monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,245
- 11,428
Yule mtoto jeuri jeuri wa Kikwete anaishi kwenye apartment za GSMKikwete na GSM wapi na wapi?

Mkuu huyo achana nae kaingia juz mjiniRiziwani kikwete ni mbia wa Home Shopping Centre ambayo ndio hiyo GSM ya sasa.
Wewe hujui ila wananchi wanajua..
Kuna watu wamekulia makuzi ya kishetani mkuuLugha uliyotumia haina heshima.
Makonda aliipataje ile ardhi kama kweli alikua msafiMkuu huyo achana nae kaingia juz mjini
Huyo GSM kabla alikuwa wapi kudai ardhi yake kwa makonda mpaka alivoona ridhiwani kawa NW wa ardhi?
Hivi huyu anajua kuwa GSM ndie anamiliki ile Apartment anayoishi Miraji?
Unafikiri Nyerere hakuwa na Wahindi waliokuwa karibu naye? Mwinyi hakuwa nao? Mpaka yule Mrema akapagawa akiwaita magabacholi na akahama chama kabisa. Hakuna kiongozi asiye karibu na Wahindi au watu wenye hela. Unajidanganya tuu ukifiri.Huko south africa waliita 'state capture'. Hadi leo kuna wahindi wameshitakiwa kwa kesi ya 'state capture'. Hapa kwetu sijui bado hatujaliona hilo. Unakuta wahindi au waarabu wanajipendekeza na kutumia hila za kuhonga hadi wanashika dola huku wananchi wakiendelea kufikiri ni chama ndio kinaongoza dola kumbe tajiri wa kiarabu.
Hao GSM ni hatari walianza huo mchezo awamu ya 4 awamu ya 5 jpm akawatolea mbali. Sasa wameanza upya 'state capture
Wanasheria wazalendo waanze kuweka ushahidi kwa nia ya kufungulia vigogo kesi ya rushwa na huyo muarabu kesi ya 'state capture'.
utachekwa bwasheee we unawajua Gsm hao ni Home shopping uliza timbwili lao kama huwajui vizuri nyamaza au umewajulia yanga na unawaona ni wakarimu?Riziwani alishawai singiziwa kuwa Petrol Stations zote za Lake Oil kuwa za kwake Ila cha kushangaza baada ya Mzee wake kuondoka madarakani tu hayo maneno yakafa kifo cha Mende
Tushawazoea watu wa kutunga na kusambaza uongo. Hamtudanganyi tena
Weka uthibitisho wa ubia wa Ridhiwani GSM hapa
Ni ushauri tu!
Kwa kasi sana tunaona wanavyojitahidi, kutengengeneza mazingira ya kukusogelea zaidi.
Walianza na Mechi ya kumchangia yule mtoto mgonjwa.
Na kwa mara ya kwanza tangu uingie madarakani kama Raisi.
Ulipiga simu live uwanjani,ambapo pamoja na kutoa Pongezi,lakini pia ulichangia kiasi cha Milioni 15.
Jambo la thawabu kusaidia wasio na uwezo na wenye mahitaji.
*siku iliyofuatia pale baada ya mechi,kiwanda chao kikaungua moto wenye chanzo tata mpaka sasa.
*Na siku moja kabla ya hiyo mechi ya hisani,kulikuwa na tukio la mmoja wa wakurugenzi GSM,
Kuhusika na ufyatuaji ovyo risasi,mbele ya maafisa Polisi,bila kuchukuliwa hatua.
Ilikuwa katika tukio la ugomvi wa kugombea eneo na jengo huko Mikocheni kati yao na Ex-RC Paul Makonda.
Movie iliendelea tena Jana pale uwanja wa Taifa.
GSM waliandaa na kuitumia mechi ya ligi kuu ya NBC-PREMIERE.
BainaYanga na KMC.
Kama tukio maalumu la kumpongeza Rais Samia kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani.
Tukio lenye heri pia.
Yanga walicheza mechi ile wakivalia jezi maalumu zenye picha ya Samia
(Rais wa JMT [emoji1241]).
Hapo sijui sheria za FIFA na TFF zinasemaje kuhusu kuchanganya Michezo na Siasa.
Tuwaachie wenyewe kwa hilo.
Nimeyatumia hayo machache kama mfano.
Maoni yangu mimi!
Inavyoelekea hawa wanajaribu kutaka kuwa karibu na Ikulu kama walivyowahi kufanya huko nyuma,katika awamu ya nne.
Kipindi hicho wakijulikana kama Home Shopping Centre.
Bado tuna kumbukumbu na matukio yao.
Ikiwemo yale ya kupiga watu risasi hadharani wakiwemo wafanyakazi wao na hata wapita njia tu.
Haya mambo yalipelekea mmoja wa kaka wa huyo Gharib kuikimbia nchi baada ya ujio wa serikali ya awamu ya Tano ya JPM (R.I.P).
Na mpaka sasa yuko ughaibuni.
Waathirika wa matukio yao wapo mpaka sasa mitaani.
Kuanzia wa kashfa za makontena mpaka hao wa risasi miguuni.
Sasa wamerudi upya na nembo mpya ya GSM.
Mambo ya sasa na ya wakati ule wa HSC ni kama yanataka kujirudia kwa mtindo mpya.
Bado kuna mgogoro wa udhamini wa ligi kuu ya NBC-PREMIERE kati ya GSM na TFF Uko mezani.
Ambapo GSM wamejitoa na kuuvunja mkataba kinyemela huku wakiwa wamekwishazitumikisha timu za ligi kuu kwa miezi mitatu bila ya malipo,kama mkataba unavyotamka.
Hatujui kama washauri wa Ikulu na vyombo vya usalama haviwajibiki ipasavyo ili kuyaona haya na kun'gamua na kutoa ushauri pale mh Rais anapoelekea kupotoshwa namna hii.
Lakini ieleweke kwamba, kwa kutochukua hatua mapema na kujitenga na Uhuni.
Basi huko tuendako....kama ikitokea GSM wakachafuka kwa kashfa yoyote ile iwayo.
Hii pia Itakuwa inamhusu au kumchafua pia yeyote aliyeko madarakani kwa sasa,ambaye ataonekana kuwa nao karibu katika kipindi chake cha uongozi.
Kutokana na matukio kadhaa yatakayo waweka kuonekana kuwa karibu zaidi kwa jamii.
Naye atachafuka nao.......
Na itakuwa na gharama kubwa sana kujisafisha kwa wakati huo.........
Nimewakilisha kama....
commonmwananchi
10101.
Makonda nae ni walewale mkuuMakonda aliipataje ile ardhi kama kweli alikua msafi
Hawa jamaa wamepiga sana risasi watu wasio na hatia hawana tofaut na bashite tuutachekwa bwasheee we unawajua Gsm hao ni Home shopping uliza timbwili lao kama huwajui vizuri nyamaza au umewajulia yanga na unawaona ni wakarimu?
Mlipewa nchi mkatumia nguvu badala ya akili, sasa nchi imerudi kwa wenye akili hamtokaa mpate madaraka tena.Ni ushauri tu!
Kwa kasi sana tunaona wanavyojitahidi, kutengengeneza mazingira ya kukusogelea zaidi.
Walianza na Mechi ya kumchangia yule mtoto mgonjwa.
Na kwa mara ya kwanza tangu uingie madarakani kama Raisi.
Ulipiga simu live uwanjani,ambapo pamoja na kutoa Pongezi,lakini pia ulichangia kiasi cha Milioni 15.
Jambo la thawabu kusaidia wasio na uwezo na wenye mahitaji.
*siku iliyofuatia pale baada ya mechi,kiwanda chao kikaungua moto wenye chanzo tata mpaka sasa.
*Na siku moja kabla ya hiyo mechi ya hisani,kulikuwa na tukio la mmoja wa wakurugenzi GSM,
Kuhusika na ufyatuaji ovyo risasi,mbele ya maafisa Polisi,bila kuchukuliwa hatua.
Ilikuwa katika tukio la ugomvi wa kugombea eneo na jengo huko Mikocheni kati yao na Ex-RC Paul Makonda.
Movie iliendelea tena Jana pale uwanja wa Taifa.
GSM waliandaa na kuitumia mechi ya ligi kuu ya NBC-PREMIERE.
BainaYanga na KMC.
Kama tukio maalumu la kumpongeza Rais Samia kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani.
Tukio lenye heri pia.
Yanga walicheza mechi ile wakivalia jezi maalumu zenye picha ya Samia
(Rais wa JMT [emoji1241]).
Hapo sijui sheria za FIFA na TFF zinasemaje kuhusu kuchanganya Michezo na Siasa.
Tuwaachie wenyewe kwa hilo.
Nimeyatumia hayo machache kama mfano.
Maoni yangu mimi!
Inavyoelekea hawa wanajaribu kutaka kuwa karibu na Ikulu kama walivyowahi kufanya huko nyuma,katika awamu ya nne.
Kipindi hicho wakijulikana kama Home Shopping Centre.
Bado tuna kumbukumbu na matukio yao.
Ikiwemo yale ya kupiga watu risasi hadharani wakiwemo wafanyakazi wao na hata wapita njia tu.
Haya mambo yalipelekea mmoja wa kaka wa huyo Gharib kuikimbia nchi baada ya ujio wa serikali ya awamu ya Tano ya JPM (R.I.P).
Na mpaka sasa yuko ughaibuni.
Waathirika wa matukio yao wapo mpaka sasa mitaani.
Kuanzia wa kashfa za makontena mpaka hao wa risasi miguuni.
Sasa wamerudi upya na nembo mpya ya GSM.
Mambo ya sasa na ya wakati ule wa HSC ni kama yanataka kujirudia kwa mtindo mpya.
Bado kuna mgogoro wa udhamini wa ligi kuu ya NBC-PREMIERE kati ya GSM na TFF Uko mezani.
Ambapo GSM wamejitoa na kuuvunja mkataba kinyemela huku wakiwa wamekwishazitumikisha timu za ligi kuu kwa miezi mitatu bila ya malipo,kama mkataba unavyotamka.
Hatujui kama washauri wa Ikulu na vyombo vya usalama haviwajibiki ipasavyo ili kuyaona haya na kun'gamua na kutoa ushauri pale mh Rais anapoelekea kupotoshwa namna hii.
Lakini ieleweke kwamba, kwa kutochukua hatua mapema na kujitenga na Uhuni.
Basi huko tuendako....kama ikitokea GSM wakachafuka kwa kashfa yoyote ile iwayo.
Hii pia Itakuwa inamhusu au kumchafua pia yeyote aliyeko madarakani kwa sasa,ambaye ataonekana kuwa nao karibu katika kipindi chake cha uongozi.
Kutokana na matukio kadhaa yatakayo waweka kuonekana kuwa karibu zaidi kwa jamii.
Naye atachafuka nao.......
Na itakuwa na gharama kubwa sana kujisafisha kwa wakati huo.........
Nimewakilisha kama....
commonmwananchi
10101.
kwa saab ni sisi wenyewe ndio tunawafagilia WaarabuUnafikiri kwann wale waarabu wanakiburi sana?
Waarabu wanatutisha ndani ya nchi yetu
Akiwemo mama yako aliyetumikia unesi bila cheti halali hadi alipotumbuliwa na Bulldozer JPM [emoji1241]trust me, baada ya ile miaka 6 ya jehanum ambapo watu waliishi kama mashetani, siku hizi ukitaja kitu kinaitwa sukumagang watu wanahisi kutapika. ni bora hata tungepata chaga gang kuliko mateso yale.
Umeona mbali kwa uhalisia wake mkuu!Huko south africa waliita 'state capture'. Hadi leo kuna wahindi wameshitakiwa kwa kesi ya 'state capture'. Hapa kwetu sijui bado hatujaliona hilo. Unakuta wahindi au waarabu wanajipendekeza na kutumia hila za kuhonga hadi wanashika dola huku wananchi wakiendelea kufikiri ni chama ndio kinaongoza dola kumbe tajiri wa kiarabu.