Rais Samia, jitenge na GSM kama ulivyojitenga na Sabaya

Whindi wamo humo.Tizama majina ya kihindi.

Waliodominate hapo ni Black Kenyans, Home is Kenya and No other option, kiufupi wao ndio wameshikilia uchumi wao... Tofauti na Tanzani walioshika uchumi ni Indians na Arabs ambao hawana uhalisi na uraia wa Tanzania na matokeo yake wanageuka hatari kwenye uchumi na usalama wa nchi...
 
Sio kweli,wengi tumepata ajira kupitia hao.Tunasomesha,tumejenga,nyumba zaidi ya moja kupitia ajira zao.Na tunajikimu kimaisha.

Wachache sana waliojaliwa na race hizo na wakatoboa maisha, wengi wao wako utumwani na wanafanya kazi kwa kuwa hawana option nyingine, Wapo wenzetu wachache Chawa wa wahindi na waarabu pia wanaishi vizuri kama madalali wao...
 
Kuna vichwa vya scania kama siyo Howo vya GSM vilikuwa kule kigamboni kama 310 hivi vipyaa..kweli hawa jamaa wako na pesa
 
Ni ushauri tu!

Kwa kasi sana tunaona wanavyojitahidi, kutengengeneza mazingira ya kukusogelea zaidi.

Walianza na mechi ya kumchangia yule mtoto mgonjwa.

Na kwa mara ya kwanza tangu uingie madarakani kama Rais, ulipiga simu live uwanjani, ambapo pamoja na kutoa pongezi, lakini pia ulichangia kiasi cha Sh Milioni 15. Jambo la thawabu kusaidia wasio na uwezo na wenye mahitaji.

*Siku iliyofuatia pale baada ya mechi, kiwanda chao kikaungua moto wenye chanzo tata mpaka sasa.

*Na siku moja kabla ya hiyo mechi ya hisani, kulikuwa na tukio la mmoja wa wakurugenzi GSM,
kuhusika na ufyatuaji ovyo risasi, mbele ya maafisa Polisi, bila kuchukuliwa hatua.
Ilikuwa katika tukio la ugomvi wa kugombea eneo na jengo huko Mikocheni kati yao na Ex-RC Paul Makonda.

Movie iliendelea tena jana pale Uwanja wa Taifa.

GSM waliandaa na kuitumia mechi ya ligi kuu ya NBC bainaYanga na KMC kama tukio maalumu la kumpongeza Rais Samia kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani. Tukio lenye heri pia.

Yanga walicheza mechi ile wakivalia jezi maalumu zenye picha ya Samia
(Rais wa JMT [emoji1241]).

Hapo sijui sheria za FIFA na TFF zinasemaje kuhusu kuchanganya Michezo na Siasa.
Tuwaachie wenyewe kwa hilo.

Nimeyatumia hayo machache kama mfano.

Maoni yangu mimi!

Inavyoelekea hawa wanajaribu kutaka kuwa karibu na Ikulu kama walivyowahi kufanya huko nyuma, katika awamu ya nne.

Kipindi hicho wakijulikana kama Home Shopping Centre, bado tuna kumbukumbu na matukio yao.

Ikiwemo yale ya kupiga watu risasi hadharani wakiwemo wafanyakazi wao na hata wapita njia tu.

Haya mambo yalisababisha mmoja wa kaka wa huyo Gharib kuikimbia nchi baada ya ujio wa serikali ya awamu ya Tano ya JPM (R.I.P).

Na mpaka sasa yuko Ughaibuni.

Waathirika wa matukio yao wapo mpaka sasa mitaani.

Kuanzia wa kashfa za makontena mpaka hao wa risasi miguuni.

Sasa wamerudi upya na nembo mpya ya GSM.

Mambo ya sasa na ya wakati ule wa HSC ni kama yanataka kujirudia kwa mtindo mpya.

Bado kuna mgogoro wa udhamini wa Ligi Kuu ya NBC kati ya GSM na TFF uko mezani.

Ambapo GSM wamejitoa na kuuvunja mkataba kinyemela huku wakiwa wamekwishazitumikisha timu za ligi kuu kwa miezi mitatu bila ya malipo, kama mkataba unavyotamka.

Hatujui kama washauri wa Ikulu na vyombo vya usalama haviwajibiki ipasavyo ili kuyaona haya na kun'gamua na kutoa ushauri pale mh Rais anapoelekea kupotoshwa namna hii.

Lakini ieleweke kwamba, kwa kutochukua hatua mapema na kujitenga na uhuni.

