Rais Samia, jitenge na GSM kama ulivyojitenga na Sabaya

Rais Samia, jitenge na GSM kama ulivyojitenga na Sabaya

Tatizo Mama is trying to be nice to everybody! Hii itakuja kumuumiza sana later on. Angechora mstari mapema ili kila mtu ( akiwemo mzee wa Msonga) wafahamu ipo line ambayo ukivuka its up to you.

Kinyume na hapo muda utaongea! She will be in a very serious mess. Mungu amsaidie avuke salama na avae ujasiri!
 
Iko hivi mdau. Vita iliyopo sasa baada ya Dkt Magufuli kufariki ni wauza madawa ya kulevya (GSM, Riziwani n.k. kulipiza visasi). Cha kwanza wanajiweka karibu na Ikulu. Cha pili wamejiwekea mkakati wa kuchukua hatamu za uongozi. Ktk kutumiza hayo Riziwani kawekwa kwenye ardhi ili kuhakikisha analipiza kisasi kwa kutoa hati miliki mpya kwa wale wote waliokuwa wanahusika na kushughulikia wauza madawa ya kulevya. Makonda na Musiba ni moja wapo na inawezekana wapo wengi ila si watu wa media. Mauaji makubwa yanatekelezwa kuanzia kwa wana usalama waliokuwa mstari wa mbele kupambana na madawa ya kulevya. Kwa ufupi genge la wauza madawa kwa sasa lina nguvu kuzidi lile la Zanzibar na Serikali ya Mama limeiweka mfukoni haiwezi kufurukuta.

Ila baada ya muda si mrefu, kuna serikali mpya itakuja. Hiyo serikali ikija itahakikisha inarejesha legacy ya Dkt Magufuli. Na katika kuhakikisha nchi inasimana hiyo serikali mpya ya mrengo wa Dkt Magufuli itawaua wahusika wa madawa wote (maana imepata funzo kupitia Serikali ya Mama) ili kuondoa makosa yaliyofanywa hapo nyuma ya kucheka na waharifu.
Kwahio ni kama wauwaji wanapokezana wanatoka wauwaji hawa ili waingie wauwaji wale ?

Hakuna alternative isiyo na wauwaji ? Can't we do Better.... Sababu hapa naona ni mwendo wa kuruka majivu kukangayaga moto na kuruka moto kutumbukia kwenye volcano...
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Tatizo Mama is trying to be nice to everybody! Hii itakuja kumuumiza sana later on. Angechora mstari mapema ili kila mtu ( akiwemo mzee wa Msonga) wafahamu ipo line ambayo ukivuka its up to you.

Kinyume na hapo muda utaongea! She will be in a very serious mess. Mungu amsaidie avuke salama na avae ujasiri!
c.c
Ndugai
Lukuvi
Kabudi
Polepole
Walipa Tozo na Wanunua Bidhaa
 
umetumwa na bashite? au wewe ni sukumagang? mmekwisha habari yenu na katu hamtakuja kupewa tena hii nchi. tumeshawajua na hatuwezi kufanya makosa tena.
Kwahio nchi watu wanapeana kulingana na matakwa yao ?

Huyo mpeaji ni nani ? Na mwananchi anaelewa kwamba watu wanapeana Nchi na ana Say yoyote ?
 
Kwahio nchi watu wanapeana kulingana na matakwa yao ?

Huyo mpeaji ni nani ? Na mwananchi anaelewa kwamba watu wanapeana Nchi na ana Say yoyote ?
mtoa nchi ni wananchi kwa njia ya kura. hatutafanya makosa tena. hata ninyi wenyewe mnalijua hilo.
 
Waarabu na Wahindi sio watu wakuwazoea na kuwapa access kwenye mifumo, wapo kwa ajili ya kuchuma huku wakiwadanganya ni watanzania wenzenu wa kisarawe... kuwaachia wahindi kicontrol game ni kuiangamiza nchi na kuwafanya Watanzania wote kuwa watumwa..

