Rais Samia: Serikali Yangu Sio ya Maneno ni ya Vitendo

Hii Nchi siyo Mali ya Samia na chawa wake, amepewa tu dhamana ya kuongoza basi!

Hatutakubali kuingizwa kwenye mikataba ya Kimangungo !

Rais Samia usisaini huo mkataba urudishe Bungeni na Wananchi wapewe muda wa kutosha watoe maoni yao!

Ikibidi uondolewe kabisa na kama kuna uhitaji wa uendeshaji na uboreshaji wa Bandari zetu basi sheria za manunuzi zifuatwe kama kawaida!

Hao "wajomba " zako wa DP World washindanishwe na wengine Duniani!

Vinginevyo 2025 hutoboi !,
Mimi ni mwana CCM na kwakweli Rais Samia ulikuwa unaenda vizuri ila hili la DP World limekuchafua sana na approval rating yako imeshuka sana!

Hao Chawa wako wasikudanganye, pembeni wanakuzomea ni wachumia tumbo tu hao!
Kaka Pole.Yaan mm mwana CCM Nimetumia nguvu nyingi sana kujenga jina la mwenyekiti .nyingi sanaaaa lakini nyiiingi ila sasa 2025.Nawapigia chadema
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye amewasili mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ambapo ataongoza maadhimisho siku ya Kimataifa ya kupiga vita dawa za kulevya itakayofanyika kitaifa mkoani humo tarahe Juni 25 mwaka huu kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid amesema yeye hana maneno mengi bali ana vitendo zaidi huku akiangalia wapi anakwenda.

Rais Samia amezungumza baada ya wananchi waliokuwa wamejitokeza kumpokea katika eneo la Tengeru kuanza kuimba nyimbo zenye maneno "Samia Sema, Sema usiogope sema..."

Rais Samia aliwajibu akisema
"Nimeshasema wanangu, mimi sina maneno mengi, mimi vitendo tu ndio vingi. Wakisema mimi ninafanya masikio hivi (huku akiweka mkono wake masikioni) naangalia wapi ninakwenda, kwa hiyo waseme sisi tunafanya”

Wanajamvi, Rais wa Nchi kasema sisi tuseme tu yeye anapiga kazi tu
---

Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati aliposimama kuwasalimia wakazi wa Tengeru mkoani Arusha amesema yeye hana maneno mengi bali ana vitendo zaidi huku akiangalia wapi anakwenda. Rais Samia amesema:

"...Nimeshasema wanangu, mimi sina maneno mengi, mimi vitendo tu ndio vingi. Wakisema mimi ninafanya masikio hivi naangalia wapi ninakwenda, kwa hiyo waseme sisi tunafanya...”
---

Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya Awamu ya Sita inataka kuona vijana wa Kitanzania wakijenga uchumi imara pamoja na kujenga ustawi wa maisha yao na familia zao.

Ameyasema hayo leo Juni 24, 2023 jijini Arusha wakati alipowasili na kusalimiana na wananchi wa mkoa huo ikiwa ni katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya yatakayofanyika kitaifa mkoani humo Juni 25, mwaka huu.

“Tunataka kuona vijana wa Kitanzania wakiwa wako ‘busy’ kuzalisha mali na kujenga ustawi wa maisha yao na kujijengea uchumi wenye hadhi, uchumi imara kwa wenyewe na familia zao,” amesema Rais Samia Suluhu.

Aidha, amesema Serikali inafanya jitihada mbalimbali ikiwemo kufungua nchi na kukaribisha sekta binafsi ili zije zifanye kazi na Tanzania katika maeneo mbalimbali ili kuzalisha ajira kwa vijana na kujenga kesho yao iliyo njema.

Mbali na hayo, Rais Samia amesema Serikali yake haina maneno mengi bali inafanya kazi kwa vitendo na kuangalia wapi inakusudia kwenda ili kuleta maendeleo kwa Watanzania.

Credit: Clouds Media
Ipo slku mtawajibishwa na kulipa kupitia puani.
 
2025💪
 
Hao anaowazibia masikio wakiamua wanamrejesha kwao kwenda kukaa na wajukuu.
Na kama anaziba masikio mbona kateua kina Lukuvi wawe maafisa uhusiano wa jamii ?

Kama hujali taswira yako kwenye jamii public relations officers wa nini ?

Kwanza ni ushamba, unprofessional, unpresidential karne hii kusema unazibia masikio wananchi wanaokosoa. Unaongoza nchi kama kikundi cha Sindimba ?
 