Basi huko tuendako....kama ikitokea GSM wakachafuka kwa kashfa yoyote ile iwayo.

Hii pia itakuwa inamhusu au kumchafua pia yeyote aliyeko madarakani kwa sasa,ambaye ataonekana kuwa nao karibu katika kipindi chake cha uongozi.

Kutokana na matukio kadhaa yatakayo waweka kuonekana kuwa karibu zaidi kwa jamii.

Naye atachafuka nao.......

Na itakuwa na gharama kubwa sana kujisafisha kwa wakati huo.........

Nimewakilisha kama....

commonmwananchi
10101.
Hawezi kujitenga nao hao matajiri maslahi maana ndio itakuwa chanzo kuwa na mgogoro na JK-chukua hiyo uelewe
 
wewe kweli mtoto unafikiri ukiwa mwafrica basi wewe ni mtanzania. hata wahindi ni watanzania hata warabu ni watanzania. mtanzania sio dini wala rangi. weww unajua adamu na eva walikuwa na rangi ipi na ndio waliokuja kuitawala dunia

Ficha huu ujinga mlamu.
 
Hapana kwao ni Uarabuni ndio maana akaitwa muarabu.

Jiulize tu kama na wewe mmatumbi unaweza kwenda kufanya ujinga anaofanya GSM hapa Tanzania kule uarabuni.

Tanzania tunakosa viongozi wazalendo hilo tu.
Acheni Ubaguzi nyie Mikia,Ghalib kwao ni Tanga. Mbona Mwamedi hamsemi?
 
anamaanisha labda dini zao[emoji28],vijitu vijinga sana nchi hii,, eti matajiri wote wanawaona wahujumu uchumi,,,Sasa tukibaki masikini wote nani atamuajiri mwingine?.
no wonder mmoja aliamuaga kutaifisha Mali za watu walizochuma Kwa jasho lao bila kosa lolote
Huo ujinga na upumbavu wa kumuona kila Tajiri ni Muhujumu Uchumi wamefundishwa na kurithi kutoka kwa mfu Magufuli ambae wewe ulikuwa mfuasi wake.
 
Sasa hivi Uchumi mzuri..wewe binafsi umenufaika na lipi kama wewe?
Unafikiri kuwa uchumi wa nchi mzuri ndiyo wewe utaletewa pesa ujazwe mfukoni?

Leo hii nimeusoma mstari huu hapa JF "dunia haikupi mafanikio, dunia inakupa fursa, vipi utazifanya kuwa mafanikio ni juu yako wewe..." - Courtesy Abdul Ghafur

Upo hapo ulipo?
 
Lakini ieleweke kwamba, kwa kutochukua hatua mapema na kujitenga na uhuni.

Basi huko tuendako....kama ikitokea GSM wakachafuka kwa kashfa yoyote ile iwayo.

Hii pia itakuwa inamhusu au kumchafua pia yeyote aliyeko madarakani kwa sasa,ambaye ataonekana kuwa nao karibu katika kipindi chake cha uongozi.

Kutokana na matukio kadhaa yatakayo waweka kuonekana kuwa karibu zaidi kwa jamii.
Nianavyo awamu hii hawa jamaa (wako wengi hata yule wa 'taifa gas')wataibudu na kuiweka mfukoni kama ilivyokuwa ile awamu ya 4, muda ni mwalimu mzuri sana!
 
Ni ushauri tu!

Kwa kasi sana tunaona wanavyojitahidi, kutengengeneza mazingira ya kukusogelea zaidi.

Walianza na mechi ya kumchangia yule mtoto mgonjwa.

Na kwa mara ya kwanza tangu uingie madarakani kama Rais, ulipiga simu live uwanjani, ambapo pamoja na kutoa pongezi, lakini pia ulichangia kiasi cha Sh Milioni 15. Jambo la thawabu kusaidia wasio na uwezo na wenye mahitaji.

*Siku iliyofuatia pale baada ya mechi, kiwanda chao kikaungua moto wenye chanzo tata mpaka sasa.

*Na siku moja kabla ya hiyo mechi ya hisani, kulikuwa na tukio la mmoja wa wakurugenzi GSM,
kuhusika na ufyatuaji ovyo risasi, mbele ya maafisa Polisi, bila kuchukuliwa hatua.
Ilikuwa katika tukio la ugomvi wa kugombea eneo na jengo huko Mikocheni kati yao na Ex-RC Paul Makonda.

