Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Kwani wewe mpuuzi ujui kinachoendelea ikulu !!!!!! Mama kafura pesa za kovidi alizo kopa zimetafunwa karibu zote hakuna hata kitu cha kuzindua kimoja alichokifanya yeye toka kuwa raisi ,sasa nasikia kakiwasha kwa waliokuwa chini yake ....anasema imekuwaje ana chochote anacho zindua na pesa anakopa kila kukicha zaidi ni mambo ya mgawo wa umeme na maji ,ndiyo vinasikika na kuvuma kila siku
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wabongo sio watu poa kabisa
 
Nyerere alivaa ushawahi kuhoji? Muwe na balance ya mambo mnalalama kama watoto humu yule mzee hakusafiri safiri hovyo mkaongea mpaka mapovu dada wa watu anasafiri mnaongea povu haijulikani tunataka nini wabongo zaidi ya majungu na unafki wa kiwango haya kavaa hiyo sare wewe umepungukiwa nini? Kikwete hakuvaa uliongezekewa nini?
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mediocre minds kama ya kwako EINSTEIN112 ndiyo inafaa ku GOOGLE vitu vya KIPUUZI, my mind was made for crucial and strategic issues. Peleka jikoni ujinga huo siyo hapa jukwaani kwa GTs
Uwezo wako wa kufiri crucial issues ndio umeishia hapa??

Kwamba CIC sawa kuvaa kombati?

Ngoja nikuache
 
Hakuna cha maana hapo zaidi ya mbwe mbwe tu, tena zisizo na maana yeeyote.

Mambo muhimu yanawashinda, miaka 60 ya kutawala. Umeme wa uwakika haupo, maji shida. Afya hamna dawa, barabara nyingi za vumbi kiangazi na matope wakati wa mvua. Mashida ni mengi sana nchi hii, mnajipima na maguo ya jeshiccm. IDIOTS..

MaCCM wote akili zenu hazina akili
 
We jamaa nlikuwa nakuheshi kumbe KENGE kiasi hiki?

DUNIA GANI IPI ZAIDI YA MADIKTETA??

NIPE MIFANO YA AMERIKA NA ULAYA
Achana na maraisi waliongia madarakani kwa MTUTU wa AFRICA NA ASIA
KWANI WEWE KILA JAMBO HAPA DUNIANI TUNAPASWA KUJIFUNZA KUTOKA ULAYA NA AMERICA. KWMB KAMA WAZUNGU HAWAFANYI HICHO KITU, BC SIYO SAHIHI KWETU CC KUKIFANYA? DAVID CAMEROON ALITAKA WANAUME TUONANE, UNAONA TUWAKUBALIE? ACHANA NA UTUMWA WA FIKRA.
 
KWANI WEWE KILA JAMBO HAPA DUNIANI TUNAPASWA KUJIFUNZA KUTOKA ULAYA NA AMERICA. KWMB KAMA WAZUNGU HAWAFANYI HICHO KITU, BC SIYO SAHIHI KWETU CC KUKIFANYA? DAVID CAMEROON ALITAKA WANAUME TUONANE, UNAONA TUWAKUBALIE? ACHANA NA UTUMWA WA FIKRA.
Mbona unatoa mifano sio mambo ya wanaume kuoana inaingiaje hapa?

Huyo Tonny Blair hasapoti ushoga?

Mbona mmempa kuwa MSHAURI Tz na ZNZ?
View attachment 2012728
 
Akipatikana kiongozi wa hivyo msije kulia kama mlivyolia when Magufuli ascended into the top office.
Mliomba mpate kiongozi mbabe, mkampata mwishowe mkaishia kumtusi
𝐓𝐚𝐭𝐢𝐳𝐨 𝐦𝐚𝐫𝐞𝐡𝐞𝐦𝐮 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐦𝐰𝐢𝐳𝐢 𝐧𝐚 𝐦𝐮𝐨𝐧𝐠𝐨!
 
Back
Top Bottom