Shetani kwelikweli anaejifunika ushungi kuzuga watu.Shetani wa kike wa Kiislamu anyway
Yani Mbowe anaua watu wote hao bado jamhuri inamtazama tu!!!? Nadhani chuki imekuongoza kusema hayo.Huo ni ujinga namba Moja ulioandika mbowe anapitia mateso kama malipo ya aliyoyafanya Tena ni madogo sana hayo aeleze alikowaficha kina saanane...
Std 7Dogo, Natamani kujua kiwango chako cha Elimu
Madaraka matamu sanaBinafsi mimi ni kijana mdogo sana. Naomba nisema Mh. Rais Samia shikamoo.
Mh. Rais nasikitishwa na mateso anayopitia mzee Mbowe kwa baraka za utawala wako,,,sikudhani wewe Mama ungukuja kuongeza mikanganyiko ya kisiasa nchini...
Bwashee mbavu zangu zimekukosea nn??Upolisi siyo taaluma.
Ni hilo tu.
Malipo ni hapa hapa duniani waache wanaotesa wenzao kwa kes za kusingiziwa Mungu atalipaBinafsi mimi ni kijana mdogo sana. Naomba nisema Mh. Rais Samia shikamoo.
Mh. Rais nasikitishwa na mateso anayopitia mzee Mbowe kwa baraka za utawala wako,,,sikudhani wewe Mama ungukuja kuongeza mikanganyiko ya kisiasa nchini...
GoodShetani wa kike wa Kiislamu anyway
Tupambane nao kwa waganga wa kienyejiMalipo ni hapa hapa duniani waache wanaotesa wenzao kwa kes za kusingiziwa Mungu atalipa
Mama alivyotamka aliyoyatamka kwenye mahojiano na mwandishi wa BBC hakujua kuwa suala Hilo liko Mahakamani??? Alivyotamka kuwa Polisi waachie kuwabambikia watu kesi alikuwa anamaanisha nn???YALIYOPO MAHAKAMANI TUJIFUNZE KUYAHESHIMU
Kesi itachakatwa kwa Shahid za upande zote,hatimaye HAKI itapatikana.
Sirro na wenzako hakuna dhambi halali kwa kigezo cha siasa. Mtafariki kwa mateso ya stroke ya mda mrefu mkono moja, mguu moja na mdomo utashuka kuelekea upande mmoja.Binafsi mimi ni kijana mdogo sana. Naomba nisema Mh. Rais Samia shikamoo.
Mh. Rais nasikitishwa na mateso anayopitia mzee Mbowe kwa baraka za utawala wako,,,sikudhani wewe Mama ungukuja kuongeza mikanganyiko ya kisiasa nchini...
Unasemaaaaa?Upolisi siyo taaluma.
Ni hilo tu.
Brother ebu tupe ushahidi wa hayo uliyaandika.Usijifanye unazijua sana siasa kijana.
Watu wanaovamia siasa kwa mihemko ndio wanaishia kama kina Ben Saanane, Alphonce Mawazo, Lissu...
Nakushauri hivi; Unapo ongelea jambo la kisheria jaribu kupata muongozo kidogo kwa wenye uelewa wa sheria japo kidogo na ukikosa wa kukuelekeza; Unaweza kuandika hapa kwenye jukwaa kuomba uelekezweStd 7
EXACTLY, WATANZANIA WENZETU WENGI WANATESEKA MAGEREZANI KWA KESI ZA KUSINGIZIWASiyo Mbowe pekee kuna watanzania wengi sn wanatesa magerezani bila sababu za msingi
Asante ila bado napinga Mbowe kuonewa!! Hata wewe ukionewa ntakataaNakushauri hivi; Unapo ongelea jambo la kisheria jaribu kupata muongozo kidogo kwa wenye uelewa wa sheria japo kidogo na ukikosa wa kukuelekeza; Unaweza kuandika hapa kwenye jukwaa kuomba uelekezwe
Watolewe woteEXACTLY, WATANZANIA WENZETU WENGI WANATESEKA MAGEREZANI KWA KESI ZA KUSINGIZIWA