Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Hili limama lina roho chafu sana.
Kiongozi umesema kuliponya taifa au nimesoma vibaya?ni jambo linalosubiriwa kwa hamu na watanzania wote kwa ujumla ni kama mama anakwenda kuliponya taifa ukitizama kwa umakini
Aliwabembeleza sana hao Gen Z, msifanye maandamano, hayo mengine yanazungumzika. Vijana wakakomaza fuvu awafanyaje sasa.Sa100 hataki hata kusubiri Watu wazike Watu wao. Like nothing happened in the country.
Nasikia linashinda likinywa mipombe tu sababu linatokewa na maruweruwe muda wote.Hili limama lina roho chafu sana.
Kumbuka yeye ndiye mwendelezaji wa matatizo ya nchi hii na pia mwasisi wa matatizo mapya. Ataponyaje taifa?ni jambo linalosubiriwa kwa hamu na watanzania wote kwa ujumla ni kama mama anakwenda kuliponya taifa ukitizama kwa umakini
Suluhu ni kuwapiga risasi au sio?Aliwabembeleza sana hao Gen Z, msifanye maandamano, hayo mengine yanazungumzika. Vijana wakakomaza fuvu awafanyaje sasa.
Ungekuwa wewe nadhani ungewachekea na kuwaimbia mapambio ili wafanye vile wanajisikia.Suluhu ni kuwapiga risasi au sio?
Ningewakamata. Ningewapiga mabomu ya machozi, maji ya washa washa. Nisingeua watu wanaokimbia, nisingeua watu wapo kwenye magari yao binafsi.Ungekuwa wewe nadhani ungewachekea na kuwaimbia mapambio ili wafanye vile wanajisikia.
Mpunguze bange,mjue nchi ina vyombo vya dolaNilivyoona anasema kashinda kwa 98% niliona kuna kitu akiko sawa kwenye ubongo
Ulitakiwa uwe Polisi usaidie nchi yako.Ningewakamata. Ningewapiga mabomu ya machozi, maji ya washa washa. Nisingeua watu wanaokimbia, nisingeua watu wapo kwenye magari yao binafsi.
Hii siyo mara ya kwanza maandamano kutokea TZ, watu walikuwa wakikamatwa au kupigwa virungu! Hii ya risasi ni mpya. Ni mauaji ya HALAIKI, haikubaliki.