Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Nina uhakika EINSTEIN112 anaona aibu. Ameleta mada ambayo hajaifanyia utafiti.

Na wakosoaji wengi wa Rais SSH ni mbumbumbu kwa masuala mengi kuhusu uchumi, diplomasia na jamii kwa ujumla. Wao wameamua kumkosoa kwa kila afanyacho.

Go Go Samia, Tz iko salama mikononi mwako.
Na wewe kumbe pia ni POYOYO kiasi hiki

Just GOOGLE marais walioingia madarakani kwa mapinduzi wanavovaa

Halafu kama una akili kidoooogo zilizosalia kwenye Fuvu lako upate ufahamu
 
Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?

Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"
DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI

HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI

View attachment 2011620
KAPENDEZA SANAAAAAA WAOOOO
 
Nina uhakika EINSTEIN112 anaona aibu. Ameleta mada ambayo hajaifanyia utafiti.

Na wakosoaji wengi wa Rais SSH ni mbumbumbu kwa masuala mengi kuhusu uchumi, diplomasia na jamii kwa ujumla. Wao wameamua kumkosoa kwa kila afanyacho.

Go Go Samia, Tz iko salama mikononi mwako.
Mkurupukaji huyo Pinga pinga FC....

Siempre SSH
 
Huna hoja zaidi ya kujidhihirisha kuwa ni kiazi pole sana manka
19059991_1386835601392897_3757162351071440092_n.jpg
 
Kwa WIZI WA KURA na MTUTU

nitutafutie picha POLISI wanajaza KARATASI za KURA kwenye masanduku? Au ?.?..........

Kwa akili yako kumbwa ujiulize "USHINDI wa KISHINDO" Wa chama DOLA? BUNGENI?

ULITAKA MTUTU GANI KAMA UNA AKILI???
Hebu rudia tena
 
Back
Top Bottom