Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Kumbe kuna watu wengi hawajui Mh. Rais ni Amiri Jeshi Mkuu..

Ukijua hilo na uulize swali kama hili, unaonekana ww ni pumbaf, shithole, empty minded, mavi ya kuku, nyoko kabisa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?

Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"
DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI

HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI

View attachment 2011620
Hiyo ni amiri jeshi .mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.kwa hiyo kuvaa uniform hiyo sio jambo la ajabu sema mazoea kwa watanzania hayapo
 
Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?

Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"
DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI

HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI

View attachment 2011620
IMG-20211115-WA0042.jpg

Wahusika kama mna passport kuleni nduki haraka.
 
Acha ujinga wa kukaririshwa....kuhenyea ni njia ya kufikia hayo kama ilivyo kwa mhenyaji daktari ,wakili ama engineer......hapa ninazungumzia nafasi ya juu na ya mwisho kabisa katika utumishi wa umma....usiwafanye wote humu ndani ni wageni wa jeshi.....kwa hiyo kwako wewe kila "mhenyaji" yuko juu ya mh.Rais ?!!

N.B Na kuitwa Amiri Jeshi pia karushiwa tu ?!!! 😳😳

Umekurupukia kutoka wapi wewe?!!! 🤣🤣
Heshima ya vazi la kijeshi iko kwenye kulihenyea,ndiomaana linavaliwa na askari yeyote aliyeajiriwa jeshini au aliyepitia jeshini bila kujali ngazi yake ilimradi awe amehenya jeshini,na siyo eti kwa kuwa ni amiri jeshi mkuu wa majeshi,cheo ambacho ni cha kiraia ndani ya koti la kijeshi kinachotokana na nafasi zao za urais,na hata ukifuatilia marais wa nchi mbalimbali wanaopendelea kuvaa mavazi ya kijeshi hawavai eti kwa kuwa ni maamiri jeshi wakuu wa majeshi katika nchi wanazoziongoza,wanafanya hivyo kwakuwa walikuwa ni wanajeshi kama Rais Museveni wa Uganda, Paul Kagame wa Rwanda, Id amin Dada wa Uganda, Saddam Hussein wa Iraq n.k.
 
1354362_UHURU_KENYATTA.jpg
 
Na wewe kumbe pia ni POYOYO kiasi hiki

Just GOOGLE marais walioingia madarakani kwa mapinduzi wanavovaa

Halafu kama una akili kidoooogo zilizosalia kwenye Fuvu lako upate ufahamu
Mediocre minds kama ya kwako EINSTEIN112 ndiyo inafaa ku GOOGLE vitu vya KIPUUZI, my mind was made for crucial and strategic issues. Peleka jikoni ujinga huo siyo hapa jukwaani kwa GTs
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] shika adabu na adabu ikushike
Ulivyomwambia kwa ukali, kama angaekujua wewe ni nani basi angehama JF leo leo ha ha ha ha ha ha
Ila jamani kumsifu Mama siyo vibaya, Gwanda limempendeza, sasa hayo ya kisiasa wengine hatuyawezi.
 
Uhuru alivaa Combat Camouflage kwa ajili ya kuyasapoti Majeshi ya KDF yalipokuwa yameingia Kusini mwa Somalia kwenda kuwafurusha Magaidi wa Alshababu

Sasa Raisi wetu kavaa kwa sababu gani
Psychological support to the armed forces... cohesion!! Bavicha ni ngumu sana kuelew hii kitu. Utaishia kutukana tu maana huelewi kitu...
 
Back
Top Bottom