Top ten richest people in Nigeria.
1. Aliko Dangote
2. Mike Adenugas
3. Abdulsamad Rabiu.
4. Femi Otedola.
5. Folorunsho Alakija
6. Uzoma Dozie
7. Jimoh Ibrahim
8. Orji Uzor Kalu
9. Jim James
10.Hajia Bola Shagaya..
ukitaka kuthibitisha sikiliza kiswahili chao, ni kibovu na wengine hawajui kabisa kiswahili. Unamsemesha kwa kiswahili anakujibu kiingereza wakati yeye na baba yake wote wamezaliwa hapahapa!
Wana dharau sana hawa jamaa, wanaona lugha yetu ni takataka tu!
 
Tatizo Mama is trying to be nice to everybody! Hii itakuja kumuumiza sana later on. Angechora mstari mapema ili kila mtu ( akiwemo mzee wa Msonga) wafahamu ipo line ambayo ukivuka its up to you.

Kinyume na hapo muda utaongea! She will be in a very serious mess. Mungu amsaidie avuke salama na avae ujasiri!
Tatizo msoga imeishamuwahi kona zote muhimu.

Katibu mkuu wa nyumba kuu.
Fedha.
Ardhi.
Nishati.
NHC.
Bandari.

Na bado wanaendelea na mikakati mingine kimyakimya.

Atakapokuja gundua itakuwa too late.
 
Kwahio nchi watu wanapeana kulingana na matakwa yao ?

Huyo mpeaji ni nani ? Na mwananchi anaelewa kwamba watu wanapeana Nchi na ana Say yoyote ?
Hana say kwa sababu CCM haitaki watu wanaohoji kwa uhuru.
Ukihoji unaonekana mshamba au wakuja kwenye chama chao.

Na ukizidi unaonekana msumbufu fulani hivi na unaandaliwa pa kukunyamazisha au kukutoa nje ya mfumo.
 
Ni ushauri tu!

Kwa kasi sana tunaona wanavyojitahidi, kutengengeneza mazingira ya kukusogelea zaidi.

Walianza na mechi ya kumchangia yule mtoto mgonjwa.

Na kwa mara ya kwanza tangu uingie madarakani kama Rais, ulipiga simu live uwanjani, ambapo pamoja na kutoa pongezi, lakini pia ulichangia kiasi cha Sh Milioni 15. Jambo la thawabu kusaidia wasio na uwezo na wenye mahitaji.

*Siku iliyofuatia pale baada ya mechi, kiwanda chao kikaungua moto wenye chanzo tata mpaka sasa.

*Na siku moja kabla ya hiyo mechi ya hisani, kulikuwa na tukio la mmoja wa wakurugenzi GSM,
kuhusika na ufyatuaji ovyo risasi, mbele ya maafisa Polisi, bila kuchukuliwa hatua.
Ilikuwa katika tukio la ugomvi wa kugombea eneo na jengo huko Mikocheni kati yao na Ex-RC Paul Makonda.

Movie iliendelea tena jana pale Uwanja wa Taifa.

GSM waliandaa na kuitumia mechi ya ligi kuu ya NBC bainaYanga na KMC kama tukio maalumu la kumpongeza Rais Samia kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani. Tukio lenye heri pia.

Yanga walicheza mechi ile wakivalia jezi maalumu zenye picha ya Samia
(Rais wa JMT [emoji1241]).

Hapo sijui sheria za FIFA na TFF zinasemaje kuhusu kuchanganya Michezo na Siasa.
Tuwaachie wenyewe kwa hilo.

Nimeyatumia hayo machache kama mfano.

Maoni yangu mimi!

Inavyoelekea hawa wanajaribu kutaka kuwa karibu na Ikulu kama walivyowahi kufanya huko nyuma, katika awamu ya nne.

Kipindi hicho wakijulikana kama Home Shopping Centre, bado tuna kumbukumbu na matukio yao.

Ikiwemo yale ya kupiga watu risasi hadharani wakiwemo wafanyakazi wao na hata wapita njia tu.

Haya mambo yalisababisha mmoja wa kaka wa huyo Gharib kuikimbia nchi baada ya ujio wa serikali ya awamu ya Tano ya JPM (R.I.P).

Na mpaka sasa yuko Ughaibuni.

Waathirika wa matukio yao wapo mpaka sasa mitaani.

Kuanzia wa kashfa za makontena mpaka hao wa risasi miguuni.

Sasa wamerudi upya na nembo mpya ya GSM.

Mambo ya sasa na ya wakati ule wa HSC ni kama yanataka kujirudia kwa mtindo mpya.

Bado kuna mgogoro wa udhamini wa Ligi Kuu ya NBC kati ya GSM na TFF uko mezani.

Ambapo GSM wamejitoa na kuuvunja mkataba kinyemela huku wakiwa wamekwishazitumikisha timu za ligi kuu kwa miezi mitatu bila ya malipo, kama mkataba unavyotamka.

Hatujui kama washauri wa Ikulu na vyombo vya usalama haviwajibiki ipasavyo ili kuyaona haya na kun'gamua na kutoa ushauri pale mh Rais anapoelekea kupotoshwa namna hii.

Lakini ieleweke kwamba, kwa kutochukua hatua mapema na kujitenga na uhuni.

Basi huko tuendako....kama ikitokea GSM wakachafuka kwa kashfa yoyote ile iwayo.

Hii pia itakuwa inamhusu au kumchafua pia yeyote aliyeko madarakani kwa sasa,ambaye ataonekana kuwa nao karibu katika kipindi chake cha uongozi.

Kutokana na matukio kadhaa yatakayo waweka kuonekana kuwa karibu zaidi kwa jamii.

Naye atachafuka nao.......

Na itakuwa na gharama kubwa sana kujisafisha kwa wakati huo.........

Nimewakilisha kama....

commonmwananchi
10101.
Inafikirisha.....

#Siempre JMT🙏
 
Racial discrimination, kwani hao waarabu ni raia wa nchi gani? hebu tuchangie kwa kutumia akili, ama una chuki sanaaa na waaaabu sio!
 
Iko hivi mdau. Vita iliyopo sasa baada ya Dkt Magufuli kufariki ni wauza madawa ya kulevya (GSM, Riziwani n.k. kulipiza visasi). Cha kwanza wanajiweka karibu na Ikulu. Cha pili wamejiwekea mkakati wa kuchukua hatamu za uongozi. Ktk kutumiza hayo Riziwani kawekwa kwenye ardhi ili kuhakikisha analipiza kisasi kwa kutoa hati miliki mpya kwa wale wote waliokuwa wanahusika na kushughulikia wauza madawa ya kulevya. Makonda na Musiba ni moja wapo na inawezekana wapo wengi ila si watu wa media. Mauaji makubwa yanatekelezwa kuanzia kwa wana usalama waliokuwa mstari wa mbele kupambana na madawa ya kulevya. Kwa ufupi genge la wauza madawa kwa sasa lina nguvu kuzidi lile la Zanzibar na Serikali ya Mama limeiweka mfukoni haiwezi kufurukuta.

Ila baada ya muda si mrefu, kuna serikali mpya itakuja. Hiyo serikali ikija itahakikisha inarejesha legacy ya Dkt Magufuli. Na katika kuhakikisha nchi inasimana hiyo serikali mpya ya mrengo wa Dkt Magufuli itawaua wahusika wa madawa wote (maana imepata funzo kupitia Serikali ya Mama) ili kuondoa makosa yaliyofanywa hapo nyuma ya kucheka na waharifu.
Ikiwa hivyo itakuwa sawa...
Maana hii nchi Kuna Watu wameshajifanya kuwa niya familia.

Wao wanajiangalia wao tu...iweje wahujumu miradi km Bwawa la Nyerere.?

Kwani huo mradi ulikuwa wa magufuli au wa Tanzania?
Tanzania haijafa,ALIYEKUWA ni JPM...
 
Back
Top Bottom