Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Hawa ni waziguwa,na Wana ndugu wengi wa kiziguwa.Huko south africa waliita 'state capture'. Hadi leo kuna wahindi wameshitakiwa kwa kesi ya 'state capture'. Hapa kwetu sijui bado hatujaliona hilo. Unakuta wahindi au waarabu wanajipendekeza na kutumia hila za kuhonga hadi wanashika dola huku wananchi wakiendelea kufikiri ni chama ndio kinaongoza dola kumbe tajiri wa kiarabu.
Hao GSM ni hatari walianza huo mchezo awamu ya 4 awamu ya 5 jpm akawatolea mbali. Sasa wameanza upya 'state capture
Wanasheria wazalendo waanze kuweka ushahidi kwa nia ya kufungulia vigogo kesi ya rushwa na huyo muarabu kesi ya 'state capture'.