Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Kuna watu vilaza wanataka kubishana just for the sake of mabishano. Mtu anaishia tu kusema kuwa huyo ni amiri jeshi mkuu so avae tu hizo kombati.
Swali la msingi ni kuwa je, kuna aliyebisha kuwa huyo siyo amiri jeshi mkuu? Je, kwa nini anatumia nguvu nyingi kuonesha yeye ni amiri jeshi mkuu? Jibu ni jepesi tu. Kama alivyokuwa mtangulizi wake, they have a sense of insecurity. Hawajiamini, so the best option ni kutumia nguvu basi
Mkuu unaoneoana una SONONA. Relax pata glass ya maji upozee, maisha hayaihitaji ujinga unaofanya hapa.
 
Punguzeni ujinga. Samia amevaa sare yake kama amiri jeshi mkuu. Kwani hamjaona marais wengine amiri jeshi wakuu kwenye sare zao? Hamjamuona kenyatta, museveni hata george bush wakati wa vita vya iraq?
Nakumbuka siku jpm kaonekama mara ya kwanza na sare zake za kiamirijeshi mkuu machadema walihamaki sana. Ni kitu cha kawaida.
This is a very lame excuse .
 
Mkuu unaoneoana una SONONA. Relax pata glass ya maji upozee, maisha hayaihitaji ujinga unaofanya hapa.
My explanations are beyond your dummy brain comprehension. Had your brain been fully developed, you could grasp my point of argument.
 
Back
Top Bottom