Movie iliendelea tena jana pale Uwanja wa Taifa.

GSM waliandaa na kuitumia mechi ya ligi kuu ya NBC bainaYanga na KMC kama tukio maalumu la kumpongeza Rais Samia kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani. Tukio lenye heri pia.

Yanga walicheza mechi ile wakivalia jezi maalumu zenye picha ya Samia
(Rais wa JMT [emoji1241]).

Hapo sijui sheria za FIFA na TFF zinasemaje kuhusu kuchanganya Michezo na Siasa.
Tuwaachie wenyewe kwa hilo.

Nimeyatumia hayo machache kama mfano.

Maoni yangu mimi!

Inavyoelekea hawa wanajaribu kutaka kuwa karibu na Ikulu kama walivyowahi kufanya huko nyuma, katika awamu ya nne.

Kipindi hicho wakijulikana kama Home Shopping Centre, bado tuna kumbukumbu na matukio yao.

Ikiwemo yale ya kupiga watu risasi hadharani wakiwemo wafanyakazi wao na hata wapita njia tu.

Haya mambo yalisababisha mmoja wa kaka wa huyo Gharib kuikimbia nchi baada ya ujio wa serikali ya awamu ya Tano ya JPM (R.I.P).

Na mpaka sasa yuko Ughaibuni.

Waathirika wa matukio yao wapo mpaka sasa mitaani.

Kuanzia wa kashfa za makontena mpaka hao wa risasi miguuni.

Sasa wamerudi upya na nembo mpya ya GSM.

Mambo ya sasa na ya wakati ule wa HSC ni kama yanataka kujirudia kwa mtindo mpya.

Bado kuna mgogoro wa udhamini wa Ligi Kuu ya NBC kati ya GSM na TFF uko mezani.

Ambapo GSM wamejitoa na kuuvunja mkataba kinyemela huku wakiwa wamekwishazitumikisha timu za ligi kuu kwa miezi mitatu bila ya malipo, kama mkataba unavyotamka.

Hatujui kama washauri wa Ikulu na vyombo vya usalama haviwajibiki ipasavyo ili kuyaona haya na kun'gamua na kutoa ushauri pale mh Rais anapoelekea kupotoshwa namna hii.

Lakini ieleweke kwamba, kwa kutochukua hatua mapema na kujitenga na uhuni.

Basi huko tuendako....kama ikitokea GSM wakachafuka kwa kashfa yoyote ile iwayo.

Hii pia itakuwa inamhusu au kumchafua pia yeyote aliyeko madarakani kwa sasa,ambaye ataonekana kuwa nao karibu katika kipindi chake cha uongozi.

Kutokana na matukio kadhaa yatakayo waweka kuonekana kuwa karibu zaidi kwa jamii.

Naye atachafuka nao.......

Na itakuwa na gharama kubwa sana kujisafisha kwa wakati huo.........

Nimewakilisha kama....

commonmwananchi
10101.
Wacha wivu wa kijinga wewe mbumbumbu.

Fanya kazi pata fedha uishi maisha unayotaka wewe bila kupangiwa na shemeji yako.
 
Hawa ni waziguwa,na Wana ndugu wengi wa kiziguwa,kuliko unavyofikiria
Hamna wazigua wenye asili ya Oman.

Mbona mimi najua kingereza na kifaransa.

Kujua lugha ya mtu mwingine ni jambo la kawaida tu.
 
Kwa hali hiyo umwambie ajitenge na JK, Kojan gang, Msoga gang na pia chama chake cha ccm! Jambo ambalo haliwezekani hata kidogo.
Jamaa namuona kama ndiyo katoka North Korea maana kule ni vigumu kuzifahamu habari za kimataifa.
 
Umejiuliza nyuma ya gsm yupo nani? Unafikiri kwann wale waarabu wanakiburi sana?
Waarabu wanatutisha ndani ya nchi yetu
Waache watumie muda wao kama wengine walivyo tumia muda wao.
 
Hapo habaguliwi kwa uarabu au uchotara wake,bali kwa matendo yao yasiyo ya kiutu na historia yao mbaya toka awali ya uzulumati.
Nenda ukajinyonge basi lkn haitokusaidia chochote
 
Umeongea ukweli fulani hapo.
Basi mama naye ajiandae kuchafuka nao kama JK alivyochafuka nao mpaka wa leo.
Ktk historia ya nchi hii hakuna kiongozi aliyechafuka kama Jiwe kwa kuwafuga majambazi hatarishi kina Sabaya.
 
Back
Top Bottom