Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?

Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"

DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI AU MAPINDUZI YA KIJESHI

HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI

View attachment 2011620
View attachment 2012283

Mama yetu yuko powa kabisa...usiogope kamanda wangu
 
Hata JPM nilikuwa simuelewi kwa nini anajivika kombati wakati yeye hajawahi kuwa mwanajeshi. Hii ni hulka ya mtu muoga asiyejiamini.
JK was a military man of a very high rank lakini katika utawala wake kama Rais hajawahi kuvaa kombati.
Huyu mama na mtangulizi wake ni waoga lakini wanapenda kuogopwa.
Huyo ni AMIRI JESHI MKUU HAKUNA tatizo akivaa hivyo kuweni waelewa
 
Jk hakuwa CIC au MKAPA au.MWINYI?

MBONA hamna AKILIA <Y2K"s!
JK, Mwnyi, Mkapa walivaa ushungi? Maana itabidi tuulizane maswali ya kiunazi sasa.

Je Samia ni Amiri mkuu ndio au sio?

Suala la nani kavaa nini kila mtu ana preference yake
 
Chama cha upinzani kiliamua kumpokea mpigaji kugombea urais kupitia chama kinachodai kupinga upigaji 😀

CCM kweli wanamipango, wamewaonesha waTZ kuwa CDM haijielewi!
🤣🤣🤣🤣👍👍
 
JK, Mwnyi, Mkapa walivaa ushungi? Maana itabidi tuulizane maswali ya kiunazi sasa.

Je Samia ni Amiri mkuu ndio au sio?

Suala la nani kavaa nini kila mtu ana preference yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndo imejibu nini hapo juu, tukisema tuna watu wa HOVYO mnasema tunawatusi

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
Huyu ni mjeda mstaafu ambaye nchi yake inakabiliwa na vitisho kila kukicha.

Hapo anaonechwe mipango na wakuu wa kamandi za jeshi, cheki alivovaa?View attachment 2013583
Screenshot_20211116-200527_YouTube.jpg
 
Huyo ni AMIRI JESHI MKUU HAKUNA tatizo akivaa hivyo kuweni waelewa
Mkuu, kwenye maandishi yangu kuna mahala nimeandika kuwa Rais kuvaa kombati kuna tatizo lolote?
Kuuliza kuhusu rationale haimaanishi kuwa kuna tatizo?
Mimi nilichotafiti ni hekima iliyo nyuma ya yeye kuvaa hayo makombati ni nini?
Ungekuwa una akili ya kupambanua hoja you couldn't rush to your simple conclusion.
 
Mkuu si lazima nikubaliane na kila utakacho andika.Umeandika ulishangazwa Sasa jibu kuwa USISHANGAZWE TENA!
NI AMIRI JESHI MKUU HAZULIWI KUVAA HIVYO
 
Mkuu mbona unahangaika unnecessarily!? Wapi niliposema haruhusiwi?
Naona unalazimisha mawazo yako yawe yangu. Mimi ninauliza logical questions, lakini wewe unakimbilia kwenye unreasoned conclusions.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndo imejibu nini hapo juu, tukisema tuna watu wa HOVYO mnasema tunawatusi

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
Huyu ni mjeda mstaafu ambaye nchi yake inakabiliwa na vitisho kila kukicha.

Hapo anaonechwe mipango na wakuu wa kamandi za jeshi, cheki alivovaa?View attachment 2013583View attachment 2013584
Kuna watu vilaza wanataka kubishana just for the sake of mabishano. Mtu anaishia tu kusema kuwa huyo ni amiri jeshi mkuu so avae tu hizo kombati.
Swali la msingi ni kuwa je, kuna aliyebisha kuwa huyo siyo amiri jeshi mkuu? Je, kwa nini anatumia nguvu nyingi kuonesha yeye ni amiri jeshi mkuu? Jibu ni jepesi tu. Kama alivyokuwa mtangulizi wake, they have a sense of insecurity. Hawajiamini, so the best option ni kutumia nguvu basi
 
Yaani wanakera ndomana sometimes tunawaita VILAZA
 
Mkuu mbona unahangaika unnecessarily!? Wapi niliposema haruhusiwi?
Naona unalazimisha mawazo yako yawe yangu. Mimi ninauliza logical questions, lakini wewe unakimbilia kwenye unreasoned conclusions.
Mkuu YAISHE MCHANA MWEMA KARIBU LUNCH UGALI NA MLENDA
 
Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?

Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"

DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI AU MAPINDUZI YA KIJESHI

HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI

View attachment 2011620
View attachment 2012283
Punguzeni ujinga. Samia amevaa sare yake kama amiri jeshi mkuu. Kwani hamjaona marais wengine amiri jeshi wakuu kwenye sare zao? Hamjamuona kenyatta, museveni hata george bush wakati wa vita vya iraq?
Nakumbuka siku jpm kaonekama mara ya kwanza na sare zake za kiamirijeshi mkuu machadema walihamaki sana. Ni kitu cha kawaida.
 
Back
Top Bottom