bunge la 13

Bunge & Born was a multinational corporation based in Buenos Aires, Argentina, whose diverse interests included food processing and international trade in grains and oilseeds. It is now known as Bunge Limited.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Arobaini na Tisa, Juni 15, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=gDE5eqI9Fkw
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La 13, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha 41, Tarehe 02 Juni, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=JWa-85kg0nc
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wabunge 7 wanaotajwa kuwa na michango yenye mashiko Bunge la 13, 2025

    Wabunge wenye michango yenye mashiko katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wapo wengi. Lakini hapa wanatajwa wabunge 7 tu ambao wakipewa nafasi ya kuongea, michango yao au hoja zao hutikisa bunge lenyewe na kuvuka mipaka hadi mitandaoni, wakati mwingine mpaka kurasa za mbele za...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha 31, Mei 18, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=0OJXfGzcMgk
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha 27, Tarehe 12 Mei, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=ZVpL2Tbg5Yw
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Ishirini Na Sita, Tarehe 11 Mei, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=OYri4wkYHdc
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha 23, Tarehe 06 Mei, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=ccIXTSjIcMs
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La 13, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha Kumi Na Saba, Tarehe 27 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=pbHATi1OYOE
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira yaomba bilioni 99.8 bajeti 2026/27

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhandisi Hamad Masauni leo Aprili 21, 2026 atawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma. Aidha, kabla ya bajeti hiyo kuwasilishwa, Wizara ya Nishati, itawasilisha randama za...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano Wa Tatu, Kikao Cha Nane, Tarehe 14 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=YtGBiv_fYW0
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Tano, Tarehe 09 Aprili, 2026

    Wakati mkutano wa tatu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania ukiendelea, leo Aprili 9, 2026 pamoja na mambo mengine Wabunge wateule wawili wataapa kiapo cha uaminifu na ahadi ya Uzalendo, wakiwa ni Wabunge wapya walioteuliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan. Wabunge hao ni Angela...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Nne - Tarehe 08 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=Psny9WO33AE
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mbunge Simai Said: Tuanzisheni bendi yetu ya Bunge. Mwana FA awe mwanamuziki, Babu Tale awe Meneja

    Makubwa haya jamani ----------------- Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Simai Mohammed Said, amependekeza Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania liwe na eneo maalumu la wabunge kukutana na kutuliza nafsi pamoja na kuanzishwa kwa bendi ya muziki ya Bunge, akimtaja Mbunge wa Morogoro...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Tatu, Kikao cha Pili, Tarehe 01 Aprili, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=Ku1LCNIqQq8
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano Wa Pili, Kikao Cha Tisa, Tarehe 06 Februari, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=qNSa_QV1MuI
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha Saba, Februari 4, 2026

    Fuatilia hapa MUBASHARA: https://www.youtube.com/watch?v=oztyMFTiKlc
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha Tatu, 29 Januari, 2026

    Mkutano wa pili wa Bunge la 13 unaendelea na vikao vyake leo Januari 29, 2026 jijini Dodoma. Miongoni mwa shughuli za leo ni wabunge kuuliza maswali kwa Waziri Mkuu pamoja na maswali ya kawaida yatakayojibiwa na serikali. Aidha, Bunge litaendelea kujadili hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dkt. Anna Henga: Bunge la 13 halina uhalali wa kisiasa, wananchi hawakuridhika na uchaguzi uliofanyika

    Leo, tarehe 27 Januari 2026, Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza rasmi Mkutano wake wa Pili Jijini Dodoma. Kufuatia kuanza kwa mkutano huo, Dkt. Anna Henga (Wakili), Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ameeleza mtazamo wake kuhusu Bunge hilo...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Bunge la 13, Mkutano wa 2, Kikao cha Pili Januari 28, 2026

    Mkutano wa Pili wa Bunge la 13 unaendelea leo Januari 28, 2026 bungeni jijini Dodoma. Miongoni mwa shughuli za leo ni Waziri Mkuu kuwasilisha Taarifa ya Matoleo ya Gazeti la Serikali pamoja na nyongeza zake yaliyochapishwa tangu mkutano wa Bunge uliopita. Aidha, kutakuwa na kipindi cha maswali...
  20. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Malizia huu msemo: Ukivuliwa nguo sharti ………….....

    Nimesikiliza hotuba ya raisi akifungua rasmi bunge la 13 na nimeona ni kama ameanza kuinama na kujisitiri kutokana na yale yaliyotokea. Je, ili achutame kabisa kiungwana na kuepuka fedheha inabidi afanye nini? Kwa wenzangu mliosikiliza hotuba: je imewatia moyo au ndiyo imewaongeza hasira...
Back
Top Bottom