Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Acha ushamba wa kuhoji hoji hata vile ambavyo unaweza kupata majibu wewe mwenyewe.

Iyo ni taasisi kila kinachofanyika lazima kiwe ndani ya utaratibu maalumu.

Swali jepesi ulipaswa kujiuliza kabla ya kujaza maandhishi humu, Je amevunja sheria? Au ni kinyume na taratibu za kazi yake?

Ukishapata majibu nakushauri uache umbea
Acha nikuache tu maana hujui lolote
 
Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?

Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"
DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI

HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI

View attachment 2011620
Ni jambo la kawaida kwenye baadhi ya shughuli za kijeshi amiri jeshi mkuu wa nchi kuvaa kijeshi,hajaanza magu au samia
 
Ni jambo la kawaida kwenye baadhi ya shughuli za kijeshi amiri jeshi mkuu wa nchi kuvaa kijeshi,hajaanza magu au samia
Mkuu TANGU LINI?

WHY NOW?

AWAMU YA 5&6?

Enzi za JPM hata akiapisha WAZIRI wa KILIMO anawaita WAKUU WA VYOMBO VYA USALAMA

WHAT FOR?????
 
KDF ilikuwa ndio Combat yao ya kwanza walikuwa hawajawahi kuingia kwenye Medani ya Vita.

Raisi Uhuru akaona atoe Support kwa Vikosi vyake kwa kuvaa hivyo sasa JWTZ wana Vita gani ya Kusapotiwa Ndugu?
kusapoti jeshi ni lazima avae sare?
Screenshot_20211115-171245_Google.jpg
Screenshot_20211115-171125_Google.jpg
Screenshot_20211115-171205_Google.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we ndio mzee wa 60+? Jua tu hujui

Funga huu mjadala anzisha mada nyingine ila hii umechemsha

Huoni kila mmoja anakushangaa kwa upumbavu wako
Umeshindwa kutetea hoja unaanza matusi
Nimekuambia huna hoja ila matusi tu
Nimejaribu kukupa maneno ya staha ukadhani mimi ni mmoja wa waliokuwa wapo na mama yako

Sikujibu tena nimejua ulivyo tafuta wavuta bangi wenzio au Machoko ok
 
Ndio mzee wa 60+ yrs poor lost sperms better if condom used [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom