Rais Samia, jitenge na GSM kama ulivyojitenga na Sabaya

Rais Samia, jitenge na GSM kama ulivyojitenga na Sabaya

Ili ajitenge na GSM kwanza lazima ajitenge na Msoga na hili naona ni gumu sana kwake, kwani Msoga ni kama mwalimu wake wa tuition kila siku akitoka darasani ikulu lazima akimbilie tuition Msoga.
Uzuri wa kuongoza taasisi hii, sio lazima uwe mwerevu saana au ujue kila kitu. Unachotakiwa ni kujua namna ya kuchagua na kutumia watu na raslimali zingine zilizopo kufanikisha malengo yako. Kupima ushauri utakaopata ni muhimu zaidi kuliko aina ya washauri. Kwa maoni yangu hakuna waalimu wazuri na wenye uzoefu kwenye hii kazi ya mama,. kama mzee Ruksa na JKM. akijitenga nao nani mwingine atakayempa uzoefu?
 
Back
Top Bottom