Rais Samia: Serikali Yangu Sio ya Maneno ni ya Vitendo

Mwisho wa mjadala...

Wacha tuendelee na Mengine.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye amewasili mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ambapo ataongoza maadhimisho siku ya Kimataifa ya kupiga vita dawa za kulevya itakayofanyika kitaifa mkoani humo tarahe Juni 25 mwaka huu kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid amesema yeye hana maneno mengi bali ana vitendo zaidi huku akiangalia wapi anakwenda.

Rais Samia amezungumza baada ya wananchi waliokuwa wamejitokeza kumpokea katika eneo la Tengeru kuanza kuimba nyimbo zenye maneno "Samia Sema, Sema usiogope sema........."

Rais Samia aliwajibu akisema
"Nimeshasema wanangu, mimi sina maneno mengi, mimi vitendo tu ndio vingi. Wakisema mimi ninafanya masikio hivi (huku akiweka mkono wake masikioni) naangalia wapi ninakwenda, kwa hiyo waseme sisi tunafanya”

Wanajamvi, Rais wa Nchi kasema sisi tuseme tu yeye anapiga kazi tu

Credit: Clouds Media

Huyu Bibi akiendelea kuchekewa atatuuza na sisi raia!
 
Kashalegea
Bado kidogo tu anaenda kwao, tunakazia hapo hapo, hamna
CBC252F7-7336-46C6-B75A-CAADE5EAC391.jpeg
kuacha
 
Huyu Bibi akiendelea kuchekewa atatuuza na sisi raia!
Atuuze mara ngapi? Mkataba unasema DP world akitaka sehemuyeyote ya ‘Territory’ ya Tanganyika, seriakli inatakiwa iwaondoe watu katika eneo hilo kwa gharama zetu wenyewe, na akapewe DP world bila kulioa chochote, apewe bure! Sas auuzwe mara ngapi? Na hii haina kikomo, hata Yesu akirudi..

Sasa sijui anafanya nini madarakani hadi muda huu

4A6E05DD-622F-464F-9B1C-5940DA32B05A.jpeg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye amewasili mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ambapo ataongoza maadhimisho siku ya Kimataifa ya kupiga vita dawa za kulevya itakayofanyika kitaifa mkoani humo tarahe Juni 25 mwaka huu kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid amesema yeye hana maneno mengi bali ana vitendo zaidi huku akiangalia wapi anakwenda.

Rais Samia amezungumza baada ya wananchi waliokuwa wamejitokeza kumpokea katika eneo la Tengeru kuanza kuimba nyimbo zenye maneno "Samia Sema, Sema usiogope sema........."

Rais Samia aliwajibu akisema
"Nimeshasema wanangu, mimi sina maneno mengi, mimi vitendo tu ndio vingi. Wakisema mimi ninafanya masikio hivi (huku akiweka mkono wake masikioni) naangalia wapi ninakwenda, kwa hiyo waseme sisi tunafanya”

Wanajamvi, Rais wa Nchi kasema sisi tuseme tu yeye anapiga kazi tu

Credit: Clouds Media

Hapo ndiyo anapofail Mbona mipasho na taarabu zimejaa
 
Well done mama
Kazi yako itaonekana
Na itaandikwa kwa wino wa dhahabu na itakumbukwa vizazi na vizazi
Piga kazi achana na washamba wakuja
Sisi watanzania tuko pamoja nawe daima,

Watanganyika katafteni inchi yenu kwanza
 
Rais Samia aliwajibu akisema
"Nimeshasema wanangu, mimi sina maneno mengi, mimi vitendo tu ndio vingi. Wakisema mimi ninafanya masikio hivi (huku akiweka mkono wake masikioni) naangalia wapi ninakwenda, kwa hiyo waseme sisi tunafanya”
Kutupiga mnada kikavu kwa maswahiba wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom