?

Muda unavyokwenda itabidi wategemee kura si ubabe kama ilivyokuwa zamani sasa wanafanyaje inabidi washuke wa waliowapa jina la wanyonge ambao wengi wanaamini mtetezi wao alikuwa JPM
 
Back
Top Bottom