Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,401
- 29,930
Kiingereza chako kitamu kama cha mchina vile![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] watu wa HOVYO kama wewe
you'll stay begin the scene for the rest of your miserable life
Kiingereza chako kitamu kama cha mchina vile![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] watu wa HOVYO kama wewe
you'll stay begin the scene for the rest of your miserable life
Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?
Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"
DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI
HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI
View attachment 2011620
Hata JPM nilikuwa simuelewi kwa nini anajivika kombati wakati yeye hajawahi kuwa mwanajeshi. Hii ni hulka ya mtu muoga asiyejiamini.Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?
Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"
DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI
HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI
View attachment 2011620
Chadema kwishnei..Nchi hii imefikia hatua tunamhitaji kiongozi wa kijeshi... Haya majaribio ipo siku yatatufikisha huko!
Tofauti na hapo liccm liondoke!
Mkuu human psychology inaonesha kuwa wengi wanapenda kufidia vitu walivyovitamani lakini wakashindwa kuvifanya kwa muda wake... Na hii inaonesha tamaa iwakayo ndani yake!Hata JPM nilikuwa simuelewi kwa nini anajivika kombati wakati yeye hajawahi kuwa mwanajeshi. Hii ni hulka ya mtu muoga asiyejiamini.
JK was a military man of a very high rank lakini katika utawala wake kama Rais hajawahi kuvaa kombati.
Huyu mama na mtangulizi wake ni waoga lakini wanapenda kuogopwa.
Kweli eeh??Chadema kwishnei..
The message is loud and clear kwamba mkizingua atawanyoosha maana anavyo vyombo vya dola.nadhani kuna taarifa/ujumbe unapenyezwa... Tuusikilize!
Tuliaza mshono wewe MATAGAWatanzania sometimes tupunguze Nongwa za Kipumbavu. Rais Samia alikuwa Lugalo kwa hiyo Shughuli hivi Logically tu akivalia Millitary Uniform na ikizingatiwa pia Kikatiba na hata Kiitifaki ni Commander in Chief ( Amiri Jeshi Mkuu ) kuna tatizo?
Mnaboa badilikeni kwani hamjachelewa.
Nyerere alivaa ushawahi kuhoji? Muwe na balance ya mambo mnalalama kama watoto humu yule mzee hakusafiri safiri hovyo mkaongea mpaka mapovu dada wa watu anasafiri mnaongea povu haijulikani tunataka nini wabongo zaidi ya majungu na unafki wa kiwango haya kavaa hiyo sare wewe umepungukiwa nini? Kikwete hakuvaa uliongezekewa nini?Jk ambaye alikuwa KANALI wa JESHI alishawahi kuzivaa akiwa AMIRI JESHI MKUU au Mwinyi au Mkapa?
Mbona Nyerere alivaa kombati.vipi Uhuru Kenyatta naye huvaa. Nini cha ajabu kwa Samia. She is correct. Akivaa ushungi mnasema akivaa kombati mnasema nyie mna matatizo. Msimchagulie mavazi. Wewe mbona unavaa mtepesho au mlegezo hatusemi.Ni wapi katiba inasema kila Rais lazima aige yale yaliyofanywa na JK?
Kavunja nini kwa kuvaa hayo magwanda?
Mnajikuta mnajua mambo ya jeshi kuliko CDF mwenyewe aliyenaye hapo.
Akipatikana kiongozi wa hivyo msije kulia kama mlivyolia when Magufuli ascended into the top office.Nchi hii imefikia hatua tunamhitaji kiongozi wa kijeshi... Haya majaribio ipo siku yatatufikisha huko!
Tofauti na hapo liccm liondoke!
Mbona mapovu kibao?Nyerere alivaa ushawahi kuhoji? Muwe na balance ya mambo mnalalama kama watoto humu yule mzee hakusafiri safiri hovyo mkaongea mpaka mapovu dada wa watu anasafiri mnaongea povu haijulikani tunataka nini wabongo zaidi ya majungu na unafki wa kiwango haya kavaa hiyo sare wewe umepungukiwa nini? Kikwete hakuvaa uliongezekewa nini?
Popote pale duniani hakuna kiongozi anaweza kupendwa na watu wote .Akipatikana kiongozi wa hivyo msije kulia kama mlivyolia when Magufuli ascended into the top office.
Mliomba mpate kiongozi mbabe, mkampata mwishowe mkaishia kumtusi
Tuwekee picha ya Karume tuoneKwani wanaharakati wa twita wale mashangazi wanasemaje? Kwa Magu hadi sauti ziliwakauka kwa kulalamikia hizo uniform. Afu kumbe Karume mwenyewe alishawahi piga nazo picha
Kwani wewe mpuuzi ujui kinachoendelea ikulu !!!!!! Mama kafura pesa za kovidi alizo kopa zimetafunwa karibu zote hakuna hata kitu cha kuzindua kimoja alichokifanya yeye toka kuwa raisi ,sasa nasikia kakiwasha kwa waliokuwa chini yake ....anasema imekuwaje ana chochote anacho zindua na pesa anakopa kila kukicha zaidi ni mambo ya mgawo wa umeme na maji ,ndiyo vinasikika na kuvuma kila sikuNimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?
Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"
DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI
HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI
View attachment 2011620
View attachment 2012283
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akipatikana kiongozi wa hivyo msije kulia kama mlivyolia when Magufuli ascended into the top office.
Mliomba mpate kiongozi mbabe, mkampata mwishowe mkaishia kumtusi