Matendo kama Matendo
IMG-20230620-WA0011.jpg
 
huyo ndoo hangaya nnae mjua mimi. mama chapa kaziiiii tumecheleweshwa sanaaa
Yes Nyerere alituchelewesha kuuza ardhi yenye madini
Mkapa akaacha kuendelea kuuza mbuga zetu.

Mama auze Loliondo
Bandari
Na akodishe kila kitu kwa wajomba zake.
Fambaf zenu machawa na mfuga chawa mwenyewe
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye amewasili mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ambapo ataongoza maadhimisho siku ya Kimataifa ya kupiga vita dawa za kulevya itakayofanyika kitaifa mkoani humo tarahe Juni 25 mwaka huu kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid amesema yeye hana maneno mengi bali ana vitendo zaidi huku akiangalia wapi anakwenda.

Rais Samia amezungumza baada ya wananchi waliokuwa wamejitokeza kumpokea katika eneo la Tengeru kuanza kuimba nyimbo zenye maneno "Samia Sema, Sema usiogope sema..."

Rais Samia aliwajibu akisema
"Nimeshasema wanangu, mimi sina maneno mengi, mimi vitendo tu ndio vingi. Wakisema mimi ninafanya masikio hivi (huku akiweka mkono wake masikioni) naangalia wapi ninakwenda, kwa hiyo waseme sisi tunafanya”

Wanajamvi, Rais wa Nchi kasema sisi tuseme tu yeye anapiga kazi tu
---

Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati aliposimama kuwasalimia wakazi wa Tengeru mkoani Arusha amesema yeye hana maneno mengi bali ana vitendo zaidi huku akiangalia wapi anakwenda. Rais Samia amesema:

"...Nimeshasema wanangu, mimi sina maneno mengi, mimi vitendo tu ndio vingi. Wakisema mimi ninafanya masikio hivi naangalia wapi ninakwenda, kwa hiyo waseme sisi tunafanya...”
---

Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya Awamu ya Sita inataka kuona vijana wa Kitanzania wakijenga uchumi imara pamoja na kujenga ustawi wa maisha yao na familia zao.

Ameyasema hayo leo Juni 24, 2023 jijini Arusha wakati alipowasili na kusalimiana na wananchi wa mkoa huo ikiwa ni katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya yatakayofanyika kitaifa mkoani humo Juni 25, mwaka huu.

“Tunataka kuona vijana wa Kitanzania wakiwa wako ‘busy’ kuzalisha mali na kujenga ustawi wa maisha yao na kujijengea uchumi wenye hadhi, uchumi imara kwa wenyewe na familia zao,” amesema Rais Samia Suluhu.

Aidha, amesema Serikali inafanya jitihada mbalimbali ikiwemo kufungua nchi na kukaribisha sekta binafsi ili zije zifanye kazi na Tanzania katika maeneo mbalimbali ili kuzalisha ajira kwa vijana na kujenga kesho yao iliyo njema.

Mbali na hayo, Rais Samia amesema Serikali yake haina maneno mengi bali inafanya kazi kwa vitendo na kuangalia wapi inakusudia kwenda ili kuleta maendeleo kwa Watanzania.

Credit: Clouds Media
Mama tunaona na kuziishi juhudi zako, "action speaks louder than words. Tulio wengi tu pamoja nawe, daima mbele nyuma haturudi. Watasema mchana usiku watalala.
 
Mmh vitendo gani ivyo???mbona hatuvioni???Rais wa vitendo anajulikana nchi nzima ilijngeka.CCM mna hali mbaya sanaaa tuleteen mgombea mwingine
 
Ni kweli hajatuambia hata kuwa atauza bandari
Kauza tu ghafla.
 
Atuuze mara ngapi? Mkataba unasema DP world akitaka sehemuyeyote ya ‘Territory’ ya Tanganyika, seriakli inatakiwa iwaondoe watu katika eneo hilo kwa gharama zetu wenyewe, na akapewe DP world bila kulioa chochote, apewe bure! Sas auuzwe mara ngapi? Na hii haina kikomo, hata Yesu akirudi..

Sasa sijui anafanya nini madarakani hadi muda huu

View attachment 2667601
Huo ni ukoloni. Tusivyo na akili tumejirudisha wenyewe mikononi mwa wakoloni
 
Huyo msaliti hayupo kwa ajili ya kuwaongoza watanganyika, yupo hapo kwa ajili ya kuwanufaisha ndugu zake waarabu, hata azibe masikio na jiwe, bado kelele zitapigwa tu, hawezi kusema serikali yake ni ya vitendo, huku vitendo vyenyewe vya kumkandamiza mtanganyika na kumnufaisha mwarabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom