KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 4,625
- 4,238
Hapo tatizo ni direct translation/tafsiri ya moja kwa moja, toka lugha moja kwenda nyingine. Mara nyingi wengi wetu hufikiria kwa lugha zetu na kuyatia mawazo yetu katika lugha ambayo inatumika katika majadiliano au hata mashuleni. Kwa Kiswahili tunasema "Utakaa ndani hadi hapo...." tukimaanisha "Utakaa lupango/ korokoroni/lokapu hadi hapo....". Sasa ukitafsiri neno kwa neno ndiyo unaishia kusema hayo aliyoyasema huyo Waziri, "You are going to stay inside until...."Nimesikia tu kwamba, "You're going to stay inside until you give instructions to your people to............." She speaks English with strong vernacular accent.
I think the reason that English is her third language has a bearing on the way she can express herself in that language and this is a challenge facing majority of Tanzanians and hers is just a tip of an iceberg.