Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,429
- 139,486
Huwa sihesabu kama tuna rais
Kazi inaonekanaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye amewasili mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ambapo ataongoza maadhimisho siku ya Kimataifa ya kupiga vita dawa za kulevya itakayofanyika kitaifa mkoani humo tarahe Juni 25 mwaka huu kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid amesema yeye hana maneno mengi bali ana vitendo zaidi huku akiangalia wapi anakwenda.
Rais Samia amezungumza baada ya wananchi waliokuwa wamejitokeza kumpokea katika eneo la Tengeru kuanza kuimba nyimbo zenye maneno "Samia Sema, Sema usiogope sema..."
Rais Samia aliwajibu akisema
"Nimeshasema wanangu, mimi sina maneno mengi, mimi vitendo tu ndio vingi. Wakisema mimi ninafanya masikio hivi (huku akiweka mkono wake masikioni) naangalia wapi ninakwenda, kwa hiyo waseme sisi tunafanya”
Wanajamvi, Rais wa Nchi kasema sisi tuseme tu yeye anapiga kazi tu
---
Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati aliposimama kuwasalimia wakazi wa Tengeru mkoani Arusha amesema yeye hana maneno mengi bali ana vitendo zaidi huku akiangalia wapi anakwenda. Rais Samia amesema:
"...Nimeshasema wanangu, mimi sina maneno mengi, mimi vitendo tu ndio vingi. Wakisema mimi ninafanya masikio hivi naangalia wapi ninakwenda, kwa hiyo waseme sisi tunafanya...”
---
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya Awamu ya Sita inataka kuona vijana wa Kitanzania wakijenga uchumi imara pamoja na kujenga ustawi wa maisha yao na familia zao.
Ameyasema hayo leo Juni 24, 2023 jijini Arusha wakati alipowasili na kusalimiana na wananchi wa mkoa huo ikiwa ni katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya yatakayofanyika kitaifa mkoani humo Juni 25, mwaka huu.
“Tunataka kuona vijana wa Kitanzania wakiwa wako ‘busy’ kuzalisha mali na kujenga ustawi wa maisha yao na kujijengea uchumi wenye hadhi, uchumi imara kwa wenyewe na familia zao,” amesema Rais Samia Suluhu.
Aidha, amesema Serikali inafanya jitihada mbalimbali ikiwemo kufungua nchi na kukaribisha sekta binafsi ili zije zifanye kazi na Tanzania katika maeneo mbalimbali ili kuzalisha ajira kwa vijana na kujenga kesho yao iliyo njema.
Mbali na hayo, Rais Samia amesema Serikali yake haina maneno mengi bali inafanya kazi kwa vitendo na kuangalia wapi inakusudia kwenda ili kuleta maendeleo kwa Watanzania.
Credit: Clouds Media
Hulazimishwi kuhesabu wewe hesabu hayupo ila matokeo utayaona 😆😆Huwa sihesabu kama tuna rais
Haiondoi huu ukweli kwamba Mama anachapa kazi na viwango hivi havijawahi fikiwa na yeyoteView attachment 2667579
Kama ana hata chembe ya aibu , basi ajiuzulu haraka.., na hatuachi hadi ajiuzulu au wajitoe kwa lazima kwenye huo mkataba usio na kikomo, hata tukipelekwa mahakamani, potelea mbali.
Yaa kazi ya kuuza Nchi inaendelea Kwa Kasi huku 👇Vitendo vya kuuza nchi?
Akauze na bandari ya Zanzibar kama kweli ana nia njema. Asitufanye watoto tushajua malengo yake
Sijawahi kwenye maisha yangu kuwa na mashaka na rais yeyote, ila huyu mama hapana!
Tangu aliposema ukiscratch my back i will scratch yours,mmmhh wanawake tunajuana tu udhaifu wetu japo sio wote, ila kwa mama huyu alopata urais kwa kudra, hapana kabisa imani naye!
Mini sijaelewa aliposema yeye ni vitendo tu.Ni vitendo vip sasa anavyofanya?toka ashike madaraka hamna vitendo vyenye tija kwa wananchi zaidi ya maumivu kwa watu.tumeona ameongeza tozo lukuki,umeme bei juu,mafuta bei juu na sasa ameamua kuuza bandari za tanganyika na kuziacha za zanzibar
Mimi ni Mtanganyika. Sio Mtanzania bara. Kuanzia sasa
Kipindi Cha Mwendazake tulisikia Nemo CHAtO na Sukuma Gang....Sasa hivi ni Tanganyika na Zanzibar.Unauza Tanganyika yetu uansema huna manen mengi?
Sisi wa huku Vijijini tutamchagua ,nyie endeleeni kubishana na ujinga wenu wa DP World na kuuza Bandari..Hii Nchi siyo Mali ya Samia na chawa wake, amepewa tu dhamana ya kuongoza basi!
Hatutakubali kuingizwa kwenye mikataba ya Kimangungo !
Rais Samia usisaini huo mkataba urudishe Bungeni na Wananchi wapewe muda wa kutosha watoe maoni yao!
Ikibidi uondolewe kabisa na kama kuna uhitaji wa uendeshaji na uboreshaji wa Bandari zetu basi sheria za manunuzi zifuatwe kama kawaida!
Hao "wajomba " zako wa DP World washindanishwe na wengine Duniani!
Vinginevyo 2025 hutoboi !,
Mimi ni mwana CCM na kwakweli Rais Samia ulikuwa unaenda vizuri ila hili la DP World limekuchafua sana na approval rating yako imeshuka sana!
Hao Chawa wako wasikudanganye, pembeni wanakuzomea ni wachumia tumbo tu hao!
Kusikia kwa kenge hadi damu zitoke masikioniKibri...
Kusikia kwa kenge hadi damu zitoke masikioni
Unapoteza kura Kwa sababu hawawezi kushinda hata ufanyaje bahati nzuri kura za ccm ziko Vijijini na huko Vijijini ni uhakika,Chadema itaonesha nini huko Vijijini Ili wachaguliwe?Kaka Pole.Yaan mm mwana CCM Nimetumia nguvu nyingi sana kujenga jina la mwenyekiti .nyingi sanaaaa lakini nyiiingi ila sasa 2025.Nawapigia chadema
Kazi inaendelea 👇Huyo msaliti hayupo kwa ajili ya kuwaongoza watanganyika, yupo hapo kwa ajili ya kuwanufaisha ndugu zake waarabu, hata azibe masikio na jiwe, bado kelele zitapigwa tu, hawezi kusema serikali yake ni ya vitendo, huku vitendo vyenyewe vya kumkandamiza mtanganyika na kumnufaisha mwarabu.
Hata akitaka kuuza bandari ya Tanganyika, utamfanya nini? Japo hana nia ya kuuza, wala hakuna mahali alipo sema anauza bandari.Akauze na bandari ya Zanzibar kama kweli ana nia njema. Asitufanye watoto tushajua malengo yake
Nyerere alikuwa mpuuzi mmja aliwaona wajinga nyie ndio maana akawa anatumia rasilimali za Nchi kuwapigania wengine ila nyie manyumbu mkaachwa na upuuzi wenu ndio maana Hadi Leo hii hamna akiliYes Nyerere alituchelewesha kuuza ardhi yenye madini
Mkapa akaacha kuendelea kuuza mbuga zetu.
Mama auze Loliondo
Bandari
Na akodishe kila kitu kwa wajomba zake.
Fambaf zenu machawa na mfuga chawa mwenyewe
Waambie Samia is distinguishedHata akitaka kuuza bandari ya Tanganyika, utamfanya nini? Japo hana nia ya kuuza, wala hakuna mahali alipo sema anauza bandari.
Nyumbu mna matatizo kicwani. Nyumbu mkiambiwa na bwana yenu inameni, hakika mta inama
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye amewasili mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ambapo ataongoza maadhimisho siku ya Kimataifa ya kupiga vita dawa za kulevya itakayofanyika kitaifa mkoani humo tarahe Juni 25 mwaka huu kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid amesema yeye hana maneno mengi bali ana vitendo zaidi huku akiangalia wapi anakwenda.
Rais Samia amezungumza baada ya wananchi waliokuwa wamejitokeza kumpokea katika eneo la Tengeru kuanza kuimba nyimbo zenye maneno "Samia Sema, Sema usiogope sema..."
Rais Samia aliwajibu akisema
"Nimeshasema wanangu, mimi sina maneno mengi, mimi vitendo tu ndio vingi. Wakisema mimi ninafanya masikio hivi (huku akiweka mkono wake masikioni) naangalia wapi ninakwenda, kwa hiyo waseme sisi tunafanya”
Wanajamvi, Rais wa Nchi kasema sisi tuseme tu yeye anapiga kazi tu
---
Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati aliposimama kuwasalimia wakazi wa Tengeru mkoani Arusha amesema yeye hana maneno mengi bali ana vitendo zaidi huku akiangalia wapi anakwenda. Rais Samia amesema:
"...Nimeshasema wanangu, mimi sina maneno mengi, mimi vitendo tu ndio vingi. Wakisema mimi ninafanya masikio hivi naangalia wapi ninakwenda, kwa hiyo waseme sisi tunafanya...”
---
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya Awamu ya Sita inataka kuona vijana wa Kitanzania wakijenga uchumi imara pamoja na kujenga ustawi wa maisha yao na familia zao.
Ameyasema hayo leo Juni 24, 2023 jijini Arusha wakati alipowasili na kusalimiana na wananchi wa mkoa huo ikiwa ni katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya yatakayofanyika kitaifa mkoani humo Juni 25, mwaka huu.
“Tunataka kuona vijana wa Kitanzania wakiwa wako ‘busy’ kuzalisha mali na kujenga ustawi wa maisha yao na kujijengea uchumi wenye hadhi, uchumi imara kwa wenyewe na familia zao,” amesema Rais Samia Suluhu.
Aidha, amesema Serikali inafanya jitihada mbalimbali ikiwemo kufungua nchi na kukaribisha sekta binafsi ili zije zifanye kazi na Tanzania katika maeneo mbalimbali ili kuzalisha ajira kwa vijana na kujenga kesho yao iliyo njema.
Mbali na hayo, Rais Samia amesema Serikali yake haina maneno mengi bali inafanya kazi kwa vitendo na kuangalia wapi inakusudia kwenda ili kuleta maendeleo kwa Watanzania.
Credit: Clouds Media
Hivi rais anasababu ipi ya kuita wananchi wanae ?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye amewasili mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ambapo ataongoza maadhimisho siku ya Kimataifa ya kupiga vita dawa za kulevya itakayofanyika kitaifa mkoani humo tarahe Juni 25 mwaka huu kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid amesema yeye hana maneno mengi bali ana vitendo zaidi huku akiangalia wapi anakwenda.
Rais Samia amezungumza baada ya wananchi waliokuwa wamejitokeza kumpokea katika eneo la Tengeru kuanza kuimba nyimbo zenye maneno "Samia Sema, Sema usiogope sema..."
Rais Samia aliwajibu akisema
"Nimeshasema wanangu, mimi sina maneno mengi, mimi vitendo tu ndio vingi. Wakisema mimi ninafanya masikio hivi (huku akiweka mkono wake masikioni) naangalia wapi ninakwenda, kwa hiyo waseme sisi tunafanya”
Wanajamvi, Rais wa Nchi kasema sisi tuseme tu yeye anapiga kazi tu
---
Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati aliposimama kuwasalimia wakazi wa Tengeru mkoani Arusha amesema yeye hana maneno mengi bali ana vitendo zaidi huku akiangalia wapi anakwenda. Rais Samia amesema:
"...Nimeshasema wanangu, mimi sina maneno mengi, mimi vitendo tu ndio vingi. Wakisema mimi ninafanya masikio hivi naangalia wapi ninakwenda, kwa hiyo waseme sisi tunafanya...”
---
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya Awamu ya Sita inataka kuona vijana wa Kitanzania wakijenga uchumi imara pamoja na kujenga ustawi wa maisha yao na familia zao.
Ameyasema hayo leo Juni 24, 2023 jijini Arusha wakati alipowasili na kusalimiana na wananchi wa mkoa huo ikiwa ni katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya yatakayofanyika kitaifa mkoani humo Juni 25, mwaka huu.
“Tunataka kuona vijana wa Kitanzania wakiwa wako ‘busy’ kuzalisha mali na kujenga ustawi wa maisha yao na kujijengea uchumi wenye hadhi, uchumi imara kwa wenyewe na familia zao,” amesema Rais Samia Suluhu.
Aidha, amesema Serikali inafanya jitihada mbalimbali ikiwemo kufungua nchi na kukaribisha sekta binafsi ili zije zifanye kazi na Tanzania katika maeneo mbalimbali ili kuzalisha ajira kwa vijana na kujenga kesho yao iliyo njema.
Mbali na hayo, Rais Samia amesema Serikali yake haina maneno mengi bali inafanya kazi kwa vitendo na kuangalia wapi inakusudia kwenda ili kuleta maendeleo kwa Watanzania.
Credit: Clouds Media
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye amewasili mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ambapo ataongoza maadhimisho siku ya Kimataifa ya kupiga vita dawa za kulevya itakayofanyika kitaifa mkoani humo tarahe Juni 25 mwaka huu kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid amesema yeye hana maneno mengi bali ana vitendo zaidi huku akiangalia wapi anakwenda.
Rais Samia amezungumza baada ya wananchi waliokuwa wamejitokeza kumpokea katika eneo la Tengeru kuanza kuimba nyimbo zenye maneno "Samia Sema, Sema usiogope sema..."
Rais Samia aliwajibu akisema
"Nimeshasema wanangu, mimi sina maneno mengi, mimi vitendo tu ndio vingi. Wakisema mimi ninafanya masikio hivi (huku akiweka mkono wake masikioni) naangalia wapi ninakwenda, kwa hiyo waseme sisi tunafanya”
Wanajamvi, Rais wa Nchi kasema sisi tuseme tu yeye anapiga kazi tu
---
Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati aliposimama kuwasalimia wakazi wa Tengeru mkoani Arusha amesema yeye hana maneno mengi bali ana vitendo zaidi huku akiangalia wapi anakwenda. Rais Samia amesema:
"...Nimeshasema wanangu, mimi sina maneno mengi, mimi vitendo tu ndio vingi. Wakisema mimi ninafanya masikio hivi naangalia wapi ninakwenda, kwa hiyo waseme sisi tunafanya...”
---
Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya Awamu ya Sita inataka kuona vijana wa Kitanzania wakijenga uchumi imara pamoja na kujenga ustawi wa maisha yao na familia zao.
Ameyasema hayo leo Juni 24, 2023 jijini Arusha wakati alipowasili na kusalimiana na wananchi wa mkoa huo ikiwa ni katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya yatakayofanyika kitaifa mkoani humo Juni 25, mwaka huu.
“Tunataka kuona vijana wa Kitanzania wakiwa wako ‘busy’ kuzalisha mali na kujenga ustawi wa maisha yao na kujijengea uchumi wenye hadhi, uchumi imara kwa wenyewe na familia zao,” amesema Rais Samia Suluhu.
Aidha, amesema Serikali inafanya jitihada mbalimbali ikiwemo kufungua nchi na kukaribisha sekta binafsi ili zije zifanye kazi na Tanzania katika maeneo mbalimbali ili kuzalisha ajira kwa vijana na kujenga kesho yao iliyo njema.
Mbali na hayo, Rais Samia amesema Serikali yake haina maneno mengi bali inafanya kazi kwa vitendo na kuangalia wapi inakusudia kwenda ili kuleta maendeleo kwa Watanzania.
Credit: Clouds Media
Kwa sehemu kubwa kashapoteza Imani kwa wale waliokuwa wakimuunga mkono. Waliobaki hivi sasa ni wale ignorant people na wale chawa wake.Sijawahi kwenye maisha yangu kuwa na mashaka na rais yeyote, ila huyu mama hapana!