Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Ugaidi uliwaumiza sana ndugu zetu kule Mtwara......Anaiga siasa za kijinga akidhani ataonekana ni imara.
Ugaidi uliwaumiza sana ndugu zetu kule Mtwara......Anaiga siasa za kijinga akidhani ataonekana ni imara.
Kwa nini mkuu nimezingua kwenye namba?Unadharau eti MTM2021[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anaiga?Anaiga siasa za kijinga akidhani ataonekana ni imara.
Ona ulivyo hobobo.....lini polisi na magereza wamekuwa ni Majeshi ya ulinzi ?!!!!CCM INA MACHIZI WA HOVYO njoo na hoja na siku akifungua KIKAO CHA POLISI NA MAGEREZA AVAE tena COMBAT? coz she's CIC OF ARMED FORCES TUONE
Ofisa unamwitaje mwanamke MTM?Kwa nini mkuu nimezingua kwenye namba?
Tangu lini bavicha wakawa na akili?Tunapenda sana kukuza mambo.
Kiitifaki na tukio lenyewe ilibidi avae sema tafsiri zimekuwa nyingi.
Bavicha mnakomaje??!!!Anaiga siasa za kijinga akidhani ataonekana ni imara.
Enzi ivi ULIMWENGU anafunzwa siasa akiwa UVCCM saivi mnafunzwa MITUSI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tangu lini bavicha wakawa na akili?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MkuuTuendelee kuheshimiana tu na siwezi kukuita Kenge ila nimemuona Rais wa France akiwa kavaa gwanda
Bush kayavaa sana na hata Obama kavaa pia ingawa najua hao ni magaidi wakubwa
Huwa ninajua ninachoandika bila kukurupuka na wewe pia ungejiridhisha kwanza
Nitake radhi kwani umenikosea sana
Haina haja ya kuvunjiana heshima ingawa hatujuani
View attachment 2011938
View attachment 2011941
View attachment 2011942
View attachment 2011945
Uhuru alivaa Combat Camouflage kwa ajili ya kuyasapoti Majeshi ya KDF yalipokuwa yameingia Kusini mwa Somalia kwenda kuwafurusha Magaidi wa Alshababu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] TEMBEA NA AKILI PIMBI WEWE
KUNA RUBANI SGT?[emoji28][emoji28][emoji28]
Tindo ana mawazo sana sasa hivi!Bavicha mnakomaje??!!!
Akivaa au asipovaa anakuwa amevunja katiba?Ni mtanzania huyo? Weka picha ya Mkapa akiwa kavaa kijeshi.
Umepita wapi huko na hujui chochote? Ulifundishwa na MGAMBO niulize niliyepitia 601KJ [emoji574]pimbi wewe, back in late 80's
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu
Msamehe tu huyu kijana, malezi kwake ni shida.
Asingevaa asingeonekana kama anayasaport hayo majeshi.Uhuru alivaa Combat Camouflage kwa ajili ya kuyasapoti Majeshi ya KDF yalipokuwa yameingia Kusini mwa Somalia kwenda kuwafurusha Magaidi wa Alshababu
Sasa Raisi wetu kavaa kwa sababu gani
Kabisa, anarudi usiku wa saa 8 toka kirabuni unategemea toto litakuwajeTena inaonekana kalelewa bila baba huyu
Na mama yake ni wale walevi mbwa
Watanzania sometimes tupunguze Nongwa za Kipumbavu. Rais Samia alikuwa Lugalo kwa hiyo Shughuli hivi Logically tu akivalia Millitary Uniform na ikizingatiwa pia Kikatiba na hata Kiitifaki ni Commander in Chief ( Amiri Jeshi Mkuu ) kuna tatizo?Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?
Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"
DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI
HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI
View attachment 